UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

Kila biashara ina hasara zake.. Kulima sio kubashiri sababu kitaalamu unapewa matokeo. Mfano; akaambiwa kabisa kitaalamu ukipanda ekari 1 ya mahindi utapata mahindi kuanzia kiasi kadhaa mpaka kadhaa. Hapa hakuna speculation ni kazi ya kitaalamu.

Sasa nini kinafanya labda msifikie lengo; kuna mvua kuchelewa, mvua kutonyesha kabisa, mvua kunyesha juu ya wastani, magonjwa na kadhalika..

Sasa kwenye huo upuuzi wenu mtu unaweka pesa wakati hujui hata matokeo yanakuaje. Ni sawa na kutabiri tu kati ya Arsenal na Liverpool nani atakuwa bingwa.. Logically huwezi toa jibu zaidi ya kutabiri.
Misingi ya forex(margin trading) haina tofauti na betting ili upate faida lazima kuwepo na mtu atakaepoteza pesa pasipo na exchange ya valuable goods au services so forex ni kamali tu ya kistaarabu sana.
 
It's more like this.

When Trader A is long 1 lot then Market Maker is short 1 lot
When Trader B is short 1 lot then Market Maker is long 1 lot

Price goes 20 up

Trader A is up 20 and Market Maker is down 20
Trader B is down 20 and Market Maker is up 20.

But now lets expand on this using the ideas stated above.

20 traders.

Trader 1 trades Sells 15 lots, Market maker is Long 15
Traders 2-20 collectively buy 16 lots, Market maker is Short 16
Market maker needs to hedge his position and does so because he is now exposed 1 lot short.

Trader 1 has a direct line to the buy sell desk at OpenMarketOperations.Gov and knows when price is gonna move(so this trader doesn't need anybody to lose money for him to make some).
Traders 2-20 use a variety of different analysis and have to generally guess when price will move and where it will move too.

Government jumps in and shorts 200 lots. Price plumets until enough take the other side. Spreads rise (Unless you have a fixed spread account). Market Maker is happily hedged. Trader 1 is happily profitable. Traders 2-20 are in varying states of emotion. Some blew there accounts. Some are on to the next trade already. Some are holding for a longer outlook. Some are on the revenge trade train(Newbies). Some have given up(Trading isn't for everyone).

In that made up scenario 5% made money, 95% lost, and the Market Maker could care less because it got the spread on 31 lots.

So your theory that one needs to lose money for the other to make doesn't exist here unless your broker really really sucks.
 
Wapuuzi puuzi mtawapata mkuu.. Wajinga wa kuibiwa hawawezi isha ulimwengu huu..

Hii screenshot inaonekana unaipenda sana, ulishaiweka humu tena mwaka jana. Usitake nikafukue ule uzi udhalilike
Hahah daah ndio utapeli wenyewe huu,kumbe screenshot ya mwaka jana.
 
Huwezi ukapata faida kwenye hii margin trading ambayo mnaita forex kama hakuna mtu ambaye au taasisi ambayo wakati huo inatengeneza hasara.

Japokuwa serikali ya baadhi (hasa japan) huwa wana mtindo wa kuinterfere market kwa sababu sarafu yao inapopanda inaumiza makampuni yao sababu wanategemea export kwa japan hasara anaweza isiwe ishu lakini bado wanapoteza pesa kwa lwngo la kulinda uchumi. Mfano mwingine unaweza chukulia george soros na serikali ya uk, serikali ilipoteza soros akapata faida.
Asilimia ambazo umezitoa ni za retail trader ambao mnafanya kwa mtindo margin ambao fraction yenu haifiki 10% kwenye mzunguko wa soko.

Hivyo kupata uwiano huo ni kawaida.

Nadharia yako kusema kwamba hakuna anaipoteza pesa ni invalid.

Mfano dunia nzima muwe mna-sell GBPJPY, unadhani unaweza kutengeneza kama hakuna mwingine anaye-buy GBPJPY.
Bro lazima kuwe kuna mtu anayepoteza pesa(anapata hasara) ili mwingine apate faida kwenye huu mchezo mnaocheza.
But tukitoa na hayo mi naeshimu maamuzi ya mtu na naelewa kuna wanao-make na wanaopigika na hii kamali.
 
Wapuuzi puuzi mtawapata mkuu.. Wajinga wa kuibiwa hawawezi isha ulimwengu huu..

Hii screenshot inaonekana unaipenda sana, ulishaiweka humu tena mwaka jana. Usitake nikafukue ule uzi udhalilike
Weka screenshot niliyoweka ambayo inafanana na hii ya Leo ... Ukiweza kuleta hiyo screenshot nitaomba mods wanitoe kuwa member wa jf...
 
Kila biashara ina hasara zake.. Kulima sio kubashiri sababu kitaalamu unapewa matokeo. Mfano; akaambiwa kabisa kitaalamu ukipanda ekari 1 ya mahindi utapata mahindi kuanzia kiasi kadhaa mpaka kadhaa. Hapa hakuna speculation ni kazi ya kitaalamu.

