Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ndio bei yake siku hizi ile kubwa ilikuwaga 450075,000/? Au umekosea kuandika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio bei yake siku hizi ile kubwa ilikuwaga 450075,000/? Au umekosea kuandika?
Hata ungemweka kwenye kopo la Hiti humo humo bado ungekuta anatembealeo nimempata kunguni mmoja nikamuweka sehemu open nakachukua HIT kuona kama wanaosema ni kweli? nikampulizia yule kunguni nikaona bado anatembea tena fasta nikasubiri daki moja nikampulizia tena HIT nikaona bado anatembea tu, nikahakikisha yanayosemwa ni ukweli
Ndio bei yake siku hizi ile kubwa ilikuwaga 4500
Hizi dawa zilikuwa vizuri miaka minne iliyopita ila hali ya sasa kwa kweli ni UTAPELI wa wazi.
1. Haiui MBU kwa kiwango kinachopaswa yaani katika Mbu 50 watakufa watatu (3).
Yaani mpk mbu afe ni umloweshe na hiyo dawa ndio atakufa ila ukipuliza kama inavyoelekezwa upulize ktk mazingira ya eneo waliopo, hakika hatokufa Mbu hata mmoja, ukitaka mbu afe ni umshike umpulizie usoni.
2. Hata Mbu kuzimia kidogo hakuna! Sana sana watajificha tu kwa muda wa lisaa limoja baada ya kupuliza ila watarudi na wakirudi wanarudi na NJAA ya kufa mtu. (Inawezekana hii Dawa ina wapa Appetite zaidi)
Si kwa HIT tu nimetumia dawa ya RUNGU pia haina matokeo mazuri ktk kuangamiza MBU.
Je wana JF mmekutana na hii changamoto?
Je mnapendekeza dawa ipi bora ya kuangamiza hawa viumbe?
NB: Nimezungumzia kwa upande wa Mdudu aina ya MBU tu kwa kuwa ndio mdudu anayenisumbua mahala nilipo, hakuna Mende wala wadudu wengine, hivyo ufanisi wa dawa hii kwa kuua viumbe wengine sijaupima.
Nawasilisha.
😅😅😅 unawafuga mkuu?leo nimempata kunguni mmoja nikamuweka sehemu open nakachukua HIT kuona kama wanaosema ni kweli? nikampulizia yule kunguni nikaona bado anatembea tena fasta nikasubiri dakika moja nikampulizia tena HIT nikaona bado anatembea tu, nikahakikisha yanayosemwa ni ukweli, HIT NI OVYOOO SINUNUI TENA
😅😅😅jana nilikuwa napiga story na wife namwambia hawa mbu sio wa kawaida.Mbu wa sahivi wapo very technical kwanza wanakuuma kwanza alafu maumivu unapata tyr ameshaondoka eneo la tukio yaan wapo stealthy..... .
Kingine hawaonekani kirahisi/kijingajinga.
Pia ni wabishi kufa au kuzimia.
Nahis hawa mbu ni laboratory modified species..
Hizo uliambiwa ni dawa za kuuwa mbu?Hizi dawa zilikuwa vizuri miaka minne iliyopita ila hali ya sasa kwa kweli ni UTAPELI wa wazi.
1. Haiui MBU kwa kiwango kinachopaswa yaani katika Mbu 50 watakufa watatu (3).
Yaani mpk mbu afe ni umloweshe na hiyo dawa ndio atakufa ila ukipuliza kama inavyoelekezwa upulize ktk mazingira ya eneo waliopo, hakika hatokufa Mbu hata mmoja, ukitaka mbu afe ni umshike umpulizie usoni.
2. Hata Mbu kuzimia kidogo hakuna! Sana sana watajificha tu kwa muda wa lisaa limoja baada ya kupuliza ila watarudi na wakirudi wanarudi na NJAA ya kufa mtu. (Inawezekana hii Dawa ina wapa Appetite zaidi)
Si kwa HIT tu nimetumia dawa ya RUNGU pia haina matokeo mazuri ktk kuangamiza MBU.
Je wana JF mmekutana na hii changamoto?
Je mnapendekeza dawa ipi bora ya kuangamiza hawa viumbe?
NB: Nimezungumzia kwa upande wa Mdudu aina ya MBU tu kwa kuwa ndio mdudu anayenisumbua mahala nilipo, hakuna Mende wala wadudu wengine, hivyo ufanisi wa dawa hii kwa kuua viumbe wengine sijaupima.
Nawasilisha.
Wapi ulipoambiwa HIT ni dawa ya kuuwa kunguni?leo nimempata kunguni mmoja nikamuweka sehemu open nakachukua HIT kuona kama wanaosema ni kweli? nikampulizia yule kunguni nikaona bado anatembea tena fasta nikasubiri dakika moja nikampulizia tena HIT nikaona bado anatembea tu, nikahakikisha yanayosemwa ni ukweli, HIT NI OVYOOO SINUNUI TENA
Kumbe house girlYaani mie mpk boss ananiambia dawa tunapulizia nyingi mbona siku 2 tu ishaisha...yaani sio mbu tu hata wadudu wengine ukitaka wafe lazima uipulize kwa wingi
Hivi maji ya Kilimanjaro umekunyw hivi recently..? Maji ya chumvi kbsBiadhaa Tanzania ni utapeli Mtupu hata maji ya Kopo haya tunayonunua ukifatilia kwa makini utaona ni maji feki.
Sema walishapewa nembo za kubandika za Mamlaka husika basi haya maji ya nomba wanatuwekea tu
Tupe Ilmu/Elimu....KDR.... knock down resistance mechanism ndani ya mbu ndio kitu kinawasaidia kupambana na sumu mnazo-wapulizia.
😅😅😅Hivi maji ya Kilimanjaro umekunyw hivi recently..? Maji ya chumvi kbs
Joto... alafu chumba nacholala kuweka net aisee sijui nawekaje sijaweka setup kwaajil ya kuweka neti.Funga net mkuu hiyo ndio dawa kamili
Wanasema ni wadudu woote watambaaoWapi ulipoambiwa HIT ni dawa ya kuuwa kunguni?
Bila net siwezi kupata usingizi hata iwe hotel ya kifahari as long as iko TzJoto... alafu chumba nacholala kuweka net aisee sijui nawekaje sijaweka setup kwaajil ya kuweka neti.
Naamini matumizi ya neti ni wodini tu.
Wameandika inaua Wadudu warukao na wanaotembea.Wapi ulipoambiwa HIT ni dawa ya kuuwa kunguni?
Net aiseeBila net siwezi kupata usingizi hata iwe hotel ya kifahari as long as iko Tz
Kufukuza siyo kuuwa. Zimeandikwa wazi kabisa "repellant", "katafute maana yake.Wanasema ni wadudu woote watambaao
Hizi nazo wametoa kopi.. haziui nilichoma siku moja nikaona majamaa wanakuja tuu nikachoma nyingine kama tano bado wauni wanakuja tuu..View attachment 2618207Tumia hii ni nzuri.
Sio kweli mimi huwa naitumia kuua hata kenge na nyoka na inawashughulikia mnoNakuunga mkono hii ni spray sio dawa ya kuua wadudu,mamlaka husika chukueni hatua tunaibiwa.