UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

Hutakiwi kuamini mtu let your money being on your pockets and do things for yourself, nimejifunza sana pesa mtelezo amna yaani michezo ya pata potea siyo mizuri unapata Leo kesho wanazipiga zote typical gambling, kwani nini wasitrade wenyewe Waka earn hao wanaokupa hints utrade, asee bora sh.3000 ya jasho ukiulizwa kesho iko wapi unayo wakati 1mil huna ya betting au forex, tamaa inawaponza MATAJIRI wenye pesa nyingi kuwa maskini, tamaa iwe ya kazi tu...naamini zipo a huge of opportunities out there licha ya forex and gambling
 
watu wanapenda mteremko mno, mbona forex rahisi tu ukishajua unapiga hela mdogo mdogo tu ila wabongo wenzangu na vitabu ni maji na mafuta
Sidhani mkuu hata ukitrade mwenyewe hao si kitu kile kile kwamba unaamini market makers wao kwani hawataki pesa.
 
Hahahahahah dogo hela zilimzuzua sana sijui alipatwa na nini

Alianza jeuri na nyodo kudadadek wana tuliokuwa tunampa vitabu longtime akatuona takataka aisee

Tukasema tawile baba hivi sasa kajificha njombe huko kwao anapambana na MT4 haipandi kila siku vitasa kwani soko sio LA babake hahahahshah
😂😂😂😂 Umenichekesha sana ulivosema akawaona wana sio riziki afu mkasema tawilee, eti yupo njombe MT4 hazipandi...😅😅😅😅dah wabongo shikamoo
 
Free forex telegram channel

cover%20fb.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umenichekesha sana ulivosema akawaona wana sio riziki afu mkasema tawilee, eti yupo njombe MT4 hazipandi...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]dah wabongo shikamoo
Ndio ukweli ulivyo jamaa alipata dharau mbaya sana .

Mwanzo alikuwa very humble humble sana sijui nini kilimbadili .

Hawa vijana wadogo wakishika hela mapema ukichaa unawapata .

Siku niliyoona ila ndinga imekuwa mzinga nikajua huu sasa maisha yameanza Ku counter trend dhidi yake.

Sijakaa ika ile ishu ya Iokote madogo waliokamatwa wanakanyaga hela ni rafiki zake na inasemekana pale walipokuwa wanafanya huo mchezo ni kwake.

Sijakaa fresh nikasikia kaunguza akaunti aisee nikashangaa sana huyu dogo imekuwaje ?

Mara nikashangaa anakuja na vi offer vya free signal telegram,watu waka deposit kupitia referral link yake akapata vihela toka broker akawapata watu free signal wakachoma wote hahahahah

Mara nikasikia anatafutwa na wana kawatapeli hadi watu waliokuwa wanamwamini sana sana .

Mara kaibuka anasema yuko nje ya dar nikajua huyu yuko njombe tu ndio kwao huko kakimbia Sura za wana

Ikabidi niukumbuke wimbo wa CRAIG DAVID na Sting "RISE AND Fall"

"Sometime in your life u feel the fight is over,overrrr.

It seems as though the writings on the wall

Superstar u finally made it,

But once ur picture becomes tainted ,

It what they call ,The Rise and fall."

I hope he will bounce back with the last kiss
 
Unachokisema Ni kweli vijana wadogo dharau zipo asa wakipata pesa kwa njia ya mteremko au shortcut yaani akiona asiye na hela au anafanya kazi za kutumia nguvu nyingi au akili nyingi bila mafanikio anamuona mavi takataka hafai wala hajitambui.

sikufichi hii kitu ya kudharau watu kwa style hii ipo sana, na hii ni tofauti kwa aliye pata pesa kwa juhudi za muda mrefu maana anakuwa anajua kupata pesa ni hustle na process, sasa wa pesa za haraka wote wanadharau na wanashukaga maana huwezi muambia huyo dogo eti akalime shamba aache forex au akauze tofali, lazima aone hapati pesa yoyote zaidi ya mateso.

