Utaratibu ukoje kwa Mwanamke ambaye hataki kumwachia mtoto aishi na Baba yake na anadai matumizi "Child Support" kwa nguvu?

Utaratibu ukoje kwa Mwanamke ambaye hataki kumwachia mtoto aishi na Baba yake na anadai matumizi "Child Support" kwa nguvu?

Hapa mnaongea as if Baba hajui kulea vile....hivi nyinyi wanawake mnatuchukuliaje nyieee

Kwa dunia hiii mtoto anaachiwa mfanyakazi asubuhi mpaka jion mama ndo anakuja...alafu Baba ashindwe kumtunza kwelii?..

Mnajidanganya tuu, utakuta mtoto unampa maziwa ya kopo,kumnyonyesha hutaki ....aiseee Mimi nitakula sahani moja na wewe
Zamani mama mtoto akiwa anakualalamikia hadi moyo unauma unaingiwa na huruma sababu mabinti wa zamani walikuwa wapo serious na familia.

Hawa wa siku hizi. Anakwambia mimi nimechoka ukiangalia kilichomchosha ni kazi zake binafsi ambazo pesa anayopata anasema anapeleka marejesho sijui ya nini ambayo hata anachopata haukioni na wala hakitumiki popote mnapoishi.

Jambo jingine ni kwamba kuhusu malezi kwa sasa tusidanganyane. Ni mabinti wachache sana wapo serious na kulea watoto na familia.

Mabinti wengi wamesusa na wanaona kuwa mwanamke ni jambo la fedheha wanataka sana usichana wa kimachepele na kiruka njia. Majukumu ya malezi ya mtoto na familia wameyatupa kwa aidha house girl au mama zao. Wenyewe wanakula maisha hadi umri umtupe mkono ndio sasa hapo anaanza kuona anaweza kuweka makalio yake chini aufyate alee familia. Sasa umri ukienda unampata nani wa kueleweka na kuwa serious ulimwengu huu wa sasa?!
 
Muache mtoto akae kwa mama yake,hakuna mtu atakaekuwa na mapenzi makubwa kwa mtoto zaid ya mama aliemzaa.Sio bibi sio wewe,!pamoja na kuwa wewe ni baba na naamini unampenda mwanao lakini mama ndo wake.Kuhusu matunzo ni lazima,sababu mtoto anakula,anataka pa kuishi,ataumwana mengi yatatokea kwenye maisha yake,huwezi kusaidia kila jambo lakini unaweza kumfanyia wepesi mzazi mwenzako na wewe umuone mtoto,kaa nae chini na muongee mkubaliane mtafanya nini,usilete ujuha wa kusema unaweza kulea mtoto huwezi,mtot ni wa mama.
 
Mkuu usiliangalie tu hili kwa upande mmoja mtoto kulelewa na mama wa kambo tu.. mtoto wangu wa kike aende kulelewa na Baba wa kambo hilhali ameshaanza kupevuka.. mkuu fikiria tena mimi najua cha kufanya mwanangu awe self mkuu..
Bora mama wa kambo miaka hii. Zamani ilikuwa hatari ila siku hizi wapo makini maana wanajua mama wa kambo huwa anatolewa macho na akizingua huwa hana mtu wa kumtetea hata kidogo.

Ila baba wa kambo ni hatari zaidi. Hawa wanawake wenyewe wakishakuwa masingle mother wanavurugwa na kuwa na mawenge.
Mtu alikuwa anajitoa ufahamu tokea ana miaka 17 na hakuwahi kujifunza miiko, maadili, stara na stadi za kike tokea umri huo hadi ana timiza miaka 28 au zaidi, muda wote huu ni kuwa busy na michongo na kudanga.

Anakuja beba ujauzito umri huo unadhani anawezaje chagua mwanaume sahihi au anampataje kwa mfano. Matokeo yake ndio mtoto kuzaliwa na yeye anatengana na mwanaume aliyepata nae mtoto sababu ya kuchemka kupata mtu sahihi.

Baada ya hapo balaa linaaza. Na akipata mtoto anaanza kumendea mwanaume yoyote mradi awe anaitwa mwanaume. Mwishowe analeta majanga kwa mtoto kwa kumletea wazazi vilaza.

