HUGO CHAVES
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 2,045
- 549
Hapo blue sipo aware ila nahisi hati za kimila kama zipo applicable vijijini vile? upimaji shirikishi ni kuji-organize watu wote wenye majengo katika eneo husika na kuwafuatilia hawa watu ardhi nadhani kwa Kinyerezi itakuwa Ilala kama sijakosea au wizaeani kabisa maana kwa Dar even watu wa wizarani nao wanajihusisha na hii kitu. Sidhani kama kuna idadi maalumu kikubwa hata kama mpo kumi na kuendelea mnaweza kuanzisha move wengine watafuata

Halafu unapowekewa beacon katika kiwanja chako ni kuonesha kua upimaji umefikia hatua ambayo utapeli hamna, Au hata beacon zinachakachuliwa? I mean huwa zinatengenezwa wizarani? Au hata mtaani matapeli wanazitengeneza!
mkuu ahsante kwa majibu yaliyonyooka ,kuna hawa jamaa ni mawakala wa kusurvey wamemuwekea jirani yangu beacon huku hana hati pesa wamechukua laki 7 hii imekaaje mkuu
mkuu nakushukuru sana sana endelea kuwepo humu jamvini naamini wengine wataleta mada zao zinazohusiano na ardhi ,hutatasita kukutumia pale inapobidi ,umeonyesha uwezo kwenye masuala ya ardhi nikushukuru sana pia wana jf wote ,jamii forum ni kila kituKikubwa ni kuhakikisha una receipt ya serikali maana mjini wajanja ni wengi pia unatakiwa kujua hawa jamaa mpaka wao wa kazi ni upi maana labda wao wanaishia kupima alafu mwenye eneo anafuatilia issue ya hati maana watz wengi huwa ukipata offer au umelipia kiwanja unalidhika kumbe kuna hatua nyingine ya ziada ya kufuatilia hati
mkuu nakushukuru sana sana endelea kuwepo humu jamvini naamini wengine wataleta mada zao zinazohusiano na ardhi ,hutatasita kukutumia pale inapobidi ,umeonyesha uwezo kwenye masuala ya ardhi nikushukuru sana pia wana jf wote ,jamii forum ni kila kitu
Sipo aware sana ila nitafutalia maana hilo ongezeko ni kubwa pia sijui eneo hilo ni la biashara au vipi?
Asante for a quick answer. Eneo lenyewe pamoja na kwamba lina some business lakini current status yake bado haijabadilika from residential to commercial even though i have already applied for it. Kwa hiyo unaweza kusema ni residential.
I will appreciate to get ur opinion about this, tusijetukawa tunaibiwa!
Kaka asante sana kwa hii shule nzuri...hata mimi nimejua cha kufanya..du nilishaombwa laki2 kwa kazi kama hii.
JF idumu....tusiwekewe king'amuzi humu..JF patamu jamani