Amezoea mteremko wa forex na soda baridi 😅 forex ikifeli akafilisika anakuwa siyo kiumbe wa kawaida japo umri bado.

Forex kamari mzee siyo pakutafutia pesa kiivo kama ndiyo unadunduliza maisha.
Wengi wanashindwa kuelewa ukitusua Mara moja achana nayo wao wanakomaa, hapo lazima market maker wakuzoom wachote pesa sasa usipoanza kukimbilia kwa waganga wa kienyeji wale wazee wa ramli sijui
 
Nimepitia Uzi mzima ... Nimejifunza yafuatayo ;

1. Watanzania bado hatujielewi. Hatupendi kutafuta maarifa. Hivi inakuaje unampa mtu Pesa yako akili akufanyie forex kabla ya wewe kusoma na uelewe forex.

2. Kuna watu wanasema forex ni mchezo eti unapata Pesa rahisi ukiwa umekaa. Mimi nawauliza hivi wale wanaonunua hisa pale Dar Es Salaam Stock Exchange (Soko la hisa la Dar ) huwa wanabeba vitu kichwani pale ??... Halafu forex sio rahisi kama wengi wanavyodhani..Ni biashara ngumu mno. Ndio maana kabla ya kujiunga umepewa Disclaimer kama tahadhari ila uvivu Wetu wa kusoma na kufanya vitu kwa msukumo wa mafanikio ya haraka tunaachwa kwenye hasara kubwa ..

3. Elimu Elimu Elimu ... Jamani hivi unawezaje kumpa mtu million 10 akufanyie account management wakati yeye Mwenyewe forex kaanza miaka mitatu nyuma !!!!!!!.... Experience ni kitu kikubwa sana kwenye forex ... Hata kama unataka account management kama huwezi kufanya mwenyewe tafuta watu wenye experience si chini ya miaka 15 kwenye industry na wenye equity ya maana sio hawa wabongo zaidi ya kukuonesha Gari na nyumba siku akiunguza account yako hawezi kukupa hata asilimia 50 ya account yako ...

5. Katika biashara yoyote usiingie kwa tamaa au msukumo wa mafanikio ya haraka .. Sio Forex tu hata kulima .. Kuna watu waliambiwa ukilima matikiti utapata mamilioni llna wakachukua mikopo mpaka banks ila wakaishia kupata hasara za kufa MTU .. Kuna watu walianza biashara za mayai ya kwale,kufuga Kuku n.k kwa influence ya watu kuwa kuna Pesa za haraka .. Mwisho wa siku ni vilio.. Hivyo hivyo kwenye forex kama biashara zingine ... Acha kuhadaiwa na watu kuhusu mafanikio ya haraka au kuna hela ya bure lazima utapigwa tu ... Ukiona mtu anakwambia Forex kuna hela rahisi ni either anataka ujiunge kupitia referral link yake (IB Link ) ili apige hela kupitia wewe au awe anakupa signals za kulipia ...

6. Kingine nilichojifunza ni watanzania tunapenda mteremko sana na kuambiwa maneno matamu ... Mimi Mara zote mtu ukinifuata inbox kuhusu Forex nitakwambia sio rahisi ila jitahidi kuijua utajua ... Na ruhusu ujipe muda si chini ya miezi mitatu mpaka sifa kujifunza ... Huu ushauri wengi hawataki kuusikia ... Wakikutana na wale watu wanawaambia training za siku 3 za Forex wanatuona sisi vichaa ... Hakuna biashara rahisi hivyo hata kuuza cocaine kuna risk zake sio rahisi hivyo ...

Hivyo basi kwa observations zangu hizo na utitiri wa training uchwara nyingi kuhusu Forex tutarajie matokeo mengi kama haya siku za hivi karibuni .. Na tutashuhudia vijana wengi wakikimbia mijini kwa kusababishia watu hasara ....
 
