Mama Debora
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 1,482
- 2,600
Hapana
Pole. Pole sana. Kwahiyo umeajiriwa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana
umeshindwa kunijibu kistaarabu mpk unitusi??Acha ushamba wewe. Vijana wanaendesha maisha yao kupitia forex mie mmojawapo.
Kalabaho na ujinga wako.
Boss umechanganya files, embu soma tena huko juu, anyway ngoja nikujibu tu. Mimi ni traderDuh kweli hapa naona ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa...,
Hapo katika makundi matatu; niliyoweka, Trader; Information Seller; na Money Funds Manager nimetoa mifano mitatu tu (wote wapo kwenye industry moja) ambayo hao wawili hawana risk ya kupoteza funds zao.., sasa kama tunataka kusema risks zote zinalingana naona hapa tunapotezeana muda...
Kwanza kabisa Forex sio gambling wala betting. Kama unabisha nitajie majina ya watu wawili tu ambao wamesema hiko kitu(Watu ambao wanajua kuhusu stock markets) kwa statement yako hiyo ina maana makampuni yote ambayo yana IPO na yanatrade kwenye NYSE yanagamble which is not true at all.Mambo ya kupredict ni kwenye mpira huko (Betting). Na unaposema hakuna long term guarantee ya kutengeneza hela mimi sijaclose positions zozote na loss tangu mwaka jana June 18th mpaka leo hii so whats up? ama hiyo ni short term? Dan pena made 50 billion$ long term mpaka leo hii anakaribia miaka 80 na alianza trade akiwa na 23 years old je hiyo sio long term profitable trader?Ama wewe Mtanzania mwenzangu ambaye nauhakika hata Forbes top 20 haupo una experience kuhusu hii industry kuliko wao?Duh kweli hapa naona ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa...,
Hapo katika makundi matatu; niliyoweka, Trader; Information Seller; na Money Funds Manager nimetoa mifano mitatu tu (wote wapo kwenye industry moja) ambayo hao wawili hawana risk ya kupoteza funds zao.., sasa kama tunataka kusema risks zote zinalingana naona hapa tunapotezeana muda...
Ile ya $500 ya estate sijui vitu gani[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni wapi nimesema tofauti na hapo, algo zinasaidia kwa kuongeza ufanisi ni kama calculator inamsaidia mtu kuchakata mahesabu kwa uharaka ila haimaanishi yale mahesabu calculator inayotoa kwenye betri yake.., kwahio ni tools muhimu sana kwenye trading na its called predicting sababu sio obvious na point yangu tukirudi tulipoanzia ukasema sio kweli bado ipo palepale..Forex Trading is all about Fundamentals, Tachnical and Sentiments.
Algo zinatambua Technical side ila haziwezi predict fundamentals or sentiments.
Algo haziwezi predict the direction of news and how people predict the market. There is no human factor in Algo because they are fed with massive amount of data ambazo hazijawa categorized kama zimekuwa derived from fundamentals or sentiments.
Kuuza vitabu, signals au trainings, IB links is all about side incomes japo baadhi wanakomaa nazo kama main sources of income. Na nina wafahamu watu wengi tu wanafanya hivyo vitu na ni fulltime traders and they are very successfull. Wanafanya because they feel like helping people and their groups is very small and tight. Huwezi kuta wanatangaza kwa watu unless someone recommends to them.
Hedge funds is all about someone creating a pool of funds every investor can access. And those funds are channelled towards specific objectives. There are thousands of financial instruments to be invested in. There are several portifolios any investor can choose to invest. Mfano, Vanguard wana mamia ya portifolio yenye strategy tofauti ambapo wewe kama investor unachagua unayoona inafaa strategy yako.
Very little is channelled towards trading, ukiona Hedge Fund imeanguka, it's either 1. Watu wametoa funds zao, 2. Investments walizofanya zimeincur lots of loss ambayo hata wewe ukiinvest solo ungepata hasara.
Hivi unajua kuna trends zinatembeaga for months mzee? Embu kaangalie EURTRY na USDTRY zimefanya nini tangu January alafu unipe mrejesho tafadhali pia angalia USDZAR tangu December tarehe 20 mpaka april katikati ilifanya nini alafu piga mahesabu ya mtu aliyetembea nazo hizo kwa standard lot size position kumi ana sh ngapi. Narudia tena HUJUI UNACHOKIONGELEAHapa naona tunazunguka tu mkuu nikuulize swali hizo strategy zako zinaweza kuwa computerized na ku-detect chochote kile ambacho wewe unakiona ila yenyewe ikakifanya kwa dakika chache na ku-capitalize ? yaani kuuza au kununua kwa haraka kabla trend haijaswing the other way ? (na hapa point kubwa kuna risk involved kupata au kukosa no matter wewe ni mtu au mashine) kabla ya yote lazima tujue kwanini forex inaweza ikaswing...; na sababu ni market psychology, political developments na uchumi wa nchi..., kwahio kuna risk involved..
