Utapeli wa “Chumvi na Mafuta ya Upako” Wafichuliwa

Duh! Umechanganya masomo... lakini
Dini iliyo safi na isiyo na hitilafu mbele ya Mungu Baba ni hii: Kuwasaidia yatima na wajane katika shida zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu huu.(Yakobo 1:27 BHN)
neno lililotumika katika Yakobo 1:27 kwa Kigiriki si "dini" bali ni "Θρησκεία" (Thrēskeía), ambalo linaweza kumaanisha ibada ya kidini, uchaji Mungu, au namna ya kuabudu.

Katika muktadha wa kifungu hiki, "Θρησκεία" inahusu si tu imani ya nje au taratibu za kidini, bali pia maisha ya kiroho yanayoonyeshwa kwa matendo mema kama kusaidia mayatima na wajane na kujitunza mbali na maovu ya dunia.

Katika Kiswahili, tafsiri nyingi hutumia neno "dini", lakini tafsiri inayosisitiza maana halisi inaweza kusema "ibada safi" au "uchaji Mungu ulio safi".
 
Katika hizi Imani nyote mnanunua mafuta na chumvi kwa currency / transaction tofauti tofauti, iwe Zaka, Sadaka au vyovyote vile (unless unatoa moja kwa moja kwa muhitaji)...,
Lakini kama unachofanya kinasuuza roho yako all the best.
 
Dini iliyotajwa hapa sio hizi dini zenu mnazoita Leo

Kasome tafsiri mbalimbali utajua sio hizi dini zenu
Greek (Ελληνικά):
Η καθαρή και αμόλυντη θρησκεία ενώπιον του Θεού και Πατέρα είναι αυτή: να βοηθάτε τα ορφανά και τις χήρες στη θλίψη τους και να διατηρείτε τον εαυτό σας αμόλυντο από τον κόσμο.

Arabic (العربية):
الدين الطاهر النقي عند الله الآب هو هذا: أن تعين الأيتام والأرامل في ضيقاتهم، وتحفظ نفسك بلا دنس من العالم.

Hindi (हिन्दी):
परमेश्वर पिता के सामने शुद्ध और निष्कलंक धर्म यही है: अनाथों और विधवाओं की उनकी कठिनाइयों में सहायता करना और अपने आपको संसार से अशुद्ध न होने देना।

French (Français):
La religion pure et sans tache devant Dieu le Père, la voici: secourir les orphelins et les veuves dans leurs afflictions, et se garder pur du monde.

English:
Pure and undefiled religion before God the Father is this: to help orphans and widows in their distress and to keep oneself unpolluted by the world.
 
Rudi kwenye hiyo Greek ,neno lililotimika hapo sio "DINI"
 
Kwenye tafsiri hiyo ya Kiyunani neno "dini" ni "θρησκεία" (thriskía).
Katika sentensi hii: "Η καθαρή και αμόλυντη θρησκεία" inamaanisha "Dini iliyo safi na isiyo na hitilafu."
Neno "θρησκεία" (thriskía) linamaanisha dini au ibada ya kidini kwa Kiyunani.

Hata hivyo kwa neno hilo "dini" sielewi unataka kujenga hoja ipi inayohusiana na uzi huu. Mimi sijazungumzia dini kwenye uzi huu. Nimezungumzia utapeli unaofanywa na manabii wa uongo wanaouza chumvi na mafuta ya kawaida na kudai kuwa yana upako.

Tujadili hoja hiyo, tusiende nje ya mada
 
Katika hizi Imani nyote mnanunua mafuta na chumvi kwa currency / transaction tofauti tofauti, iwe Zaka, Sadaka au vyovyote vile (unless unatoa moja kwa moja kwa muhitaji)...,
Lakini kama unachofanya kinasuuza roho yako all the best.
Kutoa Zaka na Sadaka ni maagizo ya Mungu, lakini kuuza chumvi au mafuta ya kawaida na kuyaita yana upako ni ujanja wa kibinadamu usio na msingi wa Kibiblia. Uponyaji na baraka za Mungu havinunuliwi.
 
Kabla ya kuufichua huo utapeli, hebu tuwasikilize kwanza hawa manabii feki:

Nabii XXL: Aisee, hizi sadaka tunazopata hazitoshi kununua ndege, na kutufanya tuishi maisha ya kifahari. Naomba tubuni mbinu ya kuongeza mapato.

Nabii X: Mi nafikiri wakati wa maombezi, tuwe tunawauzia watu chumvi, mafuta, maji na vitambaa, lakini tuwaambie kwamba vitu hivyo vina upako. Watanunua tu.

Nabii XXL: Mh, tukifanya hivyo kabla ya kuwaombea, watatugundua. Katika Biblia Yesu si alisema huduma za kuponya na kutenda miujiza hazipaswi kutolewa kwa malipo?

