Sasa anamkosesha nini uwezo wa kubeba ujauzito au?! [emoji23][emoji23][emoji23]Saizi yako uwe na mdomo mrefu wa kusema ati nilikulazimisha kubeba mimba miezi tisa. Ujinga gani huo unaosema?
Subiria Mungu akukoseshe halafu uanze kulalamika.
Zamani mama mtoto akiwa anakualalamikia hadi moyo unauma unaingiwa na huruma sababu mabinti wa zamani walikuwa wapo serious na familia.Hapa mnaongea as if Baba hajui kulea vile....hivi nyinyi wanawake mnatuchukuliaje nyieee
Kwa dunia hiii mtoto anaachiwa mfanyakazi asubuhi mpaka jion mama ndo anakuja...alafu Baba ashindwe kumtunza kwelii?..
Mnajidanganya tuu, utakuta mtoto unampa maziwa ya kopo,kumnyonyesha hutaki ....aiseee Mimi nitakula sahani moja na wewe
Bora mama wa kambo miaka hii. Zamani ilikuwa hatari ila siku hizi wapo makini maana wanajua mama wa kambo huwa anatolewa macho na akizingua huwa hana mtu wa kumtetea hata kidogo.Mkuu usiliangalie tu hili kwa upande mmoja mtoto kulelewa na mama wa kambo tu.. mtoto wangu wa kike aende kulelewa na Baba wa kambo hilhali ameshaanza kupevuka.. mkuu fikiria tena mimi najua cha kufanya mwanangu awe self mkuu..
Aaaah hapana. Mapenzi ndio nini....?!Muache mtoto akae kwa mama yake,hakuna mtu atakaekuwa na mapenzi makubwa kwa mtoto zaid ya mama aliemzaa.Sio bibi sio wewe,!pamoja na kuwa wewe ni baba na naamini unampenda mwanao lakini mama ndo wake.Kuhusu matunzo ni lazima,sababu mtoto anakula,anataka pa kuishi,ataumwana mengi yatatokea kwenye maisha yake,huwezi kusaidia kila jambo lakini unaweza kumfanyia wepesi mzazi mwenzako na wewe umuone mtoto,kaa nae chini na muongee mkubaliane mtafanya nini,usilete ujuha wa kusema unaweza kulea mtoto huwezi,mtot ni wa mama.
Swali langu dogo tu. Hawa wanawake mnawaokotaga wapi?Janja janja ya kidangaji iyo, mtoto anatumiwa kama 'mtego' ili udangwe vizuri
Kila siku mtoto anaumwa
Shishii mlezi wa wanaBora mama wa kambo miaka hii. Zamani ilikuwa hatari ila siku hizi wapo makini maana wanajua mama wa kambo huwa anatolewa macho na akizingua huwa hana mtu wa kumtetea hata kidogo.
Ila baba wa kambo ni hatari zaidi. Hawa wanawake wenyewe wakishakuwa masingle mother wanavurugwa na kuwa na mawenge.
Mtu alikuwa anajitoa ufahamu tokea ana miaka 17 na hakuwahi kujifunza miiko, maadili, stara na stadi za kike tokea umri huo hadi ana timiza miaka 28 au zaidi, muda wote huu ni kuwa busy na michongo na kudanga.
Anakuja beba ujauzito umri huo unadhani anawezaje chagua mwanaume sahihi au anampataje kwa mfano. Matokeo yake ndio mtoto kuzaliwa na yeye anatengana na mwanaume aliyepata nae mtoto sababu ya kuchemka kupata mtu sahihi.
Baada ya hapo balaa linaaza. Na akipata mtoto anaanza kumendea mwanaume yoyote mradi awe anaitwa mwanaume. Mwishowe analeta majanga kwa mtoto kwa kumletea wazazi vilaza.
Ona kama akina shilole, aunti Ezekiel, irene wolper, etc wale ni wanaume kweli ambao utasema mtoto wako analelewa na role model au father figure?! Yule mtoto wako akifika umri wa kuvunja ungo si anaweza mrarua bila hofu yoyote maana ni muhuni waa mjini.
itakuw ww bado mdogo na huhawahi staajabu ya musa hayo ya firauni si utakufa kbsa.Sasa mtoto wake ana anzaje kuona kitoweo. Hivi wewe unachukuliaje swala la mtu kuvutiwa na mtoto wake kingono ??
Bora mama wa kambo miaka hii. Zamani ilikuwa hatari ila siku hizi wapo makini maana wanajua mama wa kambo huwa anatolewa macho na akizingua huwa hana mtu wa kumtetea hata kidogo.
Ila baba wa kambo ni hatari zaidi. Hawa wanawake wenyewe wakishakuwa masingle mother wanavurugwa na kuwa na mawenge.
Mtu alikuwa anajitoa ufahamu tokea ana miaka 17 na hakuwahi kujifunza miiko, maadili, stara na stadi za kike tokea umri huo hadi ana timiza miaka 28 au zaidi, muda wote huu ni kuwa busy na michongo na kudanga.
