PreGE2025 Utapeli wa haki mahakamani: Askari kuvaa mask ni ujambazi wa kisheria!

PreGE2025 Utapeli wa haki mahakamani: Askari kuvaa mask ni ujambazi wa kisheria!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Haya tuishie hapa mkuu...
Ila akili za kusema sisi tumewaajiri polisi, mara serikali daaah 😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Ndivyo ilivyo Katika katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tz mnayoishika na kuapa kwayo.

Sasa shida naona ni Elimu ndogo na ulevi wa madaraka.

Siku inakuja mtasomeshwa na kueleweshwa katiba kwa viboko.
 
Naomba uwe barozi wa amani katika taifa lako.
Usichafue jeshi la polisi wala kusambaza maneno ya maovu kwa viongozi wako
Mada ipo kulisaidia jeshi letu lisichafuke kwa yanayoendelea.

Yaani mtu mwenye mke na watoto aitishe press na kudai alilawitiwa na askari wetu huku wakimshurutisha aseme Asante Samia,

Bado hapo tuna jeshi?

Na ikiwa hayo SI ya kweli, mbona hakuna uchunguzi unaofanyika?

Au nawe ni mmoja wa wanaodhani uzalendo ni kusifia watawala pasi kuwaambia kweli wanapokosea?

Na ikiwa Yohana Mbatizaji alikatwa kichwa akitetea haki ya Mungu, haya yatendekayo sasa SI mapya.

Hivyo kujaribu kunyamazisha watu, ndio kiinua mawe yapige kelele.

Nchi hii naipenda sana 🇹🇿

Mwl Nyerere:Tujisahihishe.
 
Mmmh astaghaffillah mkuu mambo mazito hayo
 
Hello!

Yaani nimeamua niende kusikiliza shauri la rafiki YANGU Mahakamani,rafiki YANGU kabambikwa kesi ya uhaini.

Nikaamua kuvaa mask usoni Ili kuepuka macho ya wabaya wangu wasinione,

Je nitaruhusiwa kuingia na mask usoni Mahakamani?

Karibuni 🙏
ukipigwa uje utulalamikie humu
 
Kwamba hujui kuwa serikali nzima imeajiriwa na wananchi?

Na wananchi ndio wenye mamlaka ya mwisho?

Hujui wananchi wako juu ya Sheria zote na katiba?
Ndiyo tupo juu ya Sheria na katiba kupitia Kwa wawakilishi wako. Unafahamu maana ya uwakili? Usijaribu wewe binafsi kupambana na mahakama.
 
Mimi ni boss wa askari, nimlipaye mshahara kwa Kodi nilipayo.
na askari ana wajibu wa kuhakikisha unakuwa salama wewe na mali zako na unatimiza majukumu yako katika hali salama, ukitaka kuandamana utaandana katika mazingira salama, na ukitaka kwenda kisutu uende katika mazingira salama, na ukishindwa uchaguzi ushindwe ukiwa salama
 
Back
Top Bottom