UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

Wakati naanza forex 2014 nilikuwa hivyo hivyo 😂😂 ila week la kwanza tu ndoto zote ziliyeyuka nikatia akili, kuna dogo mmoja hivi wa Rich kids of London go shopping nilikuwa naangalia episode ndo nilijulia forex hapo nilivyoona ma Lambo na bentley nkapagawa nkajua ni Utajiri wa dakika zero. Looking back aisee i was so stupid to be honest
ila angalau umejifunza kuna watu mpk leo pamoja & ushahidi wote huu bado hawataki kuelewa
 
Wakati naanza forex 2014 nilikuwa hivyo hivyo 😂😂 ila week la kwanza tu ndoto zote ziliyeyuka nikatia akili, kuna dogo mmoja hivi wa Rich kids of London go shopping nilikuwa naangalia episode ndo nilijulia forex hapo nilivyoona ma Lambo na bentley nkapagawa nkajua ni Utajiri wa dakika zero. Looking back aisee i was so stupid to be honest
1. vp unaendelea kufanya fores??,
2. kuna jamaa yangu huwa ananiambia nikimpa elf 50 ataifanya iwe laki na nusu nadni yawiki, je pana ukakika au ntapigwa?
 
Ni njaa tu simply put. Huwezi ingiza 1000$ per day alafu upo busy kutafuta account za kumanage na kuuza signal 10$ a month. sema kuna jamaa anauza signal zake 10 million za kibongo kwa mwezi😂
hahahaha Huyo jamaa anayeuza signal 10 million za kibongo kwa mwezi atakua market maker siyo bure 🙄🙄🙄.Ila Mkuu bado unafanya biashara ya forex?
 
Tunawaambia ila hua hamsikii..huyu dogo nlikua namuangalia kwa jicho la mbali instagram alipokua anasema kwamba sjui ujiunge na uweke mtaji wako haalfu ndan ya mwezi sjui wiki akaunti itakua na dola elfu 10..ikifika dola 10000 unatoa..yeye ndo anakua anakupa hizo entries..nikasema..."kamwene"
 
1. vp unaendelea kufanya fores??,
2. kuna jamaa yangu huwa ananiambia nikimpa elf 50 ataifanya iwe laki na nusu nadni yawiki, je pana ukakika au ntapigwa?
Naendelea boss, sikuacha na sitoacha. Forex inalipa vizuri tu tena sana. hilo la pili mzee mimi nipo against mtu kumpa mtu mwingine hela, kama unataka jifunze ufanye mwenyewe japo itakuchukua mda ila matunda yake ni makubwa zaidi.
 
Huwa hazilipiki hela kama hizo za Forex..mi nimekuwa mpole kitambo sasa baada ya kupigwa na mkenya na msouth Andile
Yule dogo mfupi.haha pole sana ..namuangaliaga tu na inspiration zake feki feki tu instagram ..anawapiga halafu anaenda kuzitumbua hela kwenye mahoteli ya nyota tano
 
Naendelea boss, sikuacha na sitoacha. Forex inalipa vizuri tu tena sana. hilo la pili mzee mimi nipo against mtu kumpa mtu mwingine hela, kama unataka jifunze ufanye mwenyewe japo itakuchukua mda ila matunda yake ni makubwa zaidi.
nimesoma untrade stocks mkuu, so stcocks ndio kuna unafuu zaidi ya forex hii tunayoijua au...kuna utofauti upi?

nen.png
 
Naendelea boss, sikuacha na sitoacha. Forex inalipa vizuri tu tena sana. hilo la pili mzee mimi nipo against mtu kumpa mtu mwingine hela, kama unataka jifunze ufanye mwenyewe japo itakuchukua mda ila matunda yake ni makubwa zaidi.
Mkuu naomba kuuliza unawafahamu jamaa wanaitwa The Forex Family[Uncle Ted,Wicksdontlie etc]?
 
