UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

hahaha!
hiyo ya cashflow ni ya kweli mkuu?
1093311
 
Huwa hazilipiki hela kama hizo za Forex..mi nimekuwa mpole kitambo sasa baada ya kupigwa na mkenya na msouth Andile
Mkuu pole sana huyo mkenya ni yupi tena?Ila forex trader wakutoka south africa wengi wanapata pesa kutoka kwenye magroup ya signal ila ukiangalia kiundani ata forex hawafanyi wanajifanya kutoa signal ili kupata hela hakuna jipya.
 
Nashindwa kushangaa Ndugu ila wabongo tumekua wavivu sana kwenye kusaka maarifa yani tunapigwa waziwazi unampa mtu pesa alafu amanage account yako kwani yeye amekua market maker?
hahahah kweli kabisa
 
watu hatuna patience tunataka mambo ya fasta fasta....yale ya umelala masikini umeamka tajiri
Wakati naanza forex 2014 nilikuwa hivyo hivyo 😂😂 ila week la kwanza tu ndoto zote ziliyeyuka nikatia akili, kuna dogo mmoja hivi wa Rich kids of London go shopping nilikuwa naangalia episode ndo nilijulia forex hapo nilivyoona ma Lambo na bentley nkapagawa nkajua ni Utajiri wa dakika zero. Looking back aisee i was so stupid to be honest
 
Back
Top Bottom