Utapeli wa kuagiza gari Japan

Pole sana , kuibiwa kunauma sana but move on , ulikopata hii 9M utapata nyingine Inshallah, nasikia Simba la Masimba Dangote naye kapigwa B4 ya private jet
 

Kuna real motor ya Tanzania na nyingine ya japan??🤔🤔 nazan apo ndo watu wanapopigiwa.

real motors wana website yao kwann usiingie uko uwasiliane nao moja kwa moja wao wenyewe?

ayo mambo ya kutumia watu wa kati ndo yanayoleta milolongo na mianya ya watu kuibiwa.
 
Kwani mkiambiwaga agizeni na sbt au be foward mnasema wana magari ghali alafu mabovu😂😂😂😂 haya kanunueni mazima kwa bei kitonga.

Unalalamika uskute umeagiza ist au passo😂
Kwani IST na PASSO siyo magari?
 
Huyu ndugu hajaibiwa ila anatafuta kuibiwa ndo maana hatoi details anazoulizwa.

Kona zako nyingi sana halafu ni za kindezi ndezi
 
Bora kwenda moja kwa moja showrom sasa
 
 
Ubalozi walisha sema na wakanawa mikono

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…