Utaratibu ukoje kwa Mwanamke ambaye hataki kumwachia mtoto aishi na Baba yake na anadai matumizi "Child Support" kwa nguvu?

Hahahahahah hapo ukitafuta sana neno haki sawa hulipati na mara nyingi wanang'ang'ania mtoto Ili wapate uterezi wa kuishi maana ukituma ya matumizi na yeye anapiga panga, ujanja wa kutekeleza hiyo haki sawa hawana, Ila wanataka kutekelezewa
 
Mkuu,SIRI ni moja tu.Mtoto akitaka matunzo lazima aje kwako kila week end muonane mcheze umnunulie zawadi kisha unga kilo mbili na mchele kilo mbili na buku mbili ya mboga.Tena unampa mtoto.Full stop.Hataki ujue ni kiranga hicho
Hahahahahahahah wanataka ukatwe mshahara nusu etiii ndo haki sawa Yao, utasikia Mimi si nilibeba mimba miezi tisa, hapo unamuuliza tu kwani nilikulazimisha ubebe Kwa miezi yote hiyo si ungeipunguza ukabeba hata Kwa miez mitano tu hahaha!!
 
Jamani kwani hamjasikia Kiba anadaiwa Milioni Nne kilammwezi za Maziwa? hahaaa tena milioni nne ya Kenya, hawa viumbe ni kuishi nao kwa akili tu , ndiomaana wazee wetu walikua wana akili sana utasikia , mjinga kama mamaako huwezi kusikia hiyo kitu kwa wanaume . Janja janja on the move
 
Nyie mnawazaga kukomolewa tu. Lakini sio.

Huenda mngewabeba hawa viumbe kwa miezi 9 mngeelewa kidogo ile attachment ya mtoto na Mama yake.

Sasa mfano mumeachana sababu mwanaume ni mhuni. Mtoto atakuwa exposed kwa mambo mangapi?

Our kids are our everything. Our happiness, our comfort when lonely, and they keep us sensible and sane.
 
Acha uongo.
 
Mkuu,SIRI ni moja tu.Mtoto akitaka matunzo lazima aje kwako kila week end muonane mcheze umnunulie zawadi kisha unga kilo mbili na mchele kilo mbili na buku mbili ya mboga.Tena unampa mtoto.Full stop.Hataki ujue ni kiranga hicho
Ni ngumu sana kama wanaishi mikoa tofauti.
 
Nyie mnawazaga kukomolewa tu. Lakini sio.

Huenda mngewabeba hawa viumbe kwa miezi 9 mngeelewa kidogo ile attachment ya mtoto na Mama yake.

Sasa mfano mumeachana sababu mwanaume ni mhuni. Mtoto atakuwa exposed kwa mambo mangapi?

Our kids are our everything. Our happiness, our comfort when lonely, and they keep us sensible and sane.
Hakuna kitu kama hicho mtt akifikisha miaka 7 ni haki ya baba kumchukua kama hutaki utalea mwenyewe
 
Back
Top Bottom