permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Faragha gani ya kupasua camera au ni mzee wa matango?!au nitazipasua, faragha yangu ni muhimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faragha gani ya kupasua camera au ni mzee wa matango?!au nitazipasua, faragha yangu ni muhimu.
Hii mbinu nzuri mkuuNitaipunguza kwanza hiyo cctv
Hakuna watoto hadi ufanye hivyo?Kutembea na boxer ndani, mbaya zaidi mechi naipiga popote iwe chumbani, sebuleni au jiko, nitaumbuka
Sawa mkuuSipendi nionekane nnavyokoroma
ndo kitu gani?matango?!
Ndio make najua mimi tu madudu nayoyafanya gettoHii mbinu nzuri mkuu
M muda mwingine napika ga uchiMie napenda kukaa na boxer na kupiga tukio popote pale
Haya ni maendeleo mkuu, funga camera mara moja. Bia 4 ni sawa na tofali ngapi?nitapunguza kulewa
😀 nakutembea bila nguo sebuleniUnapunguza hadi sauti
Unafanya magendo sioNdio make najua mimi tu madudu nayoyafanya getto
We unanifaa , CCTV itatuumbua maana watapata content ya maanaM muda mwingine napika ga uchi
Hii wahanga ni wengi😀 nakutembea bila nguo sebuleni
Watoto wako shule Mkuu kurudi mpk likizoHakuna watoto hadi ufanye hivyo?
haa kumbe unakaaga uchi mkuuTapunguza kukaa uchi
Hahahaha😀 nakutembea bila nguo sebuleni
Umenikumbusha primary kale ka msemo watu wakila kitu kitam wanasema "itakuwa kilipikwa uchi"M muda mwingine napika ga uchi
Hahahaha kukaa uchi Kuna maaana nyingihaa kumbe unakaaga uchi mkuu
HahahahaUmenikumbusha primary kale ka msemo watu wakila kitu kitam wanasema "itakuwa kilipikwa uchi"
Kuna uhusiano wa utam wa chakula na kupikwa bila nguo?
haha maana ipi kumbe nyuchi sikuizi zipo tofautitofautiHahahaha kukaa uchi Kuna maaana nyingi
Tutawatia ashikiWe unanifaa , CCTV itatuumbua maana watapata content ya maana