Utapunguza kufanya nini endapo CCTV camera itafungwa ndani unapoishi?

Utapunguza kufanya nini endapo CCTV camera itafungwa ndani unapoishi?

Nitapunguza kuzunguka ndani kama enzi za adamu na eva😂
Hii tabia muipunguze kuna siku moto utaanzia chumbani uchome nguo zote hadi mapazia, sijui utavaa kochi ujisitiri😂
 
Back
Top Bottom