Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
- #141
Kwenye kona na nje huko ni vizuri ila ndani kila mahali hapana.Ndio maana watu wanaweka kwenye kona za nyumba ili kujua anaetoka na kuingia ndani maybe weka sebuleni but the rest ignore it