Utaratibu na Ratiba za kumjibu Joseph Sinde Warioba kutokana na Press yake leo

Zama zimebadilika, hata kama kuna wajinga wengi, ila wenye uelewa ni wengi, tena wanaongezeka kila uchao. Ifahamike si kila jibu ni sahihi.....
 
Wazee kama Warioba wasiachwe kuzungumza hivi. Wanayajua mengi na wana uzoefu mkubwa. Kuwaacha hawa ni hatari. Wanaweza kuamsha akili za vijana. Kitu ambacho si kizuri kwa mustakabali wa Taifa hili.
Ni kwamba unawakejeli wenzio au ?
 
Hata wao wakishakuwa na hekima wataongea kuliko hivyo. Muda haujafika, kwa hivyo bora wakae kimya
 
Kwani hizo sheria kandamizi nyinyi si ndio mnaozitunga ili tu mfanikiwe matakwa yenu ya kikatili.

Unawezaje kujibu hoja zake?

Usiwe mnafiki ndugu kwasababu tu unaona yanayofanywa na ccm kwako ni halali kwa wengine ipo siku mambo yatakuwa tofauti ndio siku utayosema yalaitani. Najua unaona haiwezekani kisa tu mifumo ya haki mmeibana ili kuwadhibiti watu kutokujali haki ila ipo siku mtaijutia kwa vile dunia ina mwisho na hicho mnachokiringia kina mwisho.
 
Nyie ni mafia na wauaji wakubwa hamjitambui na wala hamjali.
 
Huyu mzee mwenye sura mbaya mnafiki sana na kama kweli anaongea ndani ya nafsi yake kitu cha kwanza alitakiwa kujivua uanachama wa CCM kuonesha hakubaliani na hiki chama tena. Kwanini CCM? unajuwa chama ni kundi la watu wenye itikadi moja sio mtu mmoja mmoja, yeye hajawahi kusifu chama chake japo chama wamejaribu kumuheshimisha sana kama waziri mkuu aliyepita na kada wa CCM ila bado chuki binafsi na kuendesha upinzani ndani ya CCM, haaminiki huyu sasa ni wakati ajivue uanachama au avuliwe. Huwezi wewe kutwa unamkosoa mke wako lakini upo tu kwenye ndoa, kama mtu hakufai muache. Unafiki wake ufike mwisho huyu mzee anachuki na zaidi watoto zake kupigwa chini kwenye vyeo huku akidhani ni haki yake watoto zake kupewa nafasi.
 
Wazee kama Warioba wasiachwe kuzungumza hivi. Wanayajua mengi na wana uzoefu mkubwa. Kuwaacha hawa ni hatari. Wanaweza kuamsha akili za vijana. Kitu ambacho si kizuri kwa mustakabali wa Taifa hili.
Yaani kuamsha akili za vijana wewe unaona hatari kwa Taifa?!
 
Nyie ni mafia na wauaji wakubwa hamjitambui na wala hamjali.
makasiriko na ukurupukaji wa kinyumbu ndicho pekee unachoweza kukionyesha lakini kiujumla huna hoja gentleman
 
This time CCM wala wasimpuuze achukuliwe hatua kama mwana CCM yoyote akitoka hadharani na kukisema chama, CCM au chama chochote kina njia ya kukosoana na yeye kwa nafasi yake angeweza kufikisha ujumbe lakini kwa kuwa anatumika dhidi ya CCM inabidi awajibishwe. Yeye ningemuona wa maana angetoka na kusema kwa mwenendo huu mimi najivua uanachama wa CCM sababu sikubaliani na siasa hizi, yupo busy kutoka kuona CCM inaanguka na bado kabeba kadi ya chama. Huyu mzee ni wakati kupigwa chini mwacheni afe sura kakunja hakuna kumpa heshima yoyote kwenye mikutano au hafla yoyote piga chini acha akavae gwanda.
 
makasiriko na ukurupukaji wa kinyumbu ndicho pekee unachoweza kukionyesha lakini kiujumla huna hoja gentleman
Mnatetea matumbo tenu huku mkifurahia watu kuporwa haki zao na kuteswa mnasubiri mpaka muambiwe kuwa ninyi ni wauaji?
 
Hicho kijizee kinafiki sana.
Sana wakati yeye yupo serikalini wakati wa Nyerere alishiriki kikamilifu kushiriskisha siasa jeshini leo anajifanya anashangaa wakati wakati wao ndio walipanda haya.
 
sio nyinyi ni yeye huyohuyo mzee anaembwelambwela hapo,

hana hoja, ana kinyongo, wivu na makasiriko tu.

Anachostahili huyo mzee cha maana zaidi ni kupuuzwa tu na kila mTanzania mzalendo.

nadhani mnafiki zaidi ni huyo manejaribu kumtetea ambae anastahili kupuuzwa na unafiki wake pamoja na ninyi..

halafu acha vichekesho gentleman eti dunia ina mwisho?
 
Sijui kwanini CCM mnakuwa wajinga hivi. Ndio maana mbafanya dhuluma na kuona sawa tu. Watu wenye uchungu na CCM ni Warioba na Butiku wengine wote ni majangili yasiyojua kingine isipokuwa dhuluma na matumbo yao.
 
kuwarioba alishindwa ubunge na mzee wasira akiwa waziri mkuu hebu atuache kwanza, kazi kuu ya chama cha siasa ni kushinda uchaguzi na uchaguzi una purukushani zake,
 
Umesahau na vile vyama CCM B ambavyo huandaliwa kabisa tamko na kisha mmojawapo wa wenyeviti husoma kwa niaba ya vibaraka wenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…