chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Shughuli za uwakili nchini Tanzania hufanywa kwa mujibu wa Sheria ya Mawakili (The Advocates Act) ambayo kimsingi, inatoa masharti, ikiwemo kuhudhuria shule ya sheria (Law School) na kisha kuapishwa na Jaji Mkuu baada ya kufaulu.
Huyu Robert Amsterdam hana leseni ya kufanya shughuli za sheria nchini Tanzania,na hatambuliki kabisa na mamlaka za Tanzania kuwa ni wakili.
Chadema acheni utapeli.
Ukitaka kujiridhisha, ingia katika mfumo wa Mahakama wa kujua kama ni wakili au laaa,nenda google andika "MJUE WAKILI" hutakuta jina LA huyo tapeli was kimataifa.
Hataonekana viunga vya mahakama za Tanzania akimtetea Mbowe