UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

FOREX ilikuwa ni matokeo ya kufanikiwa kwa DES. Ukiwa mwelewe jifunze ni kwanini waanzilishi wa hizi taasisi huwa ni wageni? Washajua watanzania tunadanganyika kwa urahisi ndo maana wanakuja na kutupiga kisha wasepa.
Boss, kama ni darasani umepata F. Kwa hiyo DSE (Dar es salaam Stock Exchange) unaifananisha na DES? Na wapi uliambiwa hela ya forex ni rahisi na hutoi jasho? Kwanini unaongelea kitu usichokijua? Ungelikaa kimya ungepoteza nini?
 
Karibu Uptrend shoga mbona watu tunapiga pesa vizuri tu. Mie kwa week naingiza wastani wa $200 sio mbaya. Hapo no Uptrend Inc.

Halafu kwa Elikana-Fx sijadeposit bado.

Kisha FEA naingia $150 hivi kwa week.

Sasa niambie, $200 + $150 = $350 kwa week = $1200 kwa mwezi = 2.5 million TZS hainitoshi kukaa nyumbani na kusahau vicoba!!!

Maisha marahisi ukifungua akili na ukiwa tayari ku-take calculate risk.
Inyerested.
 
Were Fala umechanganya majina.
Kuna "Andile Mayisela" na "Sandile Shezi"
Kuna makini, utapakatwa.
Dogo "Sandile" yuko vizuri, hanaga skendo yoyote. Ni tajiri. Anaweza akaoa ukoo wenu wote.
Wee fala nini yanakuhusu ama kagongwe na walevi uko malaya wa kinondoni [emoji1784][emoji1784]
Unaongea ongea ushuzi tu unajua kilichowakuta wabongo kwa sandile au unatapika tapika uhalo wako tu
 
Wee fala nini yanakuhusu ama kagongwe na walevi uko malaya wa kinondoni [emoji1784][emoji1784]
Unaongea ongea ushuzi tu unajua kilichowakuta wabongo kwa sandile au unatapika tapika uhalo wako tu

Njoo ugonoke nikuingizie sindano katikati ya makalio akili ikukae sawa!
 
Sasa kama ulipata 70% as profit ilikuaje ukasepa.
Umeona sasa wabongo tulivyo mazwazwa!!!!
Tunapata opportunity ya kutengeneza dcent income tunaikimbia tena.

What the F*CK is wrong with black brains!
fala sana ww ile biashara unaweza ku loose everything ingia ww na ujinga wako uone
 
Wee fala nini yanakuhusu ama kagongwe na walevi uko malaya wa kinondoni [emoji1784][emoji1784]
Unaongea ongea ushuzi tu unajua kilichowakuta wabongo kwa sandile au unatapika tapika uhalo wako tu
sandile yupi maana wako wengi malizia jina lake mwishoni
 
Aliachana nae alivyoanza kuwa maarufu na demu akaresign kuwa co CEO jamaa akaenda kwa kademu kengine kachuo sijui kale ikawa ivo kwa mujibu wa wanazengo
Duh!!kumbe alimwacha..the girl alikuwa katulia na anajielewa nakumbuka...and walikuwa wanapendana sana...
 
Back
Top Bottom