Heading to work tomorrow
Member
- Nov 1, 2018
- 68
- 294
Mkuu naomba kuuliza unawafahamu jamaa wanaitwa The Forex Family[Uncle Ted,Wicksdontlie etc]?
Ndio boss, si wana website yao wanatoa mentorships? Na raqeel or rakeel kitu kama hicho?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naomba kuuliza unawafahamu jamaa wanaitwa The Forex Family[Uncle Ted,Wicksdontlie etc]?
Ndio boss, si wana website yao wanatoa mentorships? Na raqeel or rakeel kitu kama hicho?
Hizo BMW X6 zimenunuliwa kwa hela ya signals na mentorship boss, ukiongeza na hela ya account management ndo kabisa. Hawa jamaa wanakula kitu kinaitwa IB contracts (Introducing broker). Ukishapewa hiyo mikataba ndani yake kuna kuwa na percentage na commission za juu kwa kila mtu unayemuingiza hii inafanana na watu wa forever living and so forth, kwa hiyo jinsi watu wengi wanavyokuwa chini yako ndo jinsi commission yako inazidi. Sasa katika izo IB contracts unapata hela nyingi zaidi kuliko hata kutrade mpaka hapo kunakuwa na conflict of interest. katika hayo makubaliano yao moja wapo ni kuchoma hela za kila mtu atakyekuwa chini yako. Zipo njia nyingi sana boss nikianza kutype hapa ntamaliza siku nzima ila hii ndo kubwa ambayo inatumika zaidi na kitu kibaya zaidi ni kwamba hawa brokers wengi hawapo regulated NFA, CFTC,FTA na regulators wengine na hao ndo huwa wanatoa izo ib contracts kwa watuHeading To Work kwa upande wangu naona kama wanawavutia watu waingie kwenye kumi na nane zao wawapige kama hivyo na kauli yako kuwa kuna wabongo wanapiga pesa toa vielelezo wanapigaje ili na hao wengine wanaotaka kufanya Forex wafanye wenyewe wapige hiyo hela kama ni rahisi tuu ingawaje Mimi sifikirii wala siji kuja kuifanya...watu wapo busy na picha za BMW X 6 kwa kuwavutia wapigwaji..
Swali lipi boss?Mtaje Mkuu ili wengine wasipigwe pesa zaidi ila kuna swali nimekuuliza naona kimya aise.
uyo raqeel yupo vizuri pia alishawahi kuwa professional trader kwa kina Goldman Sacs na kina Anthony Kreilyap unawazungumziaje hao wadau aise?
Unapo sema hakuna hela rahisi unamaanisha nn mkuu?Nilimsoma sana habari zake, lakini sikumuelewa ... Lifestyle yake , halafu sikuona anapata hizo hela zote... Nikamua kukaa mbali. Niliposikia Tanzania, forex forex, nikajua mchezo, umehamishiwa bongo kwa style nyingine.. Hakuna hela rahisi, yeyote anayekuambia utapata hela kwa njia nyepesi, anataka kukupiga..
Angalizo benki , investment house wanafanya sana biashara ya forex, ambayo imejengwa kwenye msingi wa speculation... Lakini wale wanatumia hela ya benki na wana mfumo wa kuwawezesha kutrade dunia nzima.. Hawa wa kwetu, ni watu wa fursa tu.
orodhesha kama broker Watatu ambao wako regulatedHizo BMW X6 zimenunuliwa kwa hela ya signals na mentorship boss, ukiongeza na hela ya account management ndo kabisa. Hawa jamaa wanakula kitu kinaitwa IB contracts (Introducing broker). Ukishapewa hiyo mikataba ndani yake kuna kuwa na percentage na commission za juu kwa kila mtu unayemuingiza hii inafanana na watu wa forever living and so forth, kwa hiyo jinsi watu wengi wanavyokuwa chini yako ndo jinsi commission yako inazidi. Sasa katika izo IB contracts unapata hela nyingi zaidi kuliko hata kutrade mpaka hapo kunakuwa na conflict of interest. katika hayo makubaliano yao moja wapo ni kuchoma hela za kila mtu atakyekuwa chini yako. Zipo njia nyingi sana boss nikianza kutype hapa ntamaliza siku nzima ila hii ndo kubwa ambayo inatumika zaidi na kitu kibaya zaidi ni kwamba hawa brokers wengi hawapo regulated NFA, CFTC,FTA na regulators wengine na hao ndo huwa wanatoa izo ib contracts kwa watu
Boss kama hiyo comment nilivyosema kuna options nyingi tu za kutrade ni wewe mwenyewe kuchagua ipi ambayo inakupa faida. Naweza kukwambia Stocks zinalipa ila wewe ukajaribu kuzitrade na ukawa unapata hasara tu. Wakati naanza kuna jamaa aliniambiaga trade pair mbili tu kwa sababu wewe ni beginner ila mi nikamuuliza je izo pair mbili ntakazochagua ikitokea kwa bahati mbaya mwezi mzima hazitembei ina maana trading career yangu ndo imefia hapo? Nilichofanya mimi nilitrade kila kitu kilichopita mbele ya macho yangu, mwaka wa kwanza portfolio yangu ilikuwa na instruments zaidi ya 146 ila now nna instruments 18 tu.nimesoma untrade stocks mkuu, so stcocks ndio kuna unafuu zaidi ya forex hii tunayoijua au...kuna utofauti upi?
