Utapunguza kufanya nini endapo CCTV camera itafungwa ndani unapoishi?

Siku nikijisikia kunyoosha mkono nasimama chini ya kamera ili wanaofatilia waone magoli ya mkono yalivyo na nguvu.

Nikiwa na my love wangu nitafanya kama baltazaar.
Mambo ya bw egonga
 
Nitaziharibu mbna, sipendi uhuru wangu uingiliwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…