Muache mtoto akae kwa mama yake,hakuna mtu atakaekuwa na mapenzi makubwa kwa mtoto zaid ya mama aliemzaa.Sio bibi sio wewe,!pamoja na kuwa wewe ni baba na naamini unampenda mwanao lakini mama ndo wake.Kuhusu matunzo ni lazima,sababu mtoto anakula,anataka pa kuishi,ataumwana mengi yatatokea kwenye maisha yake,huwezi kusaidia kila jambo lakini unaweza kumfanyia wepesi mzazi mwenzako na wewe umuone mtoto,kaa nae chini na muongee mkubaliane mtafanya nini,usilete ujuha wa kusema unaweza kulea mtoto huwezi,mtot ni wa mama.