Muuza vitabu, systems au mtoa darasa yeye hana risk involved..
Na Hedge maana yake tu ni kwamba "a way of protecting oneself against financial loss or other adverse circumstances" kwahio mwisho wa siku mtu unakuwa umejiprotect na kama unamanage pesa za watu Hedge Fund ikipata hasara mwisho wa siku ni other peoples money sababu in essence mkataba ni kukuzalishia mgawane faida sio mgawane hasara..., (ndio maana issue ya hedge funds kuingia hapa ni baada ya kutoa mfano wa watu wanaotrade na other peoples money with zero risk kwao, nikatoa mfano how hedge funds make their money)..., na Hasara kubwa ya Hedge Funds ni kupoteza business kama hakuna returns kwa wateja mwisho wa siku watakukimbia thats why they always hedge their portifolio kupunguza risks
Forex has never and wont be a recruiting business. Na George Soros sio solos hajawahi ongea ujinga kuhusu markets kama wewe unazoongelea mpe heshima yake.Sasa mkuu na wewe unanipotezea muda wangu..., hivi faida ya mimi kukujua wewe unafanya nini au mimi ni nani na nimefanya nini na wapi inaingiliana vipi na kinachofanyika au ukweli unaosemwa ?, Kwahio George Solos akiongea pumba sababu ni Trader mkubwa tuchukulie alichokiongea au alichokifanya..., Haya mambo ya kutegemea mtu sababu kafanya nini basi ndio anachokwambia ni sahihi ndio inapelekea wengi kuumia kwenye hizi recruiting businesses , Mimi nilidhani hapa tunaongelea Forex..., kumbe ni uzi wa kujuana ?
Huyo jamaa ni muongo Sana tena saaaana ...Hivi unajua kuna trends zinatembeaga for months mzee? Embu kaangalie EURTRY na USDTRY zimefanya nini tangu January alafu unipe mrejesho tafadhali pia angalia USDZAR tangu December tarehe 20 mpaka april katikati ilifanya nini alafu piga mahesabu ya mtu aliyetembea nazo hizo kwa standard lot size position kumi ana sh ngapi. Narudia tena HUJUI UNACHOKIONGELEA
Mkuu katika vitu niliapa sitokuja kufanya ni kununua signal, sijawahi kufanya huo ujinga. Vicoba bado nna deni[emoji3][emoji3]
Asingekuwepo information seller wengine wangefahamu vipi?Duh kweli hapa naona ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa...,
Hapo katika makundi matatu; niliyoweka, Trader; Information Seller; na Money Funds Manager nimetoa mifano mitatu tu (wote wapo kwenye industry moja) ambayo hao wawili hawana risk ya kupoteza funds zao.., sasa kama tunataka kusema risks zote zinalingana naona hapa tunapotezeana muda...
Hapana sitredi kabisa najipanga upya
Boss umechanganya files, embu soma tena huko juu, anyway ngoja nikujibu tu. Mimi ni trader
Kwanza kabisa Forex sio gambling wala betting. Kama unabisha nitajie majina ya watu wawili tu ambao wamesema hiko kitu(Watu ambao wanajua kuhusu stock markets) kwa statement yako hiyo ina maana makampuni yote ambayo yana IPO na yanatrade kwenye NYSE yanagamble which is not true at all.Mambo ya kupredict ni kwenye mpira huko (Betting). Na unaposema hakuna long term guarantee ya kutengeneza hela mimi sijaclose positions zozote na loss tangu mwaka jana June 18th mpaka leo hii so whats up? ama hiyo ni short term? Dan pena made 50 billion$ long term mpaka leo hii anakaribia miaka 80 na alianza trade akiwa na 23 years old je hiyo sio long term profitable trader?Ama wewe Mtanzania mwenzangu ambaye nauhakika hata Forbes top 20 haupo una experience kuhusu hii industry kuliko wao?
Pili umeongelea kuhusu Selling Information, unaanzaje kuuza information ya kitu usichokijua wala kuwa na experience nacho? Huo si ndo utapeli wenyewe ama maana scammers wapo wengi tu na tunawajua. Unaandika kitabu kuhusu kuwa pilot wakati wewe sio pilot? Hao wote unaowaita so called winners wameishapitia hiyo njia katika Trading, Huwezi niambia Warren Buffet anategemea kitabu ili apate hela, huwezi sema Bruce Kovner anategemea kitabu apate hela, Je Joe lewis nae anategemea kitabu? How about George Soros?
hapa hatuongelei the morality ya mtu ku-recruit watu ila nimeongelea risk involve kwa huyu mtu ambayo ni non.., na kama aliwaambia watu ninatumia ujuzi wangu kufanya investment kuwazalishia tugawane faida; hapo watu hawana kesi.., na bado kauli yangu its true no risk involved.Tatu, TRADER YOYOTE AMBAYE ANAPOTEZA MDA WAKE NA KUTUMIA NGUVU KUBWA KATIKA KUSHAWISHI WATU AMA KUUZA SIGNAL OR ACCOUNT MANAGEMENT MAJIBU YAKE NDO YAMETULETA KATIKA HII THREAD(Refer to the threads title).