Ona kama akina shilole, aunti Ezekiel, irene wolper, etc wale ni wanaume kweli ambao utasema mtoto wako analelewa na role model au father figure?! Yule mtoto wako akifika umri wa kuvunja ungo si anaweza mrarua bila hofu yoyote maana ni muhuni waa mjini.
 
Muache mtoto akae kwa mama yake,hakuna mtu atakaekuwa na mapenzi makubwa kwa mtoto zaid ya mama aliemzaa.Sio bibi sio wewe,!pamoja na kuwa wewe ni baba na naamini unampenda mwanao lakini mama ndo wake.Kuhusu matunzo ni lazima,sababu mtoto anakula,anataka pa kuishi,ataumwana mengi yatatokea kwenye maisha yake,huwezi kusaidia kila jambo lakini unaweza kumfanyia wepesi mzazi mwenzako na wewe umuone mtoto,kaa nae chini na muongee mkubaliane mtafanya nini,usilete ujuha wa kusema unaweza kulea mtoto huwezi,mtot ni wa mama.
Aaaah hapana. Mapenzi ndio nini....?!

Mapenzi ya kumpost Instagram ili upate likes, ila nyuma ya pazia mtoto unafeli kumtrain aje kuwa mtu wa kueleweka?!

Siku hizi wanawake mtoto anatimiza hadi miaka mitatu bado mnavalisha diapers, mtoto hajui hata kusema poti liko wapi ajiongeze.

Mtoto anakuwa na adabu mbovu, inamwita anajibu "sitaki" ukifuatilia unagundua mama ndie ulimfunza hiyo tabia ya kujibu shoti tokea utoto wake akiwa kichanga.

Kuna mengi mnakosea siku mkianza kukaa sawa mtaona kama hizi lawama zitakuwa tena mitandaoni
 
Bora mama wa kambo miaka hii. Zamani ilikuwa hatari ila siku hizi wapo makini maana wanajua mama wa kambo huwa anatolewa macho na akizingua huwa hana mtu wa kumtetea hata kidogo.

Ila baba wa kambo ni hatari zaidi. Hawa wanawake wenyewe wakishakuwa masingle mother wanavurugwa na kuwa na mawenge.
Mtu alikuwa anajitoa ufahamu tokea ana miaka 17 na hakuwahi kujifunza miiko, maadili, stara na stadi za kike tokea umri huo hadi ana timiza miaka 28 au zaidi, muda wote huu ni kuwa busy na michongo na kudanga.

Anakuja beba ujauzito umri huo unadhani anawezaje chagua mwanaume sahihi au anampataje kwa mfano. Matokeo yake ndio mtoto kuzaliwa na yeye anatengana na mwanaume aliyepata nae mtoto sababu ya kuchemka kupata mtu sahihi.

Baada ya hapo balaa linaaza. Na akipata mtoto anaanza kumendea mwanaume yoyote mradi awe anaitwa mwanaume. Mwishowe analeta majanga kwa mtoto kwa kumletea wazazi vilaza.

Ona kama akina shilole, aunti Ezekiel, irene wolper, etc wale ni wanaume kweli ambao utasema mtoto wako analelewa na role model au father figure?! Yule mtoto wako akifika umri wa kuvunja ungo si anaweza mrarua bila hofu yoyote maana ni muhuni waa mjini.
Shishii mlezi wa wana
 
Wewe una kesi kama yangu niichofanya ni kumfanya kuwa rafiki kwanza ,na tunawasiliana vizur sana ,ninapitua hela siangaia kuwa anatuma yeye but naangalia watoto ,mawazo ya yy anafaid nimeyaweka pembeni

sent from HUAWEI
 
Kuna wanawake nawajua michepuko kila mtoto anayezaa amempa wababa watatu .

Mtoto mmoja amepewa wababa watatu na kila baba hajui kama ana wenzie wengine wawili kwa mtoto huyo mmoja anayetunza .

Na mpaka mwanamke anamwambia mimba yako maana yake walikuwa na uhusiano na walitembea peku.

Mwanamke wa hivyo hawezi kubali kumtoa mtoto kwa baba mmoja wapo kati ya watatu sababu akikubali mtoto akaishi kwa mmojwapo ya hao wanaume Hawa wengine atawaambia nini?

Hawa wanaume wengine atawaambia mtoto kaenda wapi?
 
