UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

Ndio hapo utapewa IB link huko hakuna cha bure aisee hizo IB link wewe utapandishiwa spread .

Mwenzio atapewa hela aisee ogopa sana vya bure

Elimu ya Forex iko vitabuni kama huwezi soma vitabu achana na forex kabisa nashauri .

Kama mtu anataka kukufundisha bure basi akupe uhuru wa kuchagua broker sio kwa broker wake yeye
Hapana IB link haupandishiwi spread wala ila wanakua wanakata 10%(inatofautiana broker na broker) ktk withdrawal au deposit ndo inaenda kwa uyo mtu aliekudirect
 
Hawa juzi si wameanza kufundish training free? Millenium tower? Hawa madogo wanaweza wakawa vzr?

nadhani kwenye kufundisha wapo vzur coz wana experience kubwa kdogo ..so u can learn from them ila working with them hapo ndo sjui coz mm ndo yaliniendea vibaya ila walitoa sababu zao kwann account walizo manage zimechomwa ...bas ndo yakaishia ivo[emoji28] waliomba msamaha
 
Waliwa refund % yoyote ya initial capital?
Hukuwahi ku withdraw profit hata mara moja
 
nothing it took like two weeks ikaishia ivo ...
Kwahiyo sasa hivi unatembea na wing ipi. I mean, umejiunga na signal / account management sehem nyingine, ama una trade mwenyewe.
Ama ume stop kwanza, unapiga kwanza vitabu. Ama umeachana kabisa na habari za forex forever!!
 
Acha ujinga wewe unabishana na mtu ambae hivyo vitu nimepitia..

Kipindi naanza forex nilikuwa nafanyiwa account management na kampuni moja iko Holland .. Wakichoma wanamurudishia hiyo percentage ... Na walinirudishia... Sasa wewe endelea kuwa theoretical
Mkuu haujibu pm zangu
 
Back
Top Bottom