Utapeli wa Dawa ya 'HIT' katika kuua Mbu

Ukiona inaua mbu hapo hapo..ujue na wewe mpulizaji upo kwenye hatari siyo ya kitoto..sumu ni sumu tu..effectiveness yake inategemea na body weight na concentration..kama inaua mbu na wewe pia unawezaa kukuua
 
Mimi na mpwayungu hatujawahi kuona mbu.

Nyinyi ndugu zangu mnakutana nao wapi?
 
🤣🤣🤣

Jana nilipuliza hiyo dawa kuua mbu nikiwa kitandani nikawa napitia threads hapa jf nikakutana na ile ya bar na kumbi 89 kufungiwa.

Wakati napitia comments nikaona member ameweka app ya kupima sauti, nikadownload nikapima sauti ikaniondika 20dB: Mosquito,.



Nikasema yaani yenyewe mpaka sauti za mbu inatambua na nimepuliza dawa kumbe bado kuna mbu wapo.
 
Sasa nyinyi ndo mnatakiwa kwenda jeshini sasa 😆😆😆,,
 
Hii app inaitwaje???
 
Yaani mie mpk boss ananiambia dawa tunapulizia nyingi mbona siku 2 tu ishaisha...yaani sio mbu tu hata wadudu wengine ukitaka wafe lazima uipulize kwa wingi
 
Jina la app
 
yaani sasa hivi nimenunu hit kwa bei 7000 nafungua jf nakutana na stori ya hit nimepata hasara au ngoja nitajaribu maana nimeinunua sababu ya kunguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…