Sasa nini kinafanya labda msifikie lengo; kuna mvua kuchelewa, mvua kutonyesha kabisa, mvua kunyesha juu ya wastani, magonjwa na kadhalika..

Sasa kwenye huo upuuzi wenu mtu unaweka pesa wakati hujui hata matokeo yanakuaje. Ni sawa na kutabiri tu kati ya Arsenal na Liverpool nani atakuwa bingwa.. Logically huwezi toa jibu zaidi ya kutabiri.
Wale wanaolima mpunga, mahindi au matikiti vs consultation ya watalaam shida huwa ni nini ???

Halafu wewe Mimi nimeshalima na kufuga usinichukulie poa ...
 
Huwezi ukapata faida kwenye hii margin trading ambayo mnaita forex kama hakuna mtu ambaye au taasisi ambayo wakati huo inatengeneza hasara.

Japokuwa serikali ya baadhi (hasa japan) huwa wana mtindo wa kuinterfere market kwa sababu sarafu yao inapopanda inaumiza makampuni yao sababu wanategemea export kwa japan hasara anaweza isiwe ishu lakini bado wanapoteza pesa kwa lwngo la kulinda uchumi. Mfano mwingine unaweza chukulia george soros na serikali ya uk, serikali ilipoteza soros akapata faida.
Asilimia ambazo umezitoa ni za retail trader ambao mnafanya kwa mtindo margin ambao fraction yenu haifiki 10% kwenye mzunguko wa soko.

Hivyo kupata uwiano huo ni kawaida.

Nadharia yako kusema kwamba hakuna anaipoteza pesa ni invalid.

Mfano dunia nzima muwe mna-sell GBPJPY, unadhani unaweza kutengeneza kama hakuna mwingine anaye-buy GBPJPY.
Bro lazima kuwe kuna mtu anayepoteza pesa(anapata hasara) ili mwingine apate faida kwenye huu mchezo mnaocheza.
But tukitoa na hayo mi naeshimu maamuzi ya mtu na naelewa kuna wanao-make na wanaopigika na hii kamali.
Sasa wewe ukitaka Buying na Selling price ziwe sawa??? Yani wewe ulangue kilo moja ya maharage shilingi 500 halafu uende kuuza 500 , utakuwa na kichaa wewe..
 
Boss, trading sio kamali aisee hivi unadhani watu wanatrade currencies tu? Na kwa mfano wako wa GBPJPY watu wote duniani wakiuza basi kutakuwa na market crush, na sio lazima ili mtu apate faida mtu mwingine apate hasara MM's wanajua price inakwenda wapi na watachukua order yako regardless there is a seller or not na huko unakokazia hayo ni mambo ya brokers wazuri na wabaya(wapo brokers ambao kama you are buying watakutafutia mteja ambae ana sell na vice versa pia wapo brokers ambao orders zako zinaenda direct) na hayo yote nimeandika katikka mfano nilioutoa juu. Tanzania tuna DSE (Dar es salaam Stock Exchange) pia nchi zote zina stock exchange, unataka niambia nikienda kununua hisa za Twiga Cement nacheza kamali? ama za Vodacom or crdb? Pia huwezi cheza Forex or else utapoteza hela zako zote this is not a game na hiyo 10% ndo ambayo ina provide liquidity kwa hao 90% boss usisahau hilo.
Kuhusu margin trading, kuna aina mbili za margin trading pia kumbuka kwamba hatuko limited to equities pia zinaweza tumika kwa currencies, a forex margin account is very similar to an equities margin account na MARGING ACCOUNT ni kitendo cha kuchukua mkopo tu ili kupata faida kubwa zaidi na hio sio kamari zaidi ni kwamba tunaongeza leverage ili kuchukua much bigger positions na hiyo marging trading huwa haizidi 1-2% of your total deposited balance mfano kama nataka kutrade na dola laki moja nahitaji only 1000$ tu na hiyo 99% inakuwa covered na broker wangu.
 
Soma vizuri ili unielewe nilichokuwa namaanisha.
 
Forex(margin trading) ni kamali hakuna njia unaweza tenganisha hii kitu na kamali.

Kabla ya kuvunjwa kwa mkataba wa breton (https://www.investopedia.com/terms/b/brettonwoodsagreement.asp) primary ya purpose ya forex ilikuwa ni ku-facilitate international trade.
Baada ya hapo 90% ya mzunguko wa forex hivi sasa ni kwa ajili ya speculation tu.
Speculators wa forex anapopoteza hakuna huduma ama bidhaa ambayo anabaki nayo.

Broker awe ECN & STP au MM bado iko vile vile kwamba mmoja lazima apate hasara aidha awe retail trader, bank & hedge fund(liquidity provider yoyote) via ECN au STP brocker na Market Make mmoja wapo lazima apoteze lazima apoteze.

Na unaposema MM anajua mwelekeo wa soko halina ukweli, Mfano mzuri ni mwaka 2011 brocker "MF brocker" ambaye ni market maker alifirisika vibaya baada ya soko kwenda kinyume na matarijio.
Tukija stock, lengo la stock ni kuwa sehemu ya umiliki wa kampuni na hivyo unakuwa na mmoja wa watu ambao mnaopata gawio kutokana na faida ambayo so sina shida na stock.

Ila pale unapofanya stock market kwa lengo "ku-SPECULATE" yaani haupo tayari kuwa sehemu umiliki hiyo ni kamali tu, na hivyo unaweza tengeneza pesa au ukaja ukapoteza pesa kama Kweku adoboli wa ghana(https://en.wikipedia.org/wiki/Kweku_Adoboli).
 
Nyie ndio mnaolima kwenye makaratasi. Eti unapewa matokeo ukipanda ekari moja utapatata kiasi gani, yani wewe jamaa hujui kilimo,forex wala betting.
Panic at your own expense you motherfucker
 
Boss, mbona matusi mengi. Huwezi jenga hoja vizuri? Na nani kakwambia unaweka pesa bila kujua matokeo yake? Endapo umedeposit alafu huna ujuzi wa unachokifanya then ni lazima uliwe. Trading sio gambling.
Wewe una pesa ngapi umetengeneza huko kwenye forex?

Kuna matajiri kwenye viwanda, kilimo, uchuuzi lakini sijawahi kusikia tajiri wa kubet wala forex!!

Figure that out..
NB: nionyeshe matusi kwa hiyo post uliyoquote
 
Forex(margin trading) ni kamali hakuna njia unaweza tenganisha hii kitu na kamali.

Kabla ya kuvunjwa kwa mkataba wa breton (https://www.investopedia.com/terms/b/brettonwoodsagreement.asp) primary ya purpose ya forex ilikuwa ni ku-facilitate international trade.
Baada ya hapo 90% ya mzunguko wa forex hivi sasa ni kwa ajili ya speculation tu.
Speculators wa forex anapopoteza hakuna huduma ama bidhaa ambayo anabaki nayo.

Broker awe ECN & STP au MM bado iko vile vile kwamba mmoja lazima apate hasara aidha awe retail trader, bank & hedge fund(liquidity provider yoyote) via ECN au STP brocker na Market Make mmoja wapo lazima apoteze lazima apoteze.

Na unaposema MM anajua mwelekeo wa soko halina ukweli, Mfano mzuri ni mwaka 2011 brocker "MF brocker" ambaye ni market maker alifirisika vibaya baada ya soko kwenda kinyume na matarijio.
Tukija stock, lengo la stock ni kuwa sehemu ya umiliki wa kampuni na hivyo unakuwa na mmoja wa watu ambao mnaopata gawio kutokana na faida ambayo so sina shida na stock.

Ila pale unapofanya stock market kwa lengo "ku-SPECULATE" yaani haupo tayari kuwa sehemu umiliki hiyo ni kamali tu, na hivyo unaweza tengeneza pesa au ukaja ukapoteza pesa kama Kweku adoboli wa ghana(https://en.wikipedia.org/wiki/Kweku_Adoboli).
Waeleze hao matapeli...

Hata siku moja sitakaa niruhusu Watanzania wenzangu waibiwe na hawa wezi..

Forex ni kamari, full stop.
 
Weka screenshot niliyoweka ambayo inafanana na hii ya Leo ... Ukiweza kuleta hiyo screenshot nitaomba mods wanitoe kuwa member wa jf...
Mpuuzi wakutoe wakati una multiple ID's..

Tuliza kiuno nitaitafuta na nitawaletea hapa uumbuke we tapeli..
 
Jifanye unanijua sana dadeki...

Njoo unyonye "Pips" Dogo ... Mwanaume mmoja anaefanya Forex, indices au Stocks ni sawa na kijiji chenu cha kichwa kama wewe. Unadhani hivi vitu ni kunyonga viuno kama Pangaboi za feni aina ya dolphins...
 
Mimi siwezi panic sio kichwa maji kama wewe, Hivi nani kakudanganya kilimo kina guarantee ya kupata unachokitaka. Unachekesha eti ukipanda ekari moja unaambiwa kabisa utapata kiasi gani bro unatumia mavi kufikiri. Kwa ujinga ulioandika hapa lazima uchukie forex. Nyie ndio wale nyumbu mkiambia inalipa wote mnajazana bila kuangalia upande mwingine wa shilingi lazima upigwa tu.

Kama Umeshindwa kutofautisha kati ya forex na gambling unaona vyote ni sawa, hicho kichwa ulicho nacho ni anasa maana hakikusaidii.
Panic at your own expense you motherfucker
U
 
siri kubwa ya forex trade ni hii, brokers wakiona pair flani ya currency watu wengi wamebuy, wanafanya ujanja wao kubadilisha mwelekeo ili wengi waliobuy wapate loss na wale wachache walio sell wanakuwa wamepata faida, kwa hiyo always hii biashara wengi wataliwa wachache watawin
 
Back
Top Bottom