PreGE2025 Utapeli wa haki mahakamani: Askari kuvaa mask ni ujambazi wa kisheria!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tatizo ni ugeni wako wa kwenda mahakamani
Magereza huwa wanavaa hivyo siku zote kabla hata ya huyo lisu hajakamatwa
Mimi binafsi nilishuhudia mwaka 2010
Natolewa segerea kuletwa mahakamani kinondoni kwa hiyo hilo sio jambo geni
 
Aisee Mimi mgeni mkuu ikiwa wewe ni MTU mzuri kwanini uvae hivyo
 
Tatizo ni ugeni wako wa kwenda mahakamani
Magereza huwa wanavaa hivyo siku zote kabla hata ya huyo lisu hajakamatwa
Mimi binafsi nilishuhudia mwaka 2010
Natolewa segerea kuletwa mahakamani kinondoni kwa hiyo hilo sio jambo geni
Pole sana Mkuu,
Kama hutojali,Ifungulie uzi hiyo issue yako,huenda kuna funzo na watu wakajifunza,
Kesi ilivyoenda mpaka hukumu yake,zipo nyuzi za aina hiyo hapa JF.
 
Askari anayefanya kazi yake kwa kufuata taratibu, kanuni na sheria kwa haki anaanzaje kuwa muogamuoga?Kwa nini ajifiche sura mahakamani?Na sehemu zingine huficha hilo sura lake?Uovu unamsuta.
Kwako una chukulia ivyo ila maandamano yakitokea family ya askr ndio zina umia
 
Back
Top Bottom