Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Sijawahi hata kumuonaUliliwa shilingi ngapi za madafu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi hata kumuonaUliliwa shilingi ngapi za madafu...
Nilidhani una trade kwake, vipi bado unaendelea ku trade...Sijawahi hata kumuona
HapanaNilidhani una trade kwake, vipi bado unaendelea ku trade...
vip kuhusu fbspia tusiwasahau ig, pepperstone na forex.com
Huyu sio yule wa JNIC kweli huyukuna mwingine naye hapa hapa bongo kachukua usd laki moja na nusu kwa watu toka January mpaka leo kapotea pasipo julikana, kibaya zaidi aliwasainisha watu mikataba hata pesa isipo rudi he is not liable
Kutafuta kiki isiyo na msingi ujulikane na kila mtuNajiuliza kila siku bila kupata majibu kama Forex inakupatia hela kwann una manage account za watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka ofisi yake unaijua..ushapigwa pesa nin mkuuVipi ile ofisi pale kafunga?
Ile ya $500 ya estate sijui vitu gani[emoji23][emoji23][emoji23]Huwa hazilipiki hela kama hizo za Forex..mi nimekuwa mpole kitambo sasa baada ya kupigwa na mkenya na msouth Andile
Hapana, sijawahi kuhusiana nae kwa namna yoyote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka ofisi yake unaijua..ushapigwa pesa nin mkuu
Aliachana nae alivyoanza kuwa maarufu na demu akaresign kuwa co CEO jamaa akaenda kwa kademu kengine kachuo sijui kale ikawa ivo kwa mujibu wa wanazengoDaaaah..Jamaa kapatwa na nini asee .
Mbona majanga yanamuandama sana .
Alikuwaga na ndinga kali sana BMW ikala mzinga then huku madeni juu.
Yule manzi ake hajamkimbia kweli.??
Mana manzi fulani mjanja janja sana anaonekana.
Yrap anaitwa jabulani ngcobo na mkewe wote wamesekwa ndani chanzo kwazulunatal newshahaha!
hiyo ya cashflow ni ya kweli mkuu?
mke wake kafanyaje nae alikuwa mhusika pia?Yrap anaitwa jabulani ngcobo na mkewe wote wamesekwa ndani chanzo kwazulunatal news
Hahahahahah dogo hela zilimzuzua sana sijui alipatwa na niniAliachana nae alivyoanza kuwa maarufu na demu akaresign kuwa co CEO jamaa akaenda kwa kademu kengine kachuo sijui kale ikawa ivo kwa mujibu wa wanazengo