Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba Mbu wanataka harufu ya machungwa[emoji3][emoji3]Dawa ya Mbu yenye kila Flavour uliona wapi?[emoji2]
Wametoa fake sikuiziRungu ni kali sana. Mimi ndiyo dawa ya mbu nayoiamini. Cha ajabu hata zile dawa za kuchoma za blue aka pellets siku hizi hazina ukali tena kama zamani.
Umesema wiki mbili au masikio yangu tu!!!Mbna kawaida...
hapo akijizuia kunywa pombe wiki mbili,ananunua hiyo spray chap
🤣🤣🤣Hizi dawa zilikuwa vizuri miaka minne iliyopita ila hali ya sasa kwa kweli ni UTAPELI wa wazi.
1_ Haiui MBU kwa kiwango kinachopaswa yaani katika Mbu 50 watakufa watatu (3).
Yaan mpk mbu afe ni umloweshe na hiyo dawa ndio atakufa ila ukipuliza kama inavyoelekezwa upulize ktk mazingira ya eneo waliopo, hakika hatokufa Mbu hata mmoja, ukitaka mbu afe ni umshike umpulizie usoni.
2_ Hata Mbu kuzimia kidogo hakuna! Sana sana watajificha tu kwa muda wa lisaa limoja baada ya kupuliza ila watarudi na wakirudi wanarudi na NJAA ya kufa mtu. (Inawezekana hii Dawa ina wapa Appetite zaidi)
Si kwa HIT tu nimetumia dawa ya RUNGU pia haina matokeo mazuri ktk kuangamiza MBU.
Je wana JF mmekutana na hii changamoto?
Je mnapendekeza dawa ipi bora ya kuangamiza hawa viumbe?
NB: nimezungumzia kwa upande wa Mdudu aina ya MBU tu kwa kuwa ndio mdudu anayenisumbua mahala nilipo, hakuna Mende wala wadudu wengine, hivyo ufanisi wa dawa hii kwa kuua viumbe wengine sijaupima.
Nawasilisha.
Sasa nyinyi ndo mnatakiwa kwenda jeshini sasa 😆😆😆,,miaka flani nyuma, kibanda hakijaisha vyema
niliziba madirisha, nilipiga chumbani, kwa kua inachoke nikatoka nje kwa mda wa dk 20
kurudi, nakuta mende, mijusi, nyoka wadogo, tandu, buibui, wote wamekufa wako pembeni
nilishangaa sana, ilihali lengo ilikua ni kuua mbu, nilishangaa pia kuona naishi na tandu chumbani 😅
Hii app inaitwaje???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jana nilipuliza hiyo dawa kuua mbu nikiwa kitandani nikawa napitia threads hapa jf nikakutana na ile ya bar na kumbi 89 kufungiwa.
Wakati napitia comments nikaona member ameweka app ya kupima sauti, nikadownload nikapima sauti ikaniondika 20dB: Mosquito,.
View attachment 2616026
Nikasema yaani yenyewe mpaka sauti za mbu inatambua na nimepuliza dawa kumbe bado kuna mbu wapo.
Jina la app🤣🤣🤣
Jana nilipuliza hiyo dawa kuua mbu nikiwa kitandani nikawa napitia threads hapa jf nikakutana na ile ya bar na kumbi 89 kufungiwa.
Wakati napitia comments nikaona member ameweka app ya kupima sauti, nikadownload nikapima sauti ikaniondika 20dB: Mosquito,.
View attachment 2616026
Nikasema yaani yenyewe mpaka sauti za mbu inatambua na nimepuliza dawa kumbe bado kuna mbu wapo.
Budget ya week nzima [emoji119][emoji119][emoji119]Nenda supermarket iliyo karibu yako,kanunue spray inaitwa SWASA inauzwa 75000/=....
utanishukuru baadae
Bajeti ya bando au msosi nyumbani.Budget ya week nzima [emoji119][emoji119][emoji119]
Tena hapo ni kima cha chini sana kwa mtu anayekunywa bia mbili kwa siku...Umesema wiki mbili au masikio yangu tu!!!
Yah na ndio maana zikawepo hit na rungu...Hahah sifanyi hiyo biashara kichaa..