Utapunguza kufanya nini endapo CCTV camera itafungwa ndani unapoishi?

Utapunguza kufanya nini endapo CCTV camera itafungwa ndani unapoishi?

Ni hatari bro,huwa najiachia Sana mara nicheze muziki na kyupi,mara naperuzi miguu nimeing'iniza juu halafu niko naked siku watu wakiona si mambo ya aibu hayo??
Ila nyie kutamanishana tu
 
Mimi nitakachoacha ni.kile kinachonifanya niwe mwanachama wa Chaputa chini usimamizi mzuri wa bwana dronedreke
Hapa wengi sana wataacha hiyo michezo au watatafuta mbadala kama kwenda kufanyia chooni.
 
Kwani kwa ndani si unafunga kwenye corridor /sebuleni /jikoni? Sasa huku kuna vitu gani vya ajabu vinafanyika? Utaogopa endapo labda uwe mdokozi/firauni kubandua maHouse girl etc
Nyumba za watu zina mambo sana mkuu, uhuru unafanya watu wafanye vitu vya kushangaza.
 
Back
Top Bottom