Utapeli wa kisiasa wa CHADEMA: Robert Amsterdam hana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania

Utapeli wa kisiasa wa CHADEMA: Robert Amsterdam hana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania

Shughuli za uwakili nchini Tanzania hufanywa kwa mujibu wa Sheria ya Mawakili (The Advocates Act) ambayo kimsingi, inatoa masharti, ikiwemo kuhudhuria shule ya sheria (Law School) na kisha kuapishwa na Jaji Mkuu baada ya kufaulu.

Huyu Robert Amsterdam hana leseni ya kufanya shughuli za sheria nchini Tanzania,na hatambuliki kabisa na mamlaka za Tanzania kuwa ni wakili.

Chadema acheni utapeli.

Ukitaka kujiridhisha, ingia katika mfumo wa Mahakama wa kujua kama ni wakili au laaa,nenda google andika "MJUE WAKILI" hutakuta jina LA huyo tapeli was kimataifa.

Hataonekana viunga vya mahakama za Tanzania akimtetea Mbowe
Uwe na akiba ya maneno MKuu. Maana hiyo sheria inahusu utaratibu wa kusajili mawakili wa Nongoland pekee.
Umecheki kama na Uganda anakomtetea Boby Wine kama ilivyosemwa hakuna sheria kama hiyo?
Una hakika Amsterdam hawezi kufaulu mtihani wenu wa kusajiliwa?
Je Wakili wa tz haruhusiwi kuajiri mtaalamu toka nje?
Mbona kuna Watz kama akina miguu wanapractice na kulipwa rates za kimataifa hata kama hawafanyikishi kesi husika, kama ile ya BOT na kashfa ya escrow au kitu kama hicho?
Kuna siku kibao kitawageukieni mtataka utetezi wa hao mnaowazuia sasa wasiwatetee wanyonge kwa faida yenu.
Mwisho:
Ikiwa wageni kama mabalozi wa US na UK wanaruhusiwa kusikiliza kesi mahakamani kwanini Amsterdam asiruhusiwe?

Sent from my A71 using JamiiForums mobile app
 
Robert Amsterdam ataishauri the defence team ya Mbowe hapa Tanzania na siyo vinginevyo.

Pia atafungua mashauri katika mahakama za kimataifa.

Uongo wa CHADEMA uko wapi hapa?.
Amsterdam hana record ya kushinda kesi yoyote inayo husu serikali ya Tanzania! CHADEMA be careful!
 
Robert Amsterdam ataishauri the defence team ya Mbowe hapa Tanzania na siyo vinginevyo.

Pia atafungua mashauri katika mahakama za kimataifa.

Uongo wa CHADEMA uko wapi hapa?.
Angeuliza kwanza akajuzwa, yaonekana haelewi maana ya consultation.
 
Hii ngoma lazima ikeshe, kama walifikiri uji uji wamenoa, hii sasa ni dona-ndondo.
 
Amsterdam hana record ya kushinda kesi yoyote inayo husu serikali ya Tanzania! CHADEMA be careful!
You could table some of the cases to diiscredit CHADEMA if at there facts to go by. Let us walk with facts.
 
Mkuu chinembe umekurupuka. Ima hukuelewa habari imhusuyo huyo Wakili au wewe ndiye unayetaka kututapeli kwa tafsiri yako ya uongo. Uwe makini, JF si salama kwa matapeli au vilaza!
Habari ndio hiyo, pesa za chama zinaliwa na beberu la Lissu- Robert Amsterdam wanazikusanya zikaliwe huko ubeleji
 
Shughuli za uwakili nchini Tanzania hufanywa kwa mujibu wa Sheria ya Mawakili (The Advocates Act) ambayo kimsingi, inatoa masharti, ikiwemo kuhudhuria shule ya sheria (Law School) na kisha kuapishwa na Jaji Mkuu baada ya kufaulu.

Huyu Robert Amsterdam hana leseni ya kufanya shughuli za sheria nchini Tanzania,na hatambuliki kabisa na mamlaka za Tanzania kuwa ni wakili.

Chadema acheni utapeli.

Ukitaka kujiridhisha, ingia katika mfumo wa Mahakama wa kujua kama ni wakili au laaa,nenda google andika "MJUE WAKILI" hutakuta jina LA huyo tapeli was kimataifa.

Hataonekana viunga vya mahakama za Tanzania akimtetea Mbowe
Umekasirika mpaka unataka kupasuka, mahakama imeona ni tapeli au ni wewe?
 
Robert Amsterdam ataishauri the defence team ya Mbowe hapa Tanzania na siyo vinginevyo.

Pia atafungua mashauri katika mahakama za kimataifa.

Uongo wa CHADEMA uko wapi hapa?.
Kwani ile tuliyoambiwa kafungua The Hague iliishia wapi?
 
Mleta mada ni moja ya vilaza wa Lumumba, eti na yeye analipwa buku saba kwa uzi huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kuna mtu anaidhinisha malipo ya mtu mwenye mawazo bogus ++ hivi sishangai kwanini sisi ni wajinga na maskini.
 
Nenda katika mfumo wa mawakili, huyo tapeli Robert Amsterdam hutamuona, ni njia ya Lissu kula hela za chama na wafadhili,anakula 10%
Mkuu, umeumbuka sana. Siku nyingine kaa mbali na habari za kiingereza. Ha ha ha ha
 
Huyu RA ametajwa kimkakati zaidi ili kuuboresha na kuupa mashiko ule mradi wa kuchangia gharama za kesi ya mkt na wenzake
 
Hivi wakati wa ile kesi ya mzungu kuzuia ndege yetu south Africa...wale mawakili wetu walikuwa na leseni ya kufanya kazi South Africa..nipe shule
Wale hawakwenda walitua Mbeya na waliporudi Dar wakatudanganya eti mzungu atailipa CCM mabilioni!
 
Back
Top Bottom