Wanaume nawamegea Siri ukiona mwanamke mchepuko unakataa kumchukua mtoto akaishi kwa bibi yake mzaa baba au Shangazi yake au kwa baba yake ujue sababu ni huyo mwanamke
1. Kutaka kumfanya mtoto kuwa kitega uchumi

1. Kuhofia akikupa mtoto wale wanaume wengine ambao nao amemwambia mtoto ni wao wakijua mtoto hayupo wakajua kaenda kwa baba mwingine itakuwaje na ameshakula hela zao na kuendelea kula?
 
Ukiona anakataa kukupa mtoto chunguza ujue huyo mtoto mmepewa wababa wengi.

Sasa akikubali kukupa wewe wale wengine wakijakujua itakuwaje?
 
Bora mama wa kambo miaka hii. Zamani ilikuwa hatari ila siku hizi wapo makini maana wanajua mama wa kambo huwa anatolewa macho na akizingua huwa hana mtu wa kumtetea hata kidogo.

Ila baba wa kambo ni hatari zaidi. Hawa wanawake wenyewe wakishakuwa masingle mother wanavurugwa na kuwa na mawenge.
Mtu alikuwa anajitoa ufahamu tokea ana miaka 17 na hakuwahi kujifunza miiko, maadili, stara na stadi za kike tokea umri huo hadi ana timiza miaka 28 au zaidi, muda wote huu ni kuwa busy na michongo na kudanga.

Anakuja beba ujauzito umri huo unadhani anawezaje chagua mwanaume sahihi au anampataje kwa mfano. Matokeo yake ndio mtoto kuzaliwa na yeye anatengana na mwanaume aliyepata nae mtoto sababu ya kuchemka kupata mtu sahihi.

Baada ya hapo balaa linaaza. Na akipata mtoto anaanza kumendea mwanaume yoyote mradi awe anaitwa mwanaume. Mwishowe analeta majanga kwa mtoto kwa kumletea wazazi vilaza.

Ona kama akina shilole, aunti Ezekiel, irene wolper, etc wale ni wanaume kweli ambao utasema mtoto wako analelewa na role model au father figure?! Yule mtoto wako akifika umri wa kuvunja ungo si anaweza mrarua bila hofu yoyote maana ni muhuni waa mjini.

Mkuu.. nikushukuru tu kuja kunyoosha huu uzi.. M/MUNGU akubariki tu na sio kingine mkuu ubarikiwe na Asante
 
Wnawake wachache siku hizi ndio hulea watoto,watoto wengi hulea na mabeki tatu au bibi wenyewe kazi yao ni kupwiyanga na kuzurula. Halafu unaninyima mimi kumlea mtoto ambaye kishavuka miaka saba then,unamuamini baba wa kambo tena mtoto wenyewe wa kike.
 
Of a very recently kuna jamaa mkewe ameamua kuondoka walipokuwa wanaishi na mumewe baada ya mke kufahamu kuwa mume wake amezaa na mchepuko ambae alikuwa akiwastukia uhusiano wao tangu mwanzoni mwa ndoa yao na wakajifanya kukataa kuwa na uhusiano baina yao lakini kila mara alikuwa akikuta mawasiliano kati yao ya yule mwanamke kumuomba hela na Miamala kutumwa kwa yule mwanamke.
Ndoa ina Miaka takribani 10.

Mwanamke anawekwa mjini na huyo mwanaume maana hana kazi yoyote hata ya kumuingizia shilingi 100.

Mke kasema hawezi kuishi ukewenza na mchepuko mwenyewe mchawi amekuwa akiwaroga mume na mke kwa miaka mingi.

Mke ameondoka amemwambia nawapisha muishi na mchepuko wako maana nilikuwa nawabana mnakosa Uhuru sasa kuweni huru mjiachie. [emoji3]

Sasa kumbe yule mchepuko mtoto amewapa wababa 3 mtoto huyo mmoja.

Mke kasema anaomba Mungu amfunulie mtalaka wake ajue jinsi alivyoingizwa mkenge na huyo kahaba wa jiji.

Sasa mwanamke kama huyo unazani atakubali kumpa mtoto baba mojawapo kati ya hao watatu?

Atawaambia nini hao wengine wawili?

Na wote watatu anapokea matunzo ya mtoto!

Anajifanya mtoto Mdogo ana miaka 2 mpaka afikishe miaka 7 hiyo sababu ni ya kuwapa mtoto wanaume watatu .