Nabii X: Mkuu, watu hawana muda wa kusoma Biblia, hawajui hilo Andiko. Nakwambia watanunua tu. Tena tukiwaambia mafuta na chumvi vimetoka Israeli, ndio kabisa, hata tukiwauzia kwa dola watanunua.

Nabii XXL: Hahaa, aisee we una akili. Hebu tuanze haraka kuifanyia kazi hiyo mbinu. Ndani ya mwaka mmoja tu, tutakuwa mabilionea.
================
Nyakati hizi za mwisho manabii wengi wa uongo wametokea na kuwadanganya wengi kama Maandiko yanenavyo(Mt24:11). Na watu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Maneno ya Mungu yako wazi lakini kwakuwa watu hawasomi Biblia wanadanganyika kirahisi.

Ni kweli katika Biblia mafuta na chumvi vimetajwa. Kwa mfano katika kitabu cha Yakobo 5:14 imeandikwa:"Mtu wa kwenu anaumwa? Na awaite wazee wa kanisa, nao watamuombea, na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana." Andiko hili linaonyesha kuwa upako wa mafuta ni sehemu ya ibada na uponyaji wa kiroho.

Katika Marko 6:13 imeandikwa pia hivi – "Wakatoa pepo wengi, wakawapaka mafuta wengi waliokuwa wagonjwa, wakawaponya." Andiko hili linaonyesha pia jinsi Mitume walivyotumia mafuta kwa uponyaji.

LAKINI Maandiko hayo hayatuambii kwamba wagonjwa, wenye shida na wanaohitaji baraka wanapaswa kununua bidhaa hizo ili wapone au wabarikiwe. Kwahiyo wauzaji ni matapeli.

Katika Mathayo 10:8, tunasoma kuwa Yesu aliwapa wanafunzi wake mamlaka ya kuponya wagonjwa na kufukuza pepo, lakini aliwaonya wasifanye huduma hiyo kwa kudai malipo.

Mathayo 10:8 – "Ponyeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure."

Andiko hilo linaonyesha wazi kuwa karama za Mungu zinapaswa kutolewa bure.

Enyi mnaolifanya Jina la Mungu litukanwe kwa sababu mmewalaghai watu kuwa chumvi na mafuta mnayouza yana upako, kumbe uongo, nawasihi, popote pale mlipo ulimwenguni, badilikeni. La sivyo unabii huu utatimia kwenu:

Mathayo 7:22-23 – "Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu."
View attachment 3261034View attachment 3261076
Wakati wewe unaviona chumvi na mafuta ya upako kama utapeli, wachawi wakubwa duniani wanavipiga vita kali kwa sababu vinawaharibia mambo yao yanakwama.

Mungu aende na Bulldozer Mwamposa kwa kishindo Kikuu. Huyu ndiye alistahili kujiita jina KOBOKO YA WACHAWI

Bulldozer ni KIBOKO YA WACHAWI
 
Kutoa Zaka na Sadaka ni maagizo ya Mungu, lakini kuuza chumvi au mafuta ya kawaida na kuyaita yana upako ni ujanja wa kibinadamu usio na msingi wa Kibiblia. Uponyaji na baraka za Mungu havinunuliwi.
Mungu yupi na kwa Imani ya nani na kwa kutumia tafsiri ya nani ? Haya mambo ya Imani inategemea kama nyote mnatumia source moja ya information... Sababu hata hizo Sadaka na Zaka hayo maagizo aliyatoa wapi na nani aliyatafsiri na alikuwepo nani akayasikia ? Namaliza kwa Qoute ya 2Pac

If the churches took half the money that they was making and gave it back to the community we'd be alright. If they take half the buildings they use to praise God and gave it to motherfuckers who need God we'd be alright. We'd be alright. Have you seen some of these God damn churches lately? There's ones that take up the whole block in New York. There's homeless people out here. Why ain't God letting them stay there? Why these niggas got gold ceilings and shit? Why God need gold ceilings to talk to me? Why do God need colored windows to talk to me?
 
Kabla ya kuufichua huo utapeli, hebu tuwasikilize kwanza hawa manabii feki:

Nabii XXL: Aisee, hizi sadaka tunazopata hazitoshi kununua ndege, na kutufanya tuishi maisha ya kifahari. Naomba tubuni mbinu ya kuongeza mapato.

Nabii X: Mi nafikiri wakati wa maombezi, tuwe tunawauzia watu chumvi, mafuta, maji na vitambaa, lakini tuwaambie kwamba vitu hivyo vina upako. Watanunua tu.

Nabii XXL: Mh, tukifanya hivyo kabla ya kuwaombea, watatugundua. Katika Biblia Yesu si alisema huduma za kuponya na kutenda miujiza hazipaswi kutolewa kwa malipo?

