Utapeli wa Dawa ya 'HIT' katika kuua Mbu

Utapeli wa Dawa ya 'HIT' katika kuua Mbu

leo nimempata kunguni mmoja nikamuweka sehemu open nakachukua HIT kuona kama wanaosema ni kweli? nikampulizia yule kunguni nikaona bado anatembea tena fasta nikasubiri dakika moja nikampulizia tena HIT nikaona bado anatembea tu, nikahakikisha yanayosemwa ni ukweli, HIT NI OVYOOO SINUNUI TENA
Kwa kunguni chukua sabuni ya unga changanya na mafuta ya taa then pulizia machimbo yao
 
Back
Top Bottom