Ndio ukweli ulivyo jamaa alipata dharau mbaya sana .

Mwanzo alikuwa very humble humble sana sijui nini kilimbadili .

Hawa vijana wadogo wakishika hela mapema ukichaa unawapata .

Siku niliyoona ila ndinga imekuwa mzinga nikajua huu sasa maisha yameanza Ku counter trend dhidi yake.

Sijakaa ika ile ishu ya Iokote madogo waliokamatwa wanakanyaga hela ni rafiki zake na inasemekana pale walipokuwa wanafanya huo mchezo ni kwake.

Sijakaa fresh nikasikia kaunguza akaunti aisee nikashangaa sana huyu dogo imekuwaje ?

Mara nikashangaa anakuja na vi offer vya free signal telegram,watu waka deposit kupitia referral link yake akapata vihela toka broker akawapata watu free signal wakachoma wote hahahahah

Mara nikasikia anatafutwa na wana kawatapeli hadi watu waliokuwa wanamwamini sana sana .

Mara kaibuka anasema yuko nje ya dar nikajua huyu yuko njombe tu ndio kwao huko kakimbia Sura za wana

Ikabidi niukumbuke wimbo wa CRAIG DAVID na Sting "RISE AND Fall"

"Sometime in your life u feel the fight is over,overrrr.

It seems as though the writings on the wall

Superstar u finally made it,

But once ur picture becomes tainted ,

It what they call ,The Rise and fall."

I hope he will bounce back with the last kiss
Halafu hakuna wakati soko linakuwa against na wewe kama pale unapokuwa separate. Yaani unaweza kuhisi kuna watu wanakuangalia unachofanya wanakufanyia figisu
 
fact!
Nimepitia Uzi mzima ... Nimejifunza yafuatayo ;

1. Watanzania bado hatujielewi. Hatupendi kutafuta maarifa. Hivi inakuaje unampa mtu Pesa yako akili akufanyie forex kabla ya wewe kusoma na uelewe forex.

2. Kuna watu wanasema forex ni mchezo eti unapata Pesa rahisi ukiwa umekaa. Mimi nawauliza hivi wale wanaonunua hisa pale Dar Es Salaam Stock Exchange (Soko la hisa la Dar ) huwa wanabeba vitu kichwani pale ??... Halafu forex sio rahisi kama wengi wanavyodhani..Ni biashara ngumu mno. Ndio maana kabla ya kujiunga umepewa Disclaimer kama tahadhari ila uvivu Wetu wa kusoma na kufanya vitu kwa msukumo wa mafanikio ya haraka tunaachwa kwenye hasara kubwa ..

3. Elimu Elimu Elimu ... Jamani hivi unawezaje kumpa mtu million 10 akufanyie account management wakati yeye Mwenyewe forex kaanza miaka mitatu nyuma !!!!!!!.... Experience ni kitu kikubwa sana kwenye forex ... Hata kama unataka account management kama huwezi kufanya mwenyewe tafuta watu wenye experience si chini ya miaka 15 kwenye industry na wenye equity ya maana sio hawa wabongo zaidi ya kukuonesha Gari na nyumba siku akiunguza account yako hawezi kukupa hata asilimia 50 ya account yako ...

5. Katika biashara yoyote usiingie kwa tamaa au msukumo wa mafanikio ya haraka .. Sio Forex tu hata kulima .. Kuna watu waliambiwa ukilima matikiti utapata mamilioni llna wakachukua mikopo mpaka banks ila wakaishia kupata hasara za kufa MTU .. Kuna watu walianza biashara za mayai ya kwale,kufuga Kuku n.k kwa influence ya watu kuwa kuna Pesa za haraka .. Mwisho wa siku ni vilio.. Hivyo hivyo kwenye forex kama biashara zingine ... Acha kuhadaiwa na watu kuhusu mafanikio ya haraka au kuna hela ya bure lazima utapigwa tu ... Ukiona mtu anakwambia Forex kuna hela rahisi ni either anataka ujiunge kupitia referral link yake (IB Link ) ili apige hela kupitia wewe au awe anakupa signals za kulipia ...

6. Kingine nilichojifunza ni watanzania tunapenda mteremko sana na kuambiwa maneno matamu ... Mimi Mara zote mtu ukinifuata inbox kuhusu Forex nitakwambia sio rahisi ila jitahidi kuijua utajua ... Na ruhusu ujipe muda si chini ya miezi mitatu mpaka sifa kujifunza ... Huu ushauri wengi hawataki kuusikia ... Wakikutana na wale watu wanawaambia training za siku 3 za Forex wanatuona sisi vichaa ... Hakuna biashara rahisi hivyo hata kuuza cocaine kuna risk zake sio rahisi hivyo ...

Hivyo basi kwa observations zangu hizo na utitiri wa training uchwara nyingi kuhusu Forex tutarajie matokeo mengi kama haya siku za hivi karibuni .. Na tutashuhudia vijana wengi wakikimbia mijini kwa kusababishia watu hasara ....
 
mwa
Kuna watu kitu kimoja wanashindwa kuelewa....

Forex ni sort of gambling hence its unpredictable na haina uhakika (hapa hakuna long term guarantee ya kutengeneza pesa husasan kwa day trader wa kawaida upo against institutions, banks n.k. zenye automatic softwares ambazo zipo already programmed to act in any way possible in micro seconds kwenye any signal...)

Selling information Books na Systems is guaranteed money haina risks wengi so called winners wana vitabu na systems wanazouza kwahio ni easy money in the Bank... na ili kuvutia watu unakuta wana-lifestlye kubwa (its recruiting business)

Gambling with other peoples money is win win.., no risk (nina uhakika jamaa angekuwa mjanja hata angesema kuna 99% chance of winning kwa bahati mbaya akiliwa huwezi kumshika) atasema hio ni one percent has happened...., na kama aliguarantee winnings hapo ndio mwanzo wa Utapeli.....

Kwa kuondoka nawaacha na hii extract...

How Hedge Funds makes their Money....

Hedge fund makes money by charging a Management Fee and a Performance Fee. While these fees differ by fund, they typically run 2% and 20% of assets under management.

Management Fees: This fee is calculated as a percentage of assets under management. Typically this equates to 2% but can range from 1% to 4% depending on the fund. These fees are generally paid monthly or quarterly and help pay overhead and daily expenses of running the hedge fund.

Performance Fees: This fee is calculated as a percentage of the funds profits. This is an incentive fee: if the fund makes money they will get paid, if not they won’t. This incentive fee motives the fund to generate excess returns. These fees are generally used to pay employee bonuses and reward a hard working staff.

A high water mark helps to protect investors in a scenario where the fund starts to lose money. This is a loss carry foward provision that will only be revered if the fund makes back those losses. Assuming a Hedge Fund is $100 million charges standard 2/20% fees and generates 10% annual returns, how much money will the fund make? The fund would return $4 million in annual fees: Management fee of $2 million plus a $2 million Performance fee ($100mn x 10% x 20%).

Easy Money with no Risk..., (Yaani Risk yote ni ya Mwenye pesa)
mwanangu unajua .....labda chizi hataelewaa
 
1. vp unaendelea kufanya fores??,
2. kuna jamaa yangu huwa ananiambia nikimpa elf 50 ataifanya iwe laki na nusu nadni yawiki, je pana ukakika au ntapigwa?
anaweza akaikuza na asikuambie,pia anaweza akaiunguza ikawa imepotea,ukiwa na bahati anaweza akakupa faida kadri mlivyokubaliana, ila ukimpa chukulia Kama umeipoteza
 
Back
Top Bottom