Hata Paul Russesabagina alitaka kutetewa na wakili kutoka Ubeligiji alikuja kama mtalii halafu akataka kuanza kufanya kazi mahakamani, wakamuuliza vibali viko wapi wakafukuza Rwanda na kumpiga marufuku ya kurudi nchini humo.
Isije ikawa ni mchezo huo huo wanataka kuufanya for the sake of publicity π
View attachment 1947694View attachment 1947695