Utapunguza kufanya nini endapo CCTV camera itafungwa ndani unapoishi?

Utapunguza kufanya nini endapo CCTV camera itafungwa ndani unapoishi?

Hahahaha we naachaje Sasa wkt nimeulizwa Ijumaa utakua wapi au utakua umebanwa? Hili swali wewe ungejibu vipi ? Nisaidie
Mimi ili swali nimeulizwa leo ila ubusy wangu umenikosesha utelezi 😅

Ngumu sana kupindua ukikumbuka na alivyokuwa akijichanua chanu
 
Siku nikijisikia kunyoosha mkono nasimama chini ya kamera ili wanaofatilia waone magoli ya mkono yalivyo na nguvu.

Nikiwa na my love wangu nitafanya kama baltazaar.
 
Back
Top Bottom