Panctuality
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 775
- 1,150
miaka flani nyuma, kibanda hakijaisha vyema
niliziba madirisha, nilipiga chumbani, kwa kua inachoke nikatoka nje kwa mda wa dk 20
kurudi, nakuta mende, mijusi, nyoka wadogo, tandu, buibui, wote wamekufa wako pembeni
nilishangaa sana, ilihali lengo ilikua ni kuua mbu, nilishangaa pia kuona naishi na tandu chumbani