UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

Tupe mawili matatu unayoyakumbuka kwenye hiyo forecasting exchange rates...katika forecasting mlisoma vitu gani vya kuangalia, maybe kama kuna technical issues au economic issues ya nchi

Forecasting exchange rates using technical and fundamental analysis..give me ur email I will send you the notes and read for urself
 
IMG_1052.JPG


Any break out traders here ?
 
Yani hii nchi ccm itaendelea kutawala miaka 60,000 ijayo... Yaani mpaka mwaka 2019 mtu anasema Forex ni utapeli. Bad enough mtu huyu ukute kamaliza chuo na ana degree yake ... Oohhh Lord



Mtu anakwambia kilimo hakina hasara !!! .. Mungu wangu...


Mtu analinganisha Forex na michezo ya kubeti !!! Mungu wangu ... Sasa mbona haiendi kusajiliwa kwenye ile bodi ya michezo ya kubashiri ya wakina Abas Tarimba ???




Mtu anakuja na hoja eti hakuna hela bila kufanya kazi ... Unamuuliza wale wanaonunua hisa za za DSE (Soko la hisa Dar) katika vodacom , faida wanapataje??? .. Na Mimi nikinunua Hisa za mmarekani au makampuni 30 ya mjerumani (ger30) Nina tofauti gani na huyo wa DSE??

Sasa kwa nini wa DSE asisemwe asemwe yule wa ger30 kwenye forex ??..


Ila Mimi siwalaumu watanzania maana haya ni matokeo ya Sera mbovu za nchi kufuga raia kama Kuku bandani. . RAIA hawana exposure hata ya kutembelea nchi jirani walau hata Burundi muone wengine wanaishi vipi ... Kuna vitu vingi RAIA inabidi tupate exposure ili tuweze kufanya ...



Leo Serikali ya Tanzania huwa inauza T.Bills na Tresuary Bonds zake, na huwa zinatangazwa na mawakala wa soko la hisa la Dar Es Salam... Kwa akili hizi ninazoziona humu ndio maana sishangai kuona wanunuzi wakubwa wa hizi amana za serikali huwa ni waarabu na wahindi waishio Tanzania.. Wenzenu wanaamka na misuli ni mwendo wa kusali tu kutwa nzima. Kumbe wamenunua zao amana za serikali..


Nyie endeleeni kukopana vikoba .. Nchi inaliwa na wachache kwa kuamini hakuna kazi bila kutoka jasho .. Ila sishangai sisi tulikuwa watumwa ...



NB: ifike muda kila MTU afanye aonacho kinafaa. Tumejitahidi sana kuelimisha Ndugu zetu ila matokeo yake ni kuitwa matapeli ...
Halafu hao hao wanao tukana vijana wanaojihusisha na forex ndio hao kutwa kumsifia Jiwe ili awateu kwenye serikali yake,... kwao huo ndio usomi
 
Yule ndo shujaa kwanza ilibidi apate na tuzo kwa wengi kuijua bila yule sidhani kama ingeenea kama hivi kila mtu anajua forex iwe kundani au partilly lakini inajulikana
Shujaaa au Tapeli la kimataifa... nasema hiv akamatwe afungwe jiwe kubwa shingoni atupwe baharini/ziwani....
 
Hahahahahah dogo hela zilimzuzua sana sijui alipatwa na nini

Alianza jeuri na nyodo kudadadek wana tuliokuwa tunampa vitabu longtime akatuona takataka aisee

Tukasema tawile baba hivi sasa kajificha njombe huko kwao anapambana na MT4 haipandi kila siku vitasa kwani soko sio LA babake hahahahshah
Anaitwaje nimtafute
 
Kama inalipa kuna haja gani ya kutumia nguvu kuielezea plus promo la kufa mtu?
Kawaulize hao wanaotumia nguvu na "promo la kufa mtu", unaponiuliza mimi sina jibu la kukupa kwasababu mimi siuzi wala sifundishi wala sichukui investment za watu nor account management. Na kuhusu kuelezea sidhani kama ni kosa kumuelezea mtu jinsi biashara/kazi husika utendaji wake upoje pia una uhuru wa kufanyia kazi information unayoipata ama kuipotezea.
 
Hahahahahah dogo hela zilimzuzua sana sijui alipatwa na nini

Alianza jeuri na nyodo kudadadek wana tuliokuwa tunampa vitabu longtime akatuona takataka aisee

Tukasema tawile baba hivi sasa kajificha njombe huko kwao anapambana na MT4 haipandi kila siku vitasa kwani soko sio LA babake hahahahshah

[emoji23][emoji23][emoji23] jamaaa umenichekesha
 
Back
Top Bottom