superuser2
Member
- Sep 21, 2016
- 23
- 34
Tupe mawili matatu unayoyakumbuka kwenye hiyo forecasting exchange rates...katika forecasting mlisoma vitu gani vya kuangalia, maybe kama kuna technical issues au economic issues ya nchi
Kichwakichafu@gmail.comForecasting exchange rates using technical and fundamental analysis..give me ur email I will send you the notes and read for urself
Ontario na CRE bado wanaendelea kuchoma acc za watu? 😀 😀Uptrend si kwa Ontario? Bado mko na wale wa south? Sasa shoga yangu hiyo 200$ si mpaka niwe nayo sasa
Hili swali unaniuliza mimi?Ontario na CRE bado wanaendelea kuchoma acc za watu? 😀 😀
Hata wewe unaweza kunijibu kama unajuaHili swali unaniuliza mimi?
SijuiHata wewe unaweza kunijibu kama unajua
Wanachoma km kawa nasasahiv wameongezeka wengneOntario na CRE bado wanaendelea kuchoma acc za watu? 😀 😀
Wabongo tutachelewa sana kwenye forex, yaani pamoja na hawa jamaa kuunguza mamia ya akaunti bado tu wanapata vichwaa 😀 😀Wanachoma km kawa nasasahiv wameongezeka wengne
hawa si ndio kuna kijamaa kimoja kina Rasta?255milionaires fx ....wachek instagram ..
Halafu hao hao wanao tukana vijana wanaojihusisha na forex ndio hao kutwa kumsifia Jiwe ili awateu kwenye serikali yake,... kwao huo ndio usomiYani hii nchi ccm itaendelea kutawala miaka 60,000 ijayo... Yaani mpaka mwaka 2019 mtu anasema Forex ni utapeli. Bad enough mtu huyu ukute kamaliza chuo na ana degree yake ... Oohhh Lord
Mtu anakwambia kilimo hakina hasara !!! .. Mungu wangu...
Mtu analinganisha Forex na michezo ya kubeti !!! Mungu wangu ... Sasa mbona haiendi kusajiliwa kwenye ile bodi ya michezo ya kubashiri ya wakina Abas Tarimba ???
Mtu anakuja na hoja eti hakuna hela bila kufanya kazi ... Unamuuliza wale wanaonunua hisa za za DSE (Soko la hisa Dar) katika vodacom , faida wanapataje??? .. Na Mimi nikinunua Hisa za mmarekani au makampuni 30 ya mjerumani (ger30) Nina tofauti gani na huyo wa DSE??
Sasa kwa nini wa DSE asisemwe asemwe yule wa ger30 kwenye forex ??..
Ila Mimi siwalaumu watanzania maana haya ni matokeo ya Sera mbovu za nchi kufuga raia kama Kuku bandani. . RAIA hawana exposure hata ya kutembelea nchi jirani walau hata Burundi muone wengine wanaishi vipi ... Kuna vitu vingi RAIA inabidi tupate exposure ili tuweze kufanya ...
Leo Serikali ya Tanzania huwa inauza T.Bills na Tresuary Bonds zake, na huwa zinatangazwa na mawakala wa soko la hisa la Dar Es Salam... Kwa akili hizi ninazoziona humu ndio maana sishangai kuona wanunuzi wakubwa wa hizi amana za serikali huwa ni waarabu na wahindi waishio Tanzania.. Wenzenu wanaamka na misuli ni mwendo wa kusali tu kutwa nzima. Kumbe wamenunua zao amana za serikali..
Nyie endeleeni kukopana vikoba .. Nchi inaliwa na wachache kwa kuamini hakuna kazi bila kutoka jasho .. Ila sishangai sisi tulikuwa watumwa ...
NB: ifike muda kila MTU afanye aonacho kinafaa. Tumejitahidi sana kuelimisha Ndugu zetu ila matokeo yake ni kuitwa matapeli ...
Shujaaa au Tapeli la kimataifa... nasema hiv akamatwe afungwe jiwe kubwa shingoni atupwe baharini/ziwani....Yule ndo shujaa kwanza ilibidi apate na tuzo kwa wengi kuijua bila yule sidhani kama ingeenea kama hivi kila mtu anajua forex iwe kundani au partilly lakini inajulikana
Yah wanajifany wanahela sana hawa ukiingia kichwa kichwa utakubalihawa si ndio kuna kijamaa kimoja kina Rasta?
Yaani hawa ndio wanaonekana matapeli kwa mienendo yao.Yah wanajifany wanahela sana hawa ukiingia kichwa kichwa utakubali
Kama inalipa kuna haja gani ya kutumia nguvu kuielezea plus promo la kufa mtu?kwani umeambiwa Forex hailipi? Hao wanaopigwa ni wavivu wa fikra na kujituma. kuna wabongo wanafumua hela si mchezo boss
Anaitwaje nimtafuteHahahahahah dogo hela zilimzuzua sana sijui alipatwa na nini
Alianza jeuri na nyodo kudadadek wana tuliokuwa tunampa vitabu longtime akatuona takataka aisee
Tukasema tawile baba hivi sasa kajificha njombe huko kwao anapambana na MT4 haipandi kila siku vitasa kwani soko sio LA babake hahahahshah
Mkinga Wa Mbeya ndo namsikia leoDogo mkinga yule wa mbeya na tabia za wakinga nadhani unazijua kwenye kutafuta yuko radhi hata kuuwa
Endelea kusikia ivo ivoMkinga Wa Mbeya ndo namsikia leo
Kawaulize hao wanaotumia nguvu na "promo la kufa mtu", unaponiuliza mimi sina jibu la kukupa kwasababu mimi siuzi wala sifundishi wala sichukui investment za watu nor account management. Na kuhusu kuelezea sidhani kama ni kosa kumuelezea mtu jinsi biashara/kazi husika utendaji wake upoje pia una uhuru wa kufanyia kazi information unayoipata ama kuipotezea.Kama inalipa kuna haja gani ya kutumia nguvu kuielezea plus promo la kufa mtu?
Hahahahahah dogo hela zilimzuzua sana sijui alipatwa na nini
Alianza jeuri na nyodo kudadadek wana tuliokuwa tunampa vitabu longtime akatuona takataka aisee
Tukasema tawile baba hivi sasa kajificha njombe huko kwao anapambana na MT4 haipandi kila siku vitasa kwani soko sio LA babake hahahahshah