Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni shoga flani huko ulaya linatembea kwa kubinua kiuno.Robert Amsterdam ndio nani tuanzie apo kwanza?
Unamaana gani mkuu kuniuliza kama ninawashwa?Unawashwa?
Tanzania and Rwanda are two parallel lines.Hata Paul Russesabagina alitaka kutetewa na wakili kutoka Ubeligiji alikuja kama mtalii halafu akataka kuanza kufanya kazi mahakamani, wakamuuliza vibali viko wapi wakafukuza Rwanda na kumpiga marufuku ya kurudi nchini humo.
Isije ikawa ni mchezo huo huo wanataka kuufanya for the sake of publicity 🐒
View attachment 1947694View attachment 1947695
Mwanzoni nilidhani umekosa tu uelewa, lakini una akili. Lakini unavyojibu hoja za wati, ni dhahiri hukustahili kuwepo kwenye jukwaa hili. Jukwaa hili lilistahili kuwa la watu wenye akili timamu tu, bahati mbaya na ninyi mmevamia.Nenda katika mfumo wa mawakili, huyo tapeli Robert Amsterdam hutamuona, ni njia ya Lissu kula hela za chama na wafadhili,anakula 10%
Kama uliandika kwa jazba utaona umejibiwa kwa jazba ila kama uliandika kistaarabu nime-reply pia kistaarabu.Punguza jazba wewe mkerewe/mjita, mmeshaacha uchawi ?