Pia hedge funds inatokana na kitu hedge (minimizing risk), na hizi funds zinaspread risky kwa ku-invest kwenye different portifolios na mwisho wa siku funds ikiungua ni pesa za wadau...Kitu pekee ulichosema cha ukweli ni kuhusu Hedge Funds na percentage zao na hiko kitu sidhani kama Tanzania kipo (I stand to be corrected) na kwenye hedge funds 1000 ni moja tu ama mbili ambazo they are worth investing in.
Sasa kama unaogopa RISK then why trade? Why invest in someone else? na kama unaogopa risk basi hata biashara za kuku,mabasi,soda na kadhalika tuache kwa sababu mimi kama trader naweza control leo nipoteze kiasi gani na niingize kiasi kipi(Risk Management) ila muuza maembe ama mfuga kuku hawezi control hiko kitu kwasabubu kipo nje ya uwezo wake.
Ntakuuliza swali ambalo nimemuuliza mtu mmoja huko juu ila bado hajanipa jibu labda wewe waweza kuwa nalo, Naomba unitajie biashara moja tu hapa duniani isiyokuwa na risk hata ya 1% na kukuacha vizuri naomba uniambie pia una mda gani katika hii industry na how consistent are you katika profits na losses.
Hiyo namba tatu Nani kakwambia account managers wakipata loss Wateja wanakimbia na hawana risky .. Kama hawana risk kwanini huyo magnetic amekimbia na anatafutwa na mikataba inambana arudishe sehemu ya investment ya investors..Ni wapi nimesema tofauti na hapo, algo zinasaidia kwa kuongeza ufanisi ni kama calculator inamsaidia mtu kuchakata mahesabu kwa uharaka ila haimaanishi yale mahesabu calculator inayotoa kwenye betri yake.., kwahio ni tools muhimu sana kwenye trading na its called predicting sababu sio obvious na point yangu tukirudi tulipoanzia ukasema sio kweli bado ipo palepale..
Moja: trading is risky
Mbili: Selling infos; systems na seminars (not risky)
Tatu: Money management ya pesa za watu kuwa-investia (not risky) the only problem ukipoteza sana wateja kukumbia na pia hedge funds kufa haimaanishi wenye funds kufilisiwa pesa waliyotengeneza ni ya kwao, na neno hedge lililotokea kumaanisha kulimit risky kwa kuinvest in different portifolios (na mfano wa hedge niliutoa baada ya kusema kuna watu wanatrade kutumia other peoples finances; kwa mkataba wa kugawana faida...., na Hedge funds yeye mwenyewe ndio kwa akili yake ata-invest pale anapopenda sababu umemuajili yeye kwa kazi hiyo na inachowafanya watu wachague hedge hii na sio ile ni percentage of return ambazo unawaambia kwa kawaida huwa unatoa labda 10% yearly return ya funds zao ukitegemea watu wengi wanaenda pale sababu hawana financial skills na kuweka pesa huku wanaona returns zake ni kubwa kuliko pengine
Kwahiyo point yako ni ipi??Mkuu narudia tena fundamentals.., fundamentals...., fundamentals elewa ninachokiongea..
Leo wewe unafanya trading unayo system yako na mbinu zako unazotumia..., unaamua kuandika kitabu jinsi unavyopata pesa (na kwenye hii dunia ya infoproducts hata huitaji kwenda kwa publisher, unaweka kwenye pdf au dvd unasambaza) unatafuta darasa unafundisha watu jinsi unavyofanya na kupiga pesa ili wawe wengine nao wafanye kama wewe..., kwa akili yako unaona risky hapo zipo sawa ? naposema wauza systems na wauza software unaona ni watu sawa..., wewe ukiwa na system yako unaweza usiwe programmer ukawafuata programmers wakakufanyia kazi ukawapa chao.., na wewe mpaka kuuza hio system ni kwamba ina returns nzuri ili watu wanunue..
Issue hapa kubwa mimi nikiongelea maji wewe unaleta story za uji..., ingawa vyote ni vimiminika ila sio sawa....
[emoji1] utapoteza muda wako hapoKwahiyo point yako ni ipi??
mama Deborah rudi kwenye mt4 yako huku umekuja tu kuleta kasharishariWenzio tunanunua signal kutoka kwa Elikana_Fx na Forex Elite Academy (FEA) na Uptrend Inc. (Ya Ontario) tunapiga pesa kama kawa. Pole lakin. Komaa na vicoba.
TALAHello guys sorry hv ni institutions zipi Tanzania zinaweza kutoa mkopo ukiwa na business proposal nzuri