PreGE2025 Utapeli wa haki mahakamani: Askari kuvaa mask ni ujambazi wa kisheria!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hello!

Yaani nimeamua niende kusikiliza shauri la rafiki YANGU Mahakamani,rafiki YANGU kabambikwa kesi ya uhaini.

Nikaamua kuvaa mask usoni Ili kuepuka macho ya wabaya wangu wasinione,

Je nitaruhusiwa kuingia na mask usoni Mahakamani?

Karibuni šŸ™
Jaribu tu halafu njoo utuletee mrejesho
 
Hello!

Yaani nimeamua niende kusikiliza shauri la rafiki YANGU Mahakamani,rafiki YANGU kabambikwa kesi ya uhaini.

Nikaamua kuvaa mask usoni Ili kuepuka macho ya wabaya wangu wasinione,

Je nitaruhusiwa kuingia na mask usoni Mahakamani?

Karibuni šŸ™
hata bullet proof vest, kofia au simu vinaruhusiwa gentleman šŸ’
 
Hello!

Yaani nimeamua niende kusikiliza shauri la rafiki YANGU Mahakamani,rafiki YANGU kabambikwa kesi ya uhaini.

Nikaamua kuvaa mask usoni Ili kuepuka macho ya wabaya wangu wasinione,

Je nitaruhusiwa kuingia na mask usoni Mahakamani?

Karibuni šŸ™
Labda uvae uniform za magereza!
 
Ni kweli. Sasa mfanyakazi wako anajua kama wewe ndiye bosi wake?

Marehemu Kingunge alikua na mbwa. Wale mbwa wakamjeruhi ingawa yeye ndiye mtoa pesa wa chakula chao.
Hivi situnaambiwa mbwa hufahamu harufu za mweyewe
 
Je kuvaa mask ni sheria ya jeshi la Magereza .

Au tangia yule jamaa aliyesemekana kajibizana na Lissu na baadae watu kumuanika ndo sababu na wakamuanika na mke wake na anayemkula mke wake.!?
shida yao ni kutisha watu, ati askari magereza anatisha watu, nani anamwogopa askari jela? halafu hawa ndio wameweka image hadi kesi ikaonekana inaingiliwa na serikali, walidhani wanafanya jambo jema kumbe wanaharibu zaidi. dunia nzima walikuwa wanaona maninja ndio wanaleta watu mahakamani. ili kutisha wananchi waogope serikali. hawa wabaki tu na mishahara yao ile ile.
 
Hao Mbwa wanabidi wasiongezewe mshahara
 
Je kuvaa mask ni sheria ya jeshi la Magereza .

Au tangia yule jamaa aliyesemekana kajibizana na Lissu na baadae watu kumuanika ndo sababu na wakamuanika na mke wake na anayemkula mke wake.!?
Wanaiga kutoka movie za Hollywood
 
shida yao ni kutisha watu, ati askari magereza anatisha watu, nani anamwogopa askari jela?
Huwajui wewe
Magereza kuna kikosi cha makomandoo cha kupambana na wafungwa sugu ni hatari

Waulize waliowahi kufungwa wakwambie
 
kwa hiyo kupambana na mtu ambaye amefungwa, yupo kwenye kachumba, ndio ukomandoo? mwachie awe nje alafu upambane naye kama wewe mwanaume. hao nao utawaita makombandoo? makomandoo wa indoors? hivi kupiga mtu ambaye yupo arrested na yupo kwenye kachumba unahitaji ukomandoo?
 
Back
Top Bottom