hahahaha Huyo jamaa anayeuza signal 10 million za kibongo kwa mwezi atakua market maker siyo bure 🙄🙄🙄.Ila Mkuu bado unafanya biashara ya forex?
😂 ningepost kipeperushi chake sema itakuwa nampa promo ya bure. Jamaa anaclaim ni 100% accuracy mwezi mzima, hapo tayari alikuwa kaisha chukua 200$ karibia kwa watu mia nne na hajawapa mrejesho mpaka leo. Na ni huyu huyu aliwakusanya tena 1000$ ndani ya miezi miwili anawapa 10000$ za gari na hiyo ni toka december na sasa hivi wote wanaulizia kwenye group kuhusu hzo ishu wanatiwa block, alifungua ka ofisi kigamboni kule now imefungwa blaza kapotea yani huyu mshkaji kwa hesabu za haraka haraka kaishapiga zaidi ya 400k$ huyo magnetics akasome😂😂😂😂 na hakuna wa kumdai kwa sababu wote waliotoa hela wamesign mkataba
 
[emoji23] ningepost kipeperushi chake sema itakuwa nampa promo ya bure. Jamaa anaclaim ni 100% accuracy mwezi mzima, hapo tayari alikuwa kaisha chukua 200$ karibia kwa watu mia nne na hajawapa mrejesho mpaka leo. Na ni huyu huyu aliwakusanya tena 1000$ ndani ya miezi miwili anawapa 10000$ za gari na hiyo ni toka december na sasa hivi wote wanaulizia kwenye group kuhusu hzo ishu wanatiwa block, alifungua ka ofisi kigamboni kule now imefungwa blaza kapotea yani huyu mshkaji kwa hesabu za haraka haraka kaishapiga zaidi ya 400k$ huyo magnetics akasome[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hakuna wa kumdai kwa sababu wote waliotoa hela wamesign mkataba
taja tu ili tusiingie mkenge
 
Heading To Work kwa upande wangu naona kama wanawavutia watu waingie kwenye kumi na nane zao wawapige kama hivyo na kauli yako kuwa kuna wabongo wanapiga pesa toa vielelezo wanapigaje ili na hao wengine wanaotaka kufanya Forex wafanye wenyewe wapige hiyo hela kama ni rahisi tuu ingawaje Mimi sifikirii wala siji kuja kuifanya...watu wapo busy na picha za BMW X 6 kwa kuwavutia wapigwaji..
 
😂 ningepost kipeperushi chake sema itakuwa nampa promo ya bure. Jamaa anaclaim ni 100% accuracy mwezi mzima, hapo tayari alikuwa kaisha chukua 200$ karibia kwa watu mia nne na hajawapa mrejesho mpaka leo. Na ni huyu huyu aliwakusanya tena 1000$ ndani ya miezi miwili anawapa 10000$ za gari na hiyo ni toka december na sasa hivi wote wanaulizia kwenye group kuhusu hzo ishu wanatiwa block, alifungua ka ofisi kigamboni kule now imefungwa blaza kapotea yani huyu mshkaji kwa hesabu za haraka haraka kaishapiga zaidi ya 400k$ huyo magnetics akasome😂😂😂😂 na hakuna wa kumdai kwa sababu wote waliotoa hela wamesign mkataba
Mtaje Mkuu ili wengine wasipigwe pesa zaidi ila kuna swali nimekuuliza naona kimya aise.
 
Heading To Work kwa upande wangu naona kama wanawavutia watu waingie kwenye kumi na nane zao wawapige kama hivyo na kauli yako kuwa kuna wabongo wanapiga pesa toa vielelezo wanapigaje ili na hao wengine wanaotaka kufanya Forex wafanye wenyewe wapige hiyo hela kama ni rahisi tuu ingawaje Mimi sifikirii wala siji kuja kuifanya...watu wapo busy na picha za BMW X 6 kwa kuwavutia wapigwaji..
Ile ni chambo kwaajili ya kuvuta samaki kunasa wateja,wengi wanapata pesa kwakujifanya wanatoa signal huku wenyewe hawatrade piga hesabu kundi moja lina trader 100 alafu utakuta ana makundi zaidi ya 7 kila mmoja anatoa dollar 100 kila mwezi jibu lake anatengeneza pesa ndefu sana hapo.
 
Back
Top Bottom