UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

Hapana IB link haupandishiwi spread wala ila wanakua wanakata 10%(inatofautiana broker na broker) ktk withdrawal au deposit ndo inaenda kwa uyo mtu aliekudirect
 
Hawa juzi si wameanza kufundish training free? Millenium tower? Hawa madogo wanaweza wakawa vzr?

nadhani kwenye kufundisha wapo vzur coz wana experience kubwa kdogo ..so u can learn from them ila working with them hapo ndo sjui coz mm ndo yaliniendea vibaya ila walitoa sababu zao kwann account walizo manage zimechomwa ...bas ndo yakaishia ivo[emoji28] waliomba msamaha
 
Were Fala umechanganya majina.
Kuna "Andile Mayisela" na "Sandile Shezi"
Kuna makini, utapakatwa.
Dogo "Sandile" yuko vizuri, hanaga skendo yoyote. Ni tajiri. Anaweza akaoa ukoo wenu wote.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ aisee nyuzi za forex huwa haziishi salama!
Nimecheka sana
 

Waliwa refund % yoyote ya initial capital?
Hukuwahi ku withdraw profit hata mara moja
 
nothing it took like two weeks ikaishia ivo ...
Kwahiyo sasa hivi unatembea na wing ipi. I mean, umejiunga na signal / account management sehem nyingine, ama una trade mwenyewe.
Ama ume stop kwanza, unapiga kwanza vitabu. Ama umeachana kabisa na habari za forex forever!!
 
Mkuu haujibu pm zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…