Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ikitokea katika chumba/Nyumba yako zikafungwa CCTV Camera, ni mambo gani utakayopunguza kuyafanya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ukihama kwako utahamia wapnitakosa amani, nitahama.
Binafsi naona cctv cam huwa zinapunguza kauhuru fulani.Nimefungua mwenyewe halafu niiogope sio kweli
au nitazipasua, faragha yangu ni muhimu.Sasa ukihama kwako utahamia wap
Bwashee amapiano na singeli unazirukamo fresh?Kucheza amapiano & singeli😁
Mbaya hiyoau nitazipasua, faragha yangu ni muhimu.
Umejenga ili uhame sioKwa kweli nitahama.
Mi najua kingalelo tu, sema nkiwa room mwenyewe ndo vile tena nakua free kucheza japo siweziBwashee amapiano na singeli unazirukamo fresh?
Cctv imenihamisha mimi kwa kweli nikiwa peke yangu huwa nafanya vitu vya ajabu sana 😁😁Umejenga ili uhame sio
Unaogopa nini 😁Chumbani CCTV hapana kwa kweli labda Koridoni!
Faragha bro! Chumbani ndo sehemu ya kujiachia muda mwingi unakuwa naked!Unaogopa nini 😁
Vitu gani hivyo? Mi kuna pisi nilikuaga nafukuzia geti kali, baada kama wiki babake akafunga cctv camera kwenye biashara yake, nikajikataa.Cctv imenihamisha mimi kwa kweli nikiwa peke yangu huwa nafanya vitu vya ajabu sana 😁😁
Kipaji kinapanda ukiwa ndani ila ukiwa mbele za watu kinapotea.Mi najua kingalelo tu, sema nkiwa room mwenyewe ndo vile tena nakua free kucheza japo siwezi