Na hata mtoto akifikisha miaka 7 Ata tafuta kimsingizio kingine sababu anachokifanya anakijua.
 
Aaaah hapana. Mapenzi ndio nini....?!

Mapenzi ya kumpost Instagram ili upate likes, ila nyuma ya pazia mtoto unafeli kumtrain aje kuwa mtu wa kueleweka?!

Siku hizi wanawake mtoto anatimiza hadi miaka mitatu bado mnavalisha diapers, mtoto hajui hata kusema poti liko wapi ajiongeze.

Mtoto anakuwa na adabu mbovu, inamwita anajibu "sitaki" ukifuatilia unagundua mama ndie ulimfunza hiyo tabia ya kujibu shoti tokea utoto wake akiwa kichanga.

Kuna mengi mnakosea siku mkianza kukaa sawa mtaona kama hizi lawama zitakuwa tena mitandaoni
Huu ndio ukweli japo ni mchungu. Wanawake wengi wa kizazi hiki hawawez malezi ya watoto ziad ya kujionesha mitandaoni kuwa wana watoto wakishua
 
Mkuu,SIRI ni moja tu.Mtoto akitaka matunzo lazima aje kwako kila week end muonane mcheze umnunulie zawadi kisha unga kilo mbili na mchele kilo mbili na buku mbili ya mboga.Tena unampa mtoto.Full stop.Hataki ujue ni kiranga hicho
Hawa takagi wao wanataka tuwatumie pesa tu ila mtoto hawataki hapajue kwao
 
May be uwezo wa huyo dada,ila ningeshauri ata hayo matunzo asiyadai,alee mwenyewe.Mama yuko hai wewe mwanaume unawaza nn kwamba uishi na mtoto?? Umchukue mtoto umlee na mama wa kambo while mamake yupo??? Uchoyo tu na ubinafsi unawasumbua wanaume.Baadhi yao wana roho za kutu sana.Kama hutaki kulea hadi hilo sharti achaa,ila jua kutokulea mwanao ni kama unafanya dhuluma kwa kiumbe huyo asiye na hatia.it is up to u
Kama mama mtoto wake kaolewa na aliye muoa ana watoto sasa akituma pesa mfano mtoto wake anunuliwe maini na maziwa we unavyo fikili si atakuwa ana dhurumiwa atakuwa ana gawana vipande viwili viwili
 
Habari zenu,

Husika na kichwa cha habari

Kila siku wanalalamika haki sawa kwa wote yaani kwa wanaume na wanawake; haki sawa kwa kila sehemu kila secta hivi wanamaanisha kweli?

Mmebahatika kupata mtoto na baada ya mda mchache mmetofautiana na ikatokea mkaachana na kuishi tofauti Baba kwake na Mama kwake.. wewe kama Baba unaomba uende na mtoto Mama kwa nafasi yake anamng’ang’ania mtoto na kutaka kukaa nae ; poa unakubali kama Baba .. sasa anaanza kudai huduma kinguvu na kutwa vituo vya jamii kwenda kukushitaki sasa hapa haki sawa inatokea wapi?

Sasa mtoto ni wetu sote iweje Nimuhudumie peke yangu? Haki sawa inapotea hapa na anakandamizwa Baba.. na huduma unatoa na anaendelea tu kukusumbua na maamuzi ya kuachana alitaka yeye au anajiona alikosea maamuzi.

Mtoto nimemuomba aje aishi kwangu Mama anakataa na mtoto anauwezo mpaka wa kwenda shule mwenyewe na kurudi mwenyewe yaani ni kakubwa tu, basi tutoe huduma wote wewe mwezi mmoja na mimi mwezi mmoja, yaani anafanya mpaka mambo yako haufanyi kwa utulivu mpaka mtu uliyenaye mpya kwenye mahusiano anajihisi vibaya.

Sio wote ila baadhi yenu badilikeni mkikimbiwa kabsa mnamjaza mtoto sumu kuwa Baba yako alikukataa na wengine mnasingizia kabsa Baba yako alikufaga.. jiangalieni

Asante
Kusema kweli mkuu mim siwezi kumuacha mtoto angu aende kuishi kwa baba ake.......ni bora nipambane mwenyewe kuhakikisha mtoto angu anapata huduma zote muhimu......Sasa hapo ndo baba ajiongeze kua anakuja kumtizama yeye mwenyewe akishindwa imekula kwake[emoji41][emoji41]

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom