UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

Acha ushamba wewe. Vijana wanaendesha maisha yao kupitia forex mie mmojawapo.
Kalabaho na ujinga wako.
umeshindwa kunijibu kistaarabu mpk unitusi??
wapi nimekataa kuwa watu hawaishi kwa forex??
 
Boss umechanganya files, embu soma tena huko juu, anyway ngoja nikujibu tu. Mimi ni trader
Kwanza kabisa Forex sio gambling wala betting. Kama unabisha nitajie majina ya watu wawili tu ambao wamesema hiko kitu(Watu ambao wanajua kuhusu stock markets) kwa statement yako hiyo ina maana makampuni yote ambayo yana IPO na yanatrade kwenye NYSE yanagamble which is not true at all.Mambo ya kupredict ni kwenye mpira huko (Betting). Na unaposema hakuna long term guarantee ya kutengeneza hela mimi sijaclose positions zozote na loss tangu mwaka jana June 18th mpaka leo hii so whats up? ama hiyo ni short term? Dan pena made 50 billion$ long term mpaka leo hii anakaribia miaka 80 na alianza trade akiwa na 23 years old je hiyo sio long term profitable trader?Ama wewe Mtanzania mwenzangu ambaye nauhakika hata Forbes top 20 haupo una experience kuhusu hii industry kuliko wao?
Pili umeongelea kuhusu Selling Information, unaanzaje kuuza information ya kitu usichokijua wala kuwa na experience nacho? Huo si ndo utapeli wenyewe ama maana scammers wapo wengi tu na tunawajua. Unaandika kitabu kuhusu kuwa pilot wakati wewe sio pilot? Hao wote unaowaita so called winners wameishapitia hiyo njia katika Trading, Huwezi niambia Warren Buffet anategemea kitabu ili apate hela, huwezi sema Bruce Kovner anategemea kitabu apate hela, Je Joe lewis nae anategemea kitabu? How about George Soros?
Tatu, TRADER YOYOTE AMBAYE ANAPOTEZA MDA WAKE NA KUTUMIA NGUVU KUBWA KATIKA KUSHAWISHI WATU AMA KUUZA SIGNAL OR ACCOUNT MANAGEMENT MAJIBU YAKE NDO YAMETULETA KATIKA HII THREAD(Refer to the threads title). Kitu pekee ulichosema cha ukweli ni kuhusu Hedge Funds na percentage zao na hiko kitu sidhani kama Tanzania kipo (I stand to be corrected) na kwenye hedge funds 1000 ni moja tu ama mbili ambazo they are worth investing in.
Sasa kama unaogopa RISK then why trade? Why invest in someone else? na kama unaogopa risk basi hata biashara za kuku,mabasi,soda na kadhalika tuache kwa sababu mimi kama trader naweza control leo nipoteze kiasi gani na niingize kiasi kipi(Risk Management) ila muuza maembe ama mfuga kuku hawezi control hiko kitu kwasabubu kipo nje ya uwezo wake.
Ntakuuliza swali ambalo nimemuuliza mtu mmoja huko juu ila bado hajanipa jibu labda wewe waweza kuwa nalo, Naomba unitajie biashara moja tu hapa duniani isiyokuwa na risk hata ya 1% na kukuacha vizuri naomba uniambie pia una mda gani katika hii industry na how consistent are you katika profits na losses.
 
Ile ya $500 ya estate sijui vitu gani[emoji23][emoji23][emoji23]

Were Fala umechanganya majina.
Kuna "Andile Mayisela" na "Sandile Shezi"
Kuna makini, utapakatwa.
Dogo "Sandile" yuko vizuri, hanaga skendo yoyote. Ni tajiri. Anaweza akaoa ukoo wenu wote.
 
Ni wapi nimesema tofauti na hapo, algo zinasaidia kwa kuongeza ufanisi ni kama calculator inamsaidia mtu kuchakata mahesabu kwa uharaka ila haimaanishi yale mahesabu calculator inayotoa kwenye betri yake.., kwahio ni tools muhimu sana kwenye trading na its called predicting sababu sio obvious na point yangu tukirudi tulipoanzia ukasema sio kweli bado ipo palepale..

Moja: trading is risky
Mbili: Selling infos; systems na seminars (not risky)
Tatu: Money management ya pesa za watu kuwa-investia (not risky) the only problem ukipoteza sana wateja kukumbia na pia hedge funds kufa haimaanishi wenye funds kufilisiwa pesa waliyotengeneza ni ya kwao, na neno hedge lililotokea kumaanisha kulimit risky kwa kuinvest in different portifolios (na mfano wa hedge niliutoa baada ya kusema kuna watu wanatrade kutumia other peoples finances; kwa mkataba wa kugawana faida...., na Hedge funds yeye mwenyewe ndio kwa akili yake ata-invest pale anapopenda sababu umemuajili yeye kwa kazi hiyo na inachowafanya watu wachague hedge hii na sio ile ni percentage of return ambazo unawaambia kwa kawaida huwa unatoa labda 10% yearly return ya funds zao ukitegemea watu wengi wanaenda pale sababu hawana financial skills na kuweka pesa huku wanaona returns zake ni kubwa kuliko pengine
 
Hivi unajua kuna trends zinatembeaga for months mzee? Embu kaangalie EURTRY na USDTRY zimefanya nini tangu January alafu unipe mrejesho tafadhali pia angalia USDZAR tangu December tarehe 20 mpaka april katikati ilifanya nini alafu piga mahesabu ya mtu aliyetembea nazo hizo kwa standard lot size position kumi ana sh ngapi. Narudia tena HUJUI UNACHOKIONGELEA
 
Forex has never and wont be a recruiting business. Na George Soros sio solos hajawahi ongea ujinga kuhusu markets kama wewe unazoongelea mpe heshima yake.
 
Huyo jamaa ni muongo Sana tena saaaana ...
 
Mkuu katika vitu niliapa sitokuja kufanya ni kununua signal, sijawahi kufanya huo ujinga. Vicoba bado nna deni[emoji3][emoji3]

Wenzio tunanunua signal kutoka kwa Elikana_Fx na Forex Elite Academy (FEA) na Uptrend Inc. (Ya Ontario) tunapiga pesa kama kawa. Pole lakin. Komaa na vicoba.
 
Asingekuwepo information seller wengine wangefahamu vipi?
Real trader ambaye anakufundisha sio kwamba anashida na hela yako. Ila unatakiwa uthamini muda wake na hata asingekufundisha ungebaki kuwa looser tu.
 
Hapana sitredi kabisa najipanga upya

Karibu Uptrend shoga mbona watu tunapiga pesa vizuri tu. Mie kwa week naingiza wastani wa $200 sio mbaya. Hapo ni Uptrend Inc.

Halafu kwa Elikana-Fx sijadeposit bado (fees zake expensive sana anacharge $100 kwa mwezi)

Kisha FEA ya kina Carlos naingiza kama $150 hivi kwa week.

Sasa niambie, $200 + $150 = $350 kwa week = $1200 kwa mwezi = 2.5 million TZS hainitoshi kukaa nyumbani na kusahau vicoba!!!

Maisha marahisi ukifungua akili na ukiwa tayari ku-take calculate risk.
 

Unajua maana ya gambling , (taking a risky action in hope of a desired result nimekupa mfano wa Soros huyo huyo ambaye aligamble kwamba England itaacha kujaribu kuzuia pound isishuke na mwisho wa siku gamble yake ika-pay off; England ingekaza uzi hapa tungeongea mengine......


Soma na kuelewa nimesema kwenye hii industry kuna sources hizo za kupata pesa Trader (risky); selling information na system zilizokufanya wewe ufanikiwe (not risky)

Managing people money and doing trades for them (not risky) kumbuka hapa hatumuongelei nani alifanya nini na wapi tunaongelea industry na kumbuka hawa watu wakubwa kutoa vitabu pia its a publicity, marketing promotion na kuwasaidia kwenye biashara zao its not only monetary value.., ila vitabu vyao huenda vikawa na publicity value ya pesa nyingi ambayo wangetumia pesa nyingi.., sio wote wanatoa vitabu ku-share knowledge yao na the mass

Tatu, TRADER YOYOTE AMBAYE ANAPOTEZA MDA WAKE NA KUTUMIA NGUVU KUBWA KATIKA KUSHAWISHI WATU AMA KUUZA SIGNAL OR ACCOUNT MANAGEMENT MAJIBU YAKE NDO YAMETULETA KATIKA HII THREAD(Refer to the threads title).
hapa hatuongelei the morality ya mtu ku-recruit watu ila nimeongelea risk involve kwa huyu mtu ambayo ni non.., na kama aliwaambia watu ninatumia ujuzi wangu kufanya investment kuwazalishia tugawane faida; hapo watu hawana kesi.., na bado kauli yangu its true no risk involved.

Pia hedge funds inatokana na kitu hedge (minimizing risk), na hizi funds zinaspread risky kwa ku-invest kwenye different portifolios na mwisho wa siku funds ikiungua ni pesa za wadau...

Na point kuanzia mwanzo ni risk involve kwenye kitu husika..., sasa issue ya muuza maembe, sijui wewe umepata ngapi au umepoteza ngapi hainihusu wala haina faida kwangu chenye faida ni kilichoandikwa na kuelezewa kama kina ukweli wowote (factuals) ya wewe umefanya nini au nani kafanya nini haibadilishi factual arguments
 
Hiyo namba tatu Nani kakwambia account managers wakipata loss Wateja wanakimbia na hawana risky .. Kama hawana risk kwanini huyo magnetic amekimbia na anatafutwa na mikataba inambana arudishe sehemu ya investment ya investors..


Hivi umewahi kuushika mkataba wa investor na account manager na unavyosema atakapochoma account inakuwaje ??? ..

Watanzania acheni ujuaji .. Kuna kampuni kama umeinvest kwao ikitokea wamechoma account yako wanakurefund 50-70% ya account yako .. Sasa hiyo sio risk kwa account managers .. Vitu kama hujui funga domo mzee sio kujifanya mjuaji ....


Kile Ghana kuna MTU alichoma account za watu kama huyo magnetic alipigwa miaka hela mpaka sasa kutokana na mkataba alioingia na investors wake ...

Wewe unaona account managers hawana risk kwa sababu watanzania tuna vichwa nyanya hatusomi mikataba kabla ya kusaini unapompa hela huyo account manager..



Nakushauri kama hujui vitu kaa kimya au omba ueleweshwe.
 
Kwahiyo point yako ni ipi??
 
Hello guys sorry hv ni institutions zipi Tanzania zinaweza kutoa mkopo ukiwa na business proposal nzuri
 
Wenzio tunanunua signal kutoka kwa Elikana_Fx na Forex Elite Academy (FEA) na Uptrend Inc. (Ya Ontario) tunapiga pesa kama kawa. Pole lakin. Komaa na vicoba.
mama Deborah rudi kwenye mt4 yako huku umekuja tu kuleta kasharishari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…