FabNXTzqEtcgazfbjjfo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 1,486
- 1,874
Alikiba naye ana hela za Mawazo. Huwajui hawa Viumbe weweWanawake wengi hawapendi wanaume wenye hela za mawazooo na masengenyo[emoji897]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikiba naye ana hela za Mawazo. Huwajui hawa Viumbe weweWanawake wengi hawapendi wanaume wenye hela za mawazooo na masengenyo[emoji897]
Wewe ni mlezi. Mwanaume ndio mzazi najua utapinga Ila One day utajua Maana YakeNyie mnawazaga kukomolewa tu. Lakini sio.
Huenda mngewabeba hawa viumbe kwa miezi 9 mngeelewa kidogo ile attachment ya mtoto na Mama yake.
Sasa mfano mumeachana sababu mwanaume ni mhuni. Mtoto atakuwa exposed kwa mambo mangapi?
Our kids are our everything. Our happiness, our comfort when lonely, and they keep us sensible and sane.
Yaaani mtoto unafosi kukaa nae wakati Kula yako yenyewe shida, kwanini mtoto asikae sehemu ambayo kutakuwa na uwakika WA yeye kunawiriAtakaye mng'ang'ania mtoto ndiye amtunze, Kama mtu Hana uwezo wa kumtunza mtoto asipewe mtoto Full-stop
Na Baba ndiye anajali future ya mtoto kuliko mama...Wewe ni mlezi. Mwanaume ndio mzazi najua utapinga Ila One day utajua Maana Yake
Wewe huna Huruma una Imani sana kuliko Huruma
Upo sahihi ndugu yanguNa Baba ndiye anajali future ya mtoto kuliko mama...
Baba hawezi vumilia unafanya ujinga ilihali anajua utaharubikiwa lazima mapambano ya wepo
Mkuu haki sawa wao wanaionaga kote ila sio kwenye mambo ya pesa😅!!! Hao ndio wanawake mkuu yani viumbe hivi ni matatizo duniani mpaka mbinguni!Habari zenu,
Husika na kichwa cha habari
Yaaani mtoto unafosi kukaa nae wakati Kula yako yenyewe shida, kwanini mtoto asikae sehemu ambayo kutakuwa na uwakika WA yeye kunawiri
TATIZO WANAWAKE WANAHISI WATOTO NI MALI Yo
Kwa misingi ipi?Mtoto bora aishi na mama yake
May be uwezo wa huyo dada,ila ningeshauri ata hayo matunzo asiyadai,alee mwenyewe.Mama yuko hai wewe mwanaume unawaza nn kwamba uishi na mtoto?? Umchukue mtoto umlee na mama wa kambo while mamake yupo??? Uchoyo tu na ubinafsi unawasumbua wanaume.Baadhi yao wana roho za kutu sana.Kama hutaki kulea hadi hilo sharti achaa,ila jua kutokulea mwanao ni kama unafanya dhuluma kwa kiumbe huyo asiye na hatia.it is up to u
Huu ndio ushauri sasa hakuna kumpa ela mikononiDawa ni rahisi sana, kata kabisa mawasiliano naye, mwache aende popote atakapo, akitaka matunzo ya mtoto hakuna kutoa pesa, toa vitu.
Mfano.
-Matibabu (mtafutie bima ya Afya ya mtoto, kwa mwaka ni kama elfu 51)
-Ada ya shule (shule za serikali ni bure, kama ni private basi kila mmoja alipe ada, mhula mmoja wewe na mhula mwingine yeye)
-Kama ni Chakula basi nunua mahitaji kisha mpe (kwa mwaka sembe 50kg, mchele 50kg, sukari 10kg, Mafuta ya kula 10litre) jumla yote ni kama laki mbili.
-Nguo na vitu vingine mchukue wewe mwenyewe nenda kanunue.
-Mambo mengine mama wa mtoto ahusike.
Hakuna kucheka cheka na mbwa jike.
Na Kodi ya nyumba nayo n lazima ??
Usipoteze muda humu,nenda ofisi za ustawi wa jamii popote ilipo karibu na wewe,utapata suluhu la tatizo lako...Habari zenu,
Husika na kichwa cha habari
Kila siku wanalalamika haki sawa kwa wote yaani kwa wanaume na wanawake; haki sawa kwa kila sehemu kila secta hivi wanamaanisha kweli?
Asante
Mtoto akitimiza miaka 7 anakwenda kwa baba yake mzazi bila shida yoyote.Habari zenu,
Husika na kichwa cha habari
Kila siku wanalalamika haki sawa kwa wote yaani kwa wanaume na wanawake; haki sawa kwa kila sehemu kila secta hivi wanamaanisha kweli?
Asante
Kwann unazaa na wahuni?!Nyie mnawazaga kukomolewa tu. Lakini sio.
Huenda mngewabeba hawa viumbe kwa miezi 9 mngeelewa kidogo ile attachment ya mtoto na Mama yake.
Sasa mfano mumeachana sababu mwanaume ni mhuni. Mtoto atakuwa exposed kwa mambo mangapi?
Our kids are our everything. Our happiness, our comfort when lonely, and they keep us sensible and sane.
Kwa miaka ya zamani kweli ila haya maisha ya sasa hapana. Ni bora akakae kwa baba yake au bibi yake upande wa mama na yeye ni kama anajielewa.Mtoto bora aishi na mama yake
Sasa mtoto wake ana anzaje kuona kitoweo. Hivi wewe unachukuliaje swala la mtu kuvutiwa na mtoto wake kingono ??wanaume hamuaminiki pepo lenu likiwapanda mtoto atageuka kitoweo haijalishi aww wa kiume au wakike.
mwanamke yuko sahihi.
Yote hii ingeepukwa kama wanawake wangekuzwa kuheshimu na kutii ndoa na kuwafanya wanaume kuwa watulivu na kuhudumia familia.Hivi wewe kwa maoni yako unadhani huyo mtoto kuwa na uwezo wa kwenda shule ndiyo anaweza kujihudumia mwenyewe? Nani anamuhudumia kama siyo mama, kumsafisha, kumuoshea nguo na kuhakikisha anakula na kulala vizuri yote hayo yanahitaji muda wa mama ambao ni masaa 24.
Au unataka kumpeleka kwa bibi ukampe mzigo mama yako? Hebu muonee huruma huyo mama yako.
Au unataka umpeleke kwa mke wako akawe mfanya kazi wa nyumbani? Fikiria vizuri.