Utaratibu kununua vocha za TTCL ni kero; Unalipia Benki baada ya kupewa control number

Utaratibu kununua vocha za TTCL ni kero; Unalipia Benki baada ya kupewa control number

Nilienda kununua vocha ya shs 5,000.00 pale Telephone House, ile natoa pesa naambiwa nipewe control number nikalipie benki.

Jamani hii ni biashara au huduma na huku wanadai rudi nyumbani kumenoga.

Hebu wajirekebishe.
Unaweza kulipa Kwa Tigo pesa au mtandao wowote Kwa kutumia hio control number.
 
Sijaelewa! Yani nikitaka kununua vocha mpaka wanipe control no.?
Ndio, ukienda kwa maduka yao. Halafu sasa shida nyingine, huduma yao haipo kwenye hizi mashine za POS wanazotoa NMB, CRDB ama DcB kwa mawakala wa pesa. Ili upate huduma zao unalazimika kuwafuata walipo. This is complete stupidity
 
Back
Top Bottom