UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

Yani pamoja na exposure yako ya nje ya Bongo kumbe bado uko 'dark minded' kiasi hiki.
Sijutegemea uandike comment ya kishamba kama hii.
Unaonekana mtu ambae umeishia primary, hujui kusoma na kuandika lugha ya kiingereza.
Nimekudharau sana.
Sijakuelewa unamaanisha nini yaani mimi naona ni washamba mnaomchangia mtu na kuja kulia lia huku wakati biashara zipo nyingi ambazo unaweza kufanya mwenyewe exposure na shule inanisaidia kutopoteza hela kijinga ingawaje ili upate pesa inatakiwa risk lakini sio ya hiyo Forex...
 
umeshindwa kunijibu kistaarabu mpk unitusi??
wapi nimekataa kuwa watu hawaishi kwa forex??
Mimi mwenyewe nimeshangaa kanivamia sijui ushamba sijui nini nimemshangaa mara nimeishia primary... aisee hawa watu waliofeli feli shule na kupata kidogo kila mtu anadhani kafeli kama yeye basi ni kuishi kwa kujitutumua tuu...
 
Yule dogo mfupi.haha pole sana ..namuangaliaga tu na inspiration zake feki feki tu instagram ..anawapiga halafu anaenda kuzitumbua hela kwenye mahoteli ya nyota tano
Kuna dogo mfupi anaitwa Andile???
 
Sijakuelewa unamaanisha nini yaani mimi naona ni washamba mnaomchangia mtu na kuja kulia lia huku wakati biashara zipo nyingi ambazo unaweza kufanya mwenyewe exposure na shule inanisaidia kutopoteza hela kijinga ingawaje ili upate pesa inatakiwa risk lakini sio ya hiyo Forex...

Ndio maana nimesema wewe ni mshamba na bahati nzuri umekiri hilo!
Wewe si unajifanyaga umezunguka sana nchi za watu, sasa mbona unaonekana exposure yako haijakusaidia chochote.

Yaani na wewe unasimamisha mishipa ya shingo yako 'rigid' ukibwatuka eti 'Forex ni scam, ni utapeli'

Aisee, kuna wanaume mafala sijapata ona.
Hadi Khantwe anakuzidi kwa exposure ingawa hajawahi toka nje ya Bongo.
 
Ilikuwa lazima unitaje? Nani amekuambia sijawahi kufika nje ya bongo?
 
Achana na mimi wewe pambana na udume jike wako
Tafuta mtaji wa $1000 ulete nikutredie urudishe pesa ulizotapeliwa fala wewe.
Na utakufa kuparamia Risky businesses without prior knowledge!!!
 
Mamaeee unadhani mi bongo lala kama wewe
 
Sasa kama sio Bongo Lala mbona unatoa makamasi hadharani kisa umetapeliwa vi-laki tatu ($150) vya mentorship!!
Huna hela wewe. Una kengele tu kwenye suruali.
 
Wee kenge nini umeona sehem yoyote nimeandika nimetapeliwa boya nini unatafuta mabwana kwa lazima BRO pambana kwa hela yote hupati mtu hapa naona unatafuta gia ya nikupe pesa ili unipe signal [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pambana bro hakuna mtu mpya hapa kwenye gemu utakaye mpata kiulsini kama hao wakimbizi wenzio malaya wa kinondoni we[emoji12][emoji12]
 
Kojoa ukalale. Ukiamka mama yako atakua ashaivisha nguna ufuturu!
 
Back
Top Bottom