Utaratibu ukoje kwa Mwanamke ambaye hataki kumwachia mtoto aishi na Baba yake na anadai matumizi "Child Support" kwa nguvu?

Wewe una kesi kama yangu niichofanya ni kumfanya kuwa rafiki kwanza ,na tunawasiliana vizur sana ,ninapitua hela siangaia kuwa anatuma yeye but naangalia watoto ,mawazo ya yy anafaid nimeyaweka pembeni

sent from HUAWEI
Itabid waige mfano wako mkuu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Sio wanawake wote

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Mwambie

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Mtoto kuanzia miaka 9-11 anaruhusiwa kuishi mbali na mama yake, kisheria kumuhudumia mtoto kila mwezi ni debe moja la mahindi na pesa 20000 elfu ,yaani ww baba unatakiwa utoe debe moja la mahindi na pesa taslim sh elfu ishirini, hapo umefuata taratibu za kiselikali, kuhusu huduma ya afya kuna ile bima ya 30 eflu ambayo haitoki nje ya mkoa nenda kamkatie .baba ndio anatakiwa atoe mtunzo ya mtoto mama anamuhumia kumfulia kumpikia nk. Kingine mwambie huyo mwanamke asilalalmike na kuchukua hiyo kama njia ya kipato mmbadala ashukuru kwa kuitwa mama baada ya kuzaa huyo mtoto
 
Tangu niingie hili jukwaa sijawahi nakukutana na comment Bora kama hii yako hongera Sana mzee baba inaatahili ifanyiwe lamination mzee baba umepiga kunako
 
Our kids... afu kulea hamuwezi!?
 
Wewe una kesi kama yangu niichofanya ni kumfanya kuwa rafiki kwanza ,na tunawasiliana vizur sana ,ninapitua hela siangaia kuwa anatuma yeye but naangalia watoto ,mawazo ya yy anafaid nimeyaweka pembeni

sent from HUAWEI
Hapo kwenye urafiki haumpasui?
 
Anaejua
Kalenda ya siku za uzazi ni mwanamke, hivyo mimba ikitokea ni mwanamke amependa kwa kuitegesha makusudi au kwa uzembe wa kutokujijali ambapo vyote havifai.

Raha ya mimba ni ridhaa ya Mwanaume na mwanamke mkubaliane kuwa mnahitaji
Mtoto.

Actually hiyo hupelekea hata mtoto atakayezaliwa kukubalika na kufanikiwa maishani zaidi ya wale ambao wamejikuta wamezaliwa tu bila wazazi kukubaliana .

Na hiyo siyo kwa michepuko tu lakini hata ndani ya ndoa ni vizuri kupanga na kukubaliana kuzaa kwa kila mtoto, inamaana kubwa sana.
 
Mkuu,SIRI ni moja tu.Mtoto akitaka matunzo lazima aje kwako kila week end muonane mcheze umnunulie zawadi kisha unga kilo mbili na mchele kilo mbili na buku mbili ya mboga.Tena unampa mtoto.Full stop.Hataki ujue ni kiranga hicho
Buku mbili ya mboga gani au unamaanisha mboga za majani?
 
OUR KIDS ARE OUR EVERYTHING INDEED
 
Ndo maana wengine tunawabadilisha watoto wetu tu ubini ili tujue moja kuwa baba hahusiki kwa sababu mnaona siyo haki yenu kutunza watoto ambao ni mbegu zenu.

As long as wewe ni BABA, ni jukumu lako kulea mwanao bila kuhoji unless hali yako ya uchumi iwe hairuhusu then ndo ulazima unakuja hapo wa kusaidiana.

Just bcoz mama anakaa na mtoto wenu, unadhani hajipindi mgongo na kujibana ili mtoto apate kila anachokitaka? Ila nyie wanaume suruali mkikumbushwa tu majukumu mnaanza malalamiko.

SHAME ON YOU.
 
Mtoto sio Mali yako mtoto ni WA serikali hatakama ulienda leba wewe....Baba akienda kutafuta Haki serikalini unaweza ukaachwa mdomo wazi
 
Shishii mlezi wa wana
Imagine watoto wake wanajifunza nini. Inawezekana kuna muda uchebe anakula mzigo watoto wanasikia mama yao anavyokunjwa na kusikia utamu.

Asubuhi uchebe anatoka sebuleni kavaa taulo kifua nje unadhani wale watoto hawatapata hamu ya kumuonja baba yao wa kambo na ukizingatia ni kijana mwenzao kabisa. [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…