PreGE2025 Utapeli wa haki mahakamani: Askari kuvaa mask ni ujambazi wa kisheria!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mwisho hata majaji na mahakimu pamoja na mawakili wa serikali watavaa mask mjue kuwa afadhali hata mjerumani
 
Na li Jaji Mkuu lipo tu haoo limeningiza makengele bila hata kukemea ujinga huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…