Nabii X: Mkuu, watu hawana muda wa kusoma Biblia, hawajui hilo Andiko. Nakwambia watanunua tu. Tena tukiwaambia mafuta na chumvi vimetoka Israeli, ndio kabisa, hata tukiwauzia kwa dola watanunua.

Nabii XXL: Hahaa, aisee we una akili. Hebu tuanze haraka kuifanyia kazi hiyo mbinu. Ndani ya mwaka mmoja tu, tutakuwa mabilionea.
================
Nyakati hizi za mwisho manabii wengi wa uongo wametokea na kuwadanganya wengi kama Maandiko yanenavyo(Mt24:11). Na watu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Maneno ya Mungu yako wazi lakini kwakuwa watu hawasomi Biblia wanadanganyika kirahisi.

Ni kweli katika Biblia mafuta na chumvi vimetajwa. Kwa mfano katika kitabu cha Yakobo 5:14 imeandikwa:"Mtu wa kwenu anaumwa? Na awaite wazee wa kanisa, nao watamuombea, na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana." Andiko hili linaonyesha kuwa upako wa mafuta ni sehemu ya ibada na uponyaji wa kiroho.

Katika Marko 6:13 imeandikwa pia hivi – "Wakatoa pepo wengi, wakawapaka mafuta wengi waliokuwa wagonjwa, wakawaponya." Andiko hili linaonyesha pia jinsi Mitume walivyotumia mafuta kwa uponyaji.

LAKINI Maandiko hayo hayatuambii kwamba wagonjwa, wenye shida na wanaohitaji baraka wanapaswa kununua bidhaa hizo ili wapone au wabarikiwe. Kwahiyo wauzaji ni matapeli.

Katika Mathayo 10:8, tunasoma kuwa Yesu aliwapa wanafunzi wake mamlaka ya kuponya wagonjwa na kufukuza pepo, lakini aliwaonya wasifanye huduma hiyo kwa kudai malipo.

Mathayo 10:8 – "Ponyeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure."

Andiko hilo linaonyesha wazi kuwa karama za Mungu zinapaswa kutolewa bure.

Enyi mnaolifanya Jina la Mungu litukanwe kwa sababu mmewalaghai watu kuwa chumvi na mafuta mnayouza yana upako, kumbe uongo, nawasihi, popote pale mlipo ulimwenguni, badilikeni. La sivyo unabii huu utatimia kwenu:

Mathayo 7:22-23 – "Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu."
View attachment 3261034View attachment 3261076
hawa mapapa wa kilokole ni scammers in large scale, they are terrible criminals, cha kushangaza, waumini wao (victims) baadhi ni wasomi, viongozi wa serikali, wanasiasa, matajiri.
 
Watu hawaelewi maana ya dini
Watu ni wajinga.
Watu hawamueleewi Mungu.
 
hawa mapapa wa kilokole ni scammers in large scale, they are terrible criminals, cha kushangaza, waumini wao (victims) baadhi ni wasomi, viongozi wa serikali, wanasiasa, matajiri.
Ni kweli, it’s sad to see even educated people falling into this trap. The Bible says, ‘Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa’ (Hosea 4:6). That’s why I felt compelled to share this message—so that people may know the truth, and the truth will set them free.
 
If the churches took half the money that they was making and gave it back to the community we'd be alright. If they take half the buildings they use to praise God and gave it to motherfuckers who need God we'd be alright. We'd be alright. Have you seen some of these God damn churches lately? There's ones that take up the whole block in New York. There's homeless people out here. Why ain't God letting them stay there? Why these niggas got gold ceilings and shit? Why God need gold ceilings to talk to me? Why do God need colored windows to talk to me?
I understand your frustration, Mr Logikos , and you raise a valid concern about how some churches manage their wealth while there are people in need. However, it's important to recognize that the issue isn't with God but with how humans choose to handle resources. The Bible consistently teaches generosity and caring for the poor (Matthew 25:35-40), and many churches worldwide actively engage in charity—running hospitals, shelters, and food programs for the less fortunate. While some religious institutions may misuse wealth, that doesn't discredit faith or the need for worship spaces. Instead of blaming God, the focus should be on holding religious leaders accountable and encouraging responsible stewardship of resources to truly reflect God’s love for humanity.
 
Kabla ya kuufichua huo utapeli, hebu tuwasikilize kwanza hawa manabii feki:

Nabii XXL: Aisee, hizi sadaka tunazopata hazitoshi kununua ndege, na kutufanya tuishi maisha ya kifahari. Naomba tubuni mbinu ya kuongeza mapato.

Nabii X: Mi nafikiri wakati wa maombezi, tuwe tunawauzia watu chumvi, mafuta, maji na vitambaa, lakini tuwaambie kwamba vitu hivyo vina upako. Watanunua tu.

Nabii XXL: Mh, tukifanya hivyo kabla ya kuwaombea, watatugundua. Katika Biblia Yesu si alisema huduma za kuponya na kutenda miujiza hazipaswi kutolewa kwa malipo?

Nabii X: Mkuu, watu hawana muda wa kusoma Biblia, hawajui hilo Andiko. Nakwambia watanunua tu. Tena tukiwaambia mafuta na chumvi vimetoka Israeli, ndio kabisa, hata tukiwauzia kwa dola watanunua.

Nabii XXL: Hahaa, aisee we una akili. Hebu tuanze haraka kuifanyia kazi hiyo mbinu. Ndani ya mwaka mmoja tu, tutakuwa mabilionea.
================
Nyakati hizi za mwisho manabii wengi wa uongo wametokea na kuwadanganya wengi kama Maandiko yanenavyo(Mt24:11). Na watu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Maneno ya Mungu yako wazi lakini kwakuwa watu hawasomi Biblia wanadanganyika kirahisi.

Ni kweli katika Biblia mafuta na chumvi vimetajwa. Kwa mfano katika kitabu cha Yakobo 5:14 imeandikwa:"Mtu wa kwenu anaumwa? Na awaite wazee wa kanisa, nao watamuombea, na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana." Andiko hili linaonyesha kuwa upako wa mafuta ni sehemu ya ibada na uponyaji wa kiroho.

Katika Marko 6:13 imeandikwa pia hivi – "Wakatoa pepo wengi, wakawapaka mafuta wengi waliokuwa wagonjwa, wakawaponya." Andiko hili linaonyesha pia jinsi Mitume walivyotumia mafuta kwa uponyaji.

LAKINI Maandiko hayo hayatuambii kwamba wagonjwa, wenye shida na wanaohitaji baraka wanapaswa kununua bidhaa hizo ili wapone au wabarikiwe. Kwahiyo wauzaji ni matapeli.

Katika Mathayo 10:8, tunasoma kuwa Yesu aliwapa wanafunzi wake mamlaka ya kuponya wagonjwa na kufukuza pepo, lakini aliwaonya wasifanye huduma hiyo kwa kudai malipo.

Mathayo 10:8 – "Ponyeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure."

Andiko hilo linaonyesha wazi kuwa karama za Mungu zinapaswa kutolewa bure.

Enyi mnaolifanya Jina la Mungu litukanwe kwa sababu mmewalaghai watu kuwa chumvi na mafuta mnayouza yana upako, kumbe uongo, nawasihi, popote pale mlipo ulimwenguni, badilikeni. La sivyo unabii huu utatimia kwenu:

Mathayo 7:22-23 – "Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu."
View attachment 3261034View attachment 3261076
Mwamposa, gwajima, Lusekelo, kapora, wote ni gospel entrepreneurs tu, hakuna anayebadirisha fikra za watu pale kama alivyofsnya Myles Munroe, hawa ni wapiga deals tu, miaka kumi iliyopita, hawa wangekuwa motivational speakers tu,
Sasa hv kila mwenye kipaji cha kuongea, comedian l, anafungua kanisa,Mkandamizaji, Yule Dr wa UD,
Hawa ni majizi tu
 
I understand your frustration, Mr Logikos , and you raise a valid concern about how some churches manage their wealth while there are people in need. However, it's important to recognize that the issue isn't with God but with how humans choose to handle resources. The Bible consistently teaches generosity and caring for the poor (Matthew 25:35-40), and many churches worldwide actively engage in charity—running hospitals, shelters, and food programs for the less fortunate.
I do not think you need to be a man / woman of faith to engage in charity or helping the needy..., and on that token you have raised another question (Yeye Muweza Yote kwanini asiondoe Umasikini mpaka kuhitajike mtu / watu kutoa Msaada)...; Another point I think poverty is man made and we are the ones causing it, especially in this technological age when we have plenty and yet some have so little....
While some religious institutions may misuse wealth, that doesn't discredit faith or the need for worship spaces. Instead of blaming God, the focus should be on holding religious leaders accountable and encouraging responsible stewardship of resources to truly reflect God’s love for humanity.
By the way why do we need to give and help the needy by proxy ? Why do I need to give to the Church so they can Help the Needy when I have the needy surrounding me, shouldn't I help them directly ? Why should the church etc ask from these poor souls to donate what they don't have or get it through hardships ? After all most of them their donations is being used as a front to hide money laundering activities which goes under the surface....
 
MAlatapeli kibao wamejificha katika imani, wanakusanya hela za burebure toka kwa watu maskini kabisa.
 
Back
Top Bottom