Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahahah wanataka ukatwe mshahara nusu etiii ndo haki sawa Yao, utasikia Mimi si nilibeba mimba miezi tisa, hapo unamuuliza tu kwani nilikulazimisha ubebe Kwa miezi yote hiyo si ungeipunguza ukabeba hata Kwa miez mitano tu hahaha!!Mkuu,SIRI ni moja tu.Mtoto akitaka matunzo lazima aje kwako kila week end muonane mcheze umnunulie zawadi kisha unga kilo mbili na mchele kilo mbili na buku mbili ya mboga.Tena unampa mtoto.Full stop.Hataki ujue ni kiranga hicho
Acha uongo.Jamani kwani hamjasikia Kiba anadaiwa Milioni Nne kilammwezi za Maziwa? hahaaa tena milioni nne ya Kenya, hawa viumbe ni kuishi nao kwa akili tu , ndiomaana wazee wetu walikua wana akili sana utasikia , mjinga kama mamaako huwezi kusikia hiyo kitu kwa wanaume . Janja janja on the move
Ni ngumu sana kama wanaishi mikoa tofauti.Mkuu,SIRI ni moja tu.Mtoto akitaka matunzo lazima aje kwako kila week end muonane mcheze umnunulie zawadi kisha unga kilo mbili na mchele kilo mbili na buku mbili ya mboga.Tena unampa mtoto.Full stop.Hataki ujue ni kiranga hicho
Hakuna kitu kama hicho mtt akifikisha miaka 7 ni haki ya baba kumchukua kama hutaki utalea mwenyeweNyie mnawazaga kukomolewa tu. Lakini sio.
Huenda mngewabeba hawa viumbe kwa miezi 9 mngeelewa kidogo ile attachment ya mtoto na Mama yake.
Sasa mfano mumeachana sababu mwanaume ni mhuni. Mtoto atakuwa exposed kwa mambo mangapi?
Our kids are our everything. Our happiness, our comfort when lonely, and they keep us sensible and sane.