![]()
huyu jamaa alisababishaga nikajoin forex but niliweka $10 nikapata profit ya $7 nikasepa mpaka leo![]()
![]()
![]()
Ni kijana ambae hapo nyuma amepata kufanikiwa kwa haraka sana na kuishi maisha ya juu sana na kukiri kuwa na uwezo wa kutengengeneza takribani milioni 9 kila wiki, Ilifikia kipindi akanunua gari ya kifahari aina ya BMW X6, sijui kama ilikuwa ni bahati mbaya au maksudi kimaslahi hio gari ilikula mzinga wiki kama sio miezi michache kabla hajaondoka nchini ikiambatanishwa na "tetesi" ya kwamba kuna aina za bima endapo gari ikipata ajali shirika la bima humlipa mmiliki pesa ya kununua gari upya.
Kijana kwa sasa hayupo nchini na inadaiwa anatafutwa na polisi kwa kile kinachosadikiwa ya kwamba kakimbia na pesa anazodaiwa na wawekezaji wake waliowekeza pesa zao kwake ili wapate faida kwa kuziongeza kupitia skills za forex alizonazo kijana. Kuna "tetesi" ya kwamba wawekezaji walioowekeza wanamdai kiasi cha dola laki tatu (takribani milioni 690 za kitanzania).
HITIMISHO
Walengwa wanaomdai huyu kijana inawezekana wakadhani kwamba kijana kakimbia na pesa zaokumbe sivyo , Kijana kaahidi ya kupitia account yake ya twiiter kwamba atarudisha pesa zao, walengwa itapendeza wawe wavumilivu wakiwa na uhakika wa kurejeshewa pesa zao.
NJE YA MAADA
Awali majuzi tarehe 7 - 5 -2019 huko nchini afrika kusini mfanya biashara wa forex aliekuwa na pesa chafu ambae pia wawekezaji walikuwa wakiwekeza pesa kwake kwa jina la "cashflow ngcobo" amefungwa kifungo cha miaka sita na kulipa faini ndefu baada ya kupatikana na kesi ya kutapeli wawekezaji
CHIMBUKO LA FOREX TANZANIA
Miaka ya 2017 kuna kijana anaefahamika kwa jina la "Ontario ama Sir jeff dennis" ndie aliekuwa chanzo cha watanzania wengi kuanza kuisoma, kuifatilia na kuifanya forex, alileta muamko mkubwa sana wa forex nchini ikafika kipindi habari ya mujini ilikuwa ni forex na hata post yake ilivunja rekodi ya ushawishi mkubwa kwenye mtandao wa jamiiforums kwa kuwa na wasomaji wengi. Baada ya miezi michache kijana huyu alianzishiwa maada / thread kibao humu ndani zilizomshtumu kwamba ni mpigaji aliekuwa analazimisha wanafunzi wake watrade kwa kumtumia broker waliekuwa wanagawana faida
FXCM, Dukascopy bank na fx proorodhesha kama broker Watatu ambao wako regulated
pia tusiwasahau ig, pepperstone na forex.comtaja tu ili tusiingie mkenge
Ndiyo maana jamaa mkali sana kuna siku nitakua chini ya usimamizi wake napenda jinsi anavyo chambua soko na candlestics safi sana.H
uyo raqeel yupo vizuri pia alishawahi kuwa professional trader kwa kina Goldman Sacs na kina Anthony Kreil
wenzetu mbele wapo vizuri mno na wana experience yakutosha, anyways wishing you the best of luck boss Mungu akujalie.Ndiyo maana jamaa mkali sana kuna siku nitakua chini ya usimamizi wake napenda jinsi anavyo chambua soko na candlestics safi sana.
Kuwavuta watu mkuu,ni kama wafanyavyo wale jamaa wa Forever Living na Alliance International tu.Kwanini hawa watu wa Forex lazima waoneshe kuwa wamefanikiwa?
Wakiishi kimya kimya kuna shida gani?
Uliliwa shilingi ngapi za madafu...Vipi ile ofisi pale kafunga?