Anakuja beba ujauzito umri huo unadhani anawezaje chagua mwanaume sahihi au anampataje kwa mfano. Matokeo yake ndio mtoto kuzaliwa na yeye anatengana na mwanaume aliyepata nae mtoto sababu ya kuchemka kupata mtu sahihi.
Baada ya hapo balaa linaaza. Na akipata mtoto anaanza kumendea mwanaume yoyote mradi awe anaitwa mwanaume. Mwishowe analeta majanga kwa mtoto kwa kumletea wazazi vilaza.
Ona kama akina shilole, aunti Ezekiel, irene wolper, etc wale ni wanaume kweli ambao utasema mtoto wako analelewa na role model au father figure?! Yule mtoto wako akifika umri wa kuvunja ungo si anaweza mrarua bila hofu yoyote maana ni muhuni waa mjini.
Huu ndio ukweli japo ni mchungu. Wanawake wengi wa kizazi hiki hawawez malezi ya watoto ziad ya kujionesha mitandaoni kuwa wana watoto wakishuaAaaah hapana. Mapenzi ndio nini....?!
Mapenzi ya kumpost Instagram ili upate likes, ila nyuma ya pazia mtoto unafeli kumtrain aje kuwa mtu wa kueleweka?!
Siku hizi wanawake mtoto anatimiza hadi miaka mitatu bado mnavalisha diapers, mtoto hajui hata kusema poti liko wapi ajiongeze.
Mtoto anakuwa na adabu mbovu, inamwita anajibu "sitaki" ukifuatilia unagundua mama ndie ulimfunza hiyo tabia ya kujibu shoti tokea utoto wake akiwa kichanga.
Kuna mengi mnakosea siku mkianza kukaa sawa mtaona kama hizi lawama zitakuwa tena mitandaoni
Hawa takagi wao wanataka tuwatumie pesa tu ila mtoto hawataki hapajue kwaoMkuu,SIRI ni moja tu.Mtoto akitaka matunzo lazima aje kwako kila week end muonane mcheze umnunulie zawadi kisha unga kilo mbili na mchele kilo mbili na buku mbili ya mboga.Tena unampa mtoto.Full stop.Hataki ujue ni kiranga hicho
Na wanaume wenye hela hawapendi wanawake ombaombaWanawake wengi hawapendi wanaume wenye hela za mawazooo na masengenyo[emoji897]
Kama mama mtoto wake kaolewa na aliye muoa ana watoto sasa akituma pesa mfano mtoto wake anunuliwe maini na maziwa we unavyo fikili si atakuwa ana dhurumiwa atakuwa ana gawana vipande viwili viwiliMay be uwezo wa huyo dada,ila ningeshauri ata hayo matunzo asiyadai,alee mwenyewe.Mama yuko hai wewe mwanaume unawaza nn kwamba uishi na mtoto?? Umchukue mtoto umlee na mama wa kambo while mamake yupo??? Uchoyo tu na ubinafsi unawasumbua wanaume.Baadhi yao wana roho za kutu sana.Kama hutaki kulea hadi hilo sharti achaa,ila jua kutokulea mwanao ni kama unafanya dhuluma kwa kiumbe huyo asiye na hatia.it is up to u
Kusema kweli mkuu mim siwezi kumuacha mtoto angu aende kuishi kwa baba ake.......ni bora nipambane mwenyewe kuhakikisha mtoto angu anapata huduma zote muhimu......Sasa hapo ndo baba ajiongeze kua anakuja kumtizama yeye mwenyewe akishindwa imekula kwake[emoji41][emoji41]Habari zenu,
Husika na kichwa cha habari
Kila siku wanalalamika haki sawa kwa wote yaani kwa wanaume na wanawake; haki sawa kwa kila sehemu kila secta hivi wanamaanisha kweli?
Mmebahatika kupata mtoto na baada ya mda mchache mmetofautiana na ikatokea mkaachana na kuishi tofauti Baba kwake na Mama kwake.. wewe kama Baba unaomba uende na mtoto Mama kwa nafasi yake anamng’ang’ania mtoto na kutaka kukaa nae ; poa unakubali kama Baba .. sasa anaanza kudai huduma kinguvu na kutwa vituo vya jamii kwenda kukushitaki sasa hapa haki sawa inatokea wapi?
Sasa mtoto ni wetu sote iweje Nimuhudumie peke yangu? Haki sawa inapotea hapa na anakandamizwa Baba.. na huduma unatoa na anaendelea tu kukusumbua na maamuzi ya kuachana alitaka yeye au anajiona alikosea maamuzi.
Mtoto nimemuomba aje aishi kwangu Mama anakataa na mtoto anauwezo mpaka wa kwenda shule mwenyewe na kurudi mwenyewe yaani ni kakubwa tu, basi tutoe huduma wote wewe mwezi mmoja na mimi mwezi mmoja, yaani anafanya mpaka mambo yako haufanyi kwa utulivu mpaka mtu uliyenaye mpya kwenye mahusiano anajihisi vibaya.
Sio wote ila baadhi yenu badilikeni mkikimbiwa kabsa mnamjaza mtoto sumu kuwa Baba yako alikukataa na wengine mnasingizia kabsa Baba yako alikufaga.. jiangalieni
Asante