Utaratibu ukoje kwa Mwanamke ambaye hataki kumwachia mtoto aishi na Baba yake na anadai matumizi "Child Support" kwa nguvu?

Utaratibu ukoje kwa Mwanamke ambaye hataki kumwachia mtoto aishi na Baba yake na anadai matumizi "Child Support" kwa nguvu?

Hapa mnaongea as if Baba hajui kulea vile....hivi nyinyi wanawake mnatuchukuliaje nyieee

Kwa dunia hiii mtoto anaachiwa mfanyakazi asubuhi mpaka jion mama ndo anakuja...alafu Baba ashindwe kumtunza kwelii?..

Mnajidanganya tuu, utakuta mtoto unampa maziwa ya kopo,kumnyonyesha hutaki ....aiseee Mimi nitakula sahani moja na wewe
 
Nyie mnawazaga kukomolewa tu. Lakini sio.

Huenda mngewabeba hawa viumbe kwa miezi 9 mngeelewa kidogo ile attachment ya mtoto na Mama yake.

Sasa mfano mumeachana sababu mwanaume ni mhuni. Mtoto atakuwa exposed kwa mambo mangapi?

Our kids are our everything. Our happiness, our comfort when lonely, and they keep us sensible and sane.
Wewe ni mlezi. Mwanaume ndio mzazi najua utapinga Ila One day utajua Maana Yake

Wewe huna Huruma una Imani sana kuliko Huruma
 
May be uwezo wa huyo dada,ila ningeshauri ata hayo matunzo asiyadai,alee mwenyewe.Mama yuko hai wewe mwanaume unawaza nn kwamba uishi na mtoto?? Umchukue mtoto umlee na mama wa kambo while mamake yupo??? Uchoyo tu na ubinafsi unawasumbua wanaume.Baadhi yao wana roho za kutu sana.Kama hutaki kulea hadi hilo sharti achaa,ila jua kutokulea mwanao ni kama unafanya dhuluma kwa kiumbe huyo asiye na hatia.it is up to u

Mkuu usiliangalie tu hili kwa upande mmoja mtoto kulelewa na mama wa kambo tu.. mtoto wangu wa kike aende kulelewa na Baba wa kambo hilhali ameshaanza kupevuka.. mkuu fikiria tena mimi najua cha kufanya mwanangu awe self mkuu..
 
Dawa ni rahisi sana, kata kabisa mawasiliano naye, mwache aende popote atakapo, akitaka matunzo ya mtoto hakuna kutoa pesa, toa vitu.

Mfano.
-Matibabu (mtafutie bima ya Afya ya mtoto, kwa mwaka ni kama elfu 51)
-Ada ya shule (shule za serikali ni bure, kama ni private basi kila mmoja alipe ada, mhula mmoja wewe na mhula mwingine yeye)
-Kama ni Chakula basi nunua mahitaji kisha mpe (kwa mwaka sembe 50kg, mchele 50kg, sukari 10kg, Mafuta ya kula 10litre) jumla yote ni kama laki mbili.
-Nguo na vitu vingine mchukue wewe mwenyewe nenda kanunue.
-Mambo mengine mama wa mtoto ahusike.

Hakuna kucheka cheka na mbwa jike.
 
Dawa ni rahisi sana, kata kabisa mawasiliano naye, mwache aende popote atakapo, akitaka matunzo ya mtoto hakuna kutoa pesa, toa vitu.

Mfano.
-Matibabu (mtafutie bima ya Afya ya mtoto, kwa mwaka ni kama elfu 51)
-Ada ya shule (shule za serikali ni bure, kama ni private basi kila mmoja alipe ada, mhula mmoja wewe na mhula mwingine yeye)
-Kama ni Chakula basi nunua mahitaji kisha mpe (kwa mwaka sembe 50kg, mchele 50kg, sukari 10kg, Mafuta ya kula 10litre) jumla yote ni kama laki mbili.
-Nguo na vitu vingine mchukue wewe mwenyewe nenda kanunue.
-Mambo mengine mama wa mtoto ahusike.

Hakuna kucheka cheka na mbwa jike.
Huu ndio ushauri sasa hakuna kumpa ela mikononi
 
Habari zenu,

Husika na kichwa cha habari

Kila siku wanalalamika haki sawa kwa wote yaani kwa wanaume na wanawake; haki sawa kwa kila sehemu kila secta hivi wanamaanisha kweli?



Asante
Usipoteze muda humu,nenda ofisi za ustawi wa jamii popote ilipo karibu na wewe,utