Utaratibu na Ratiba za kumjibu Joseph Sinde Warioba kutokana na Press yake leo

Unatokea Chato au Kizimkazi? Kama hutoki huko basi utakuwa na matatizo makubwa zaidi.
sina haja na ubaguzi, ramli wala ushirikina wako gentleman

Tz raha sana aise, mbona mnababaika sana ndrugu zango?🐒
 
Aliyozungumza ni ya ukweli,hayahitajiki kujibiwa,ni kwenda kufanyiwa kazi TU,na wahusika
 

Yaani ni sawa na kubishana na mtoto wa miaka 2! Hakuna kitu cha kubisha kwa mzee warioba hata kimoja
 
We hakika umejaza pumba kichwan
 
Wanajibu kuhusu nini mjinga wewe.
 
Hicho kijizee kinafiki sana.
Dogo kua makin na kauli zako ,heshima huyo mzee na kama huwez kumheshim Bora ujizuie usinene mabaya juu yake ,,mzee ameongea Kwa busara sana ,,angalia asje akatangulia mbele ya haki ukaja kwenda kuangukia Kabur lake au jeneza lake ukiomba msamaha,kweny msiba wa Lowasa yupo aliye onekana akipiga magoti mbele ya jeneza lake akiomba msamaha
 
Aliyozungumza ni ya ukweli,hayahitajiki kujibiwa,ni kwenda kufanyiwa kazi TU,na wahusika
Sisi tutamjibu. Tutamtukana na kumbagaza sana. Mpaka akome kiherehere chake. Tayari vijana wameanza hiyo kazi hata kwenye huu uzi.
 
Kwani Wewe ni Mwashambwa?
 
Sisi tutamjibu. Tutamtukana na kumbagaza sana. Mpaka akome kiherehere chake. Tayari vijana wameanza hiyo kazi hata kwenye huu uzi.
Inategemea akili zenu!
Mkiambiwa ukweli hamuelewi.
Bora ccm imezoea inawadanganya Kila siku.
 
Hiyo list yako uliyoitaja hapo unadhani Yupo kweli aliyeielewa speech ya yule Mzee?
Unataka wajibu Kwa Facts au Mihemuko? Kama Kwa Facts hao vijana wako uliowataja hawawezi kukupa .
Ila kama kumshambulia na kumbagaza kazi hiyo ni nyepesi kwako.
Lakini nao kama walikwenda Darasani wakasoma na wakaelimika hawawezi kukubali hiyo Approach yako, watataka wafanye analysis ya kile Mzee alisema.
Kama Taifa pia siyo wajinga kihivyo na ni waelewa Kwa kiwango kikubwa sana kiasi kwambawanajua Kwa kina propaganda ni Zipi na Facts ni Zipi.
Ulisema atawafungua vijana wataelewa sijui Nini, hao vijana sijui ni wa Nchi gani, kama ni Hawa wa Tanzania siyo mbumbu kihivyo.
Lakini Vijana uliowataja wa kujibu hoja za Mzee Kwa njia ya Mipasho sidhani kama personality yao Iko hivyo, na sijui Kwa Maelekezo ya nani.
Kwa uelewa Zaidi tengeneza Survey chart hapa watu wapige kura za wazi hapa kwenye jukwaa uone wangapi wanaunga Mkono hoja za Mzee na wangapi wanakataa.
Vinginevyo utakuwa umejiweka hadharani personality yako jinsi ilivyo na utaishia kutukanwa TU hapa kwenye jukwaa
 
Ali Happi ashajifunza, hawezi kuthubutu tena kuwazodoa wazee tena
 
 

Attachments

  • 5271422-05dbd5c2dc28318bbd4f13bc28f5bb2.mp4
    14.8 MB
Chawa Pumbavu kazini! Umelipwa ngapi au ninyi ndio wale watekaji na waburuzaji wenyewe!!
 
Haina haja ya kuelewa. Ni mwendo wa kumjibu kwa matusi tu. Tuelewe ili iweje? Muda wa kuelewa hatuna. Subiri tu. Na endelea kusoma wengine tumeshaanza mtukana humu hadi sura yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…