KAKA NASOKI
Senior Member
- May 25, 2016
- 191
- 212
Hahahahaha hii kaliile natoa pesa naambiwa nipewe control numbernukalipie benki
Hiyo ni vocha fikiria kwenye matibabu kimbembe kitakuwajeNilienda kununua vocha ya shs 5,000.00 pale Telephone House, ile natoa pesa naambiwa nipewe control numbernukalipie benki.
Jamani hii ni biashara au huduma na huku wanadai rudi nyumbani kumenoga.
Hebu wajirekebishe.
Rudi ulikotoka mkuu!Nilienda kununua vocha ya shs 5,000.00 pale Telephone House, ile natoa pesa naambiwa nipewe control number nikalipie benki.
Jamani hii ni biashara au huduma na huku wanadai rudi nyumbani kumenoga.
Hebu wajirekebishe.
Hivi ulishawahi kupiga namba yao ya huduma kwa wateja?Nilienda kununua vocha ya shs 5,000.00 pale Telephone House, ile natoa pesa naambiwa nipewe control number nikalipie benki.
Jamani hii ni biashara au huduma na huku wanadai rudi nyumbani kumenoga.
Hebu wajirekebishe.
Sijaelewa! Yani nikitaka kununua vocha mpaka wanipe control no.?TTCL sijui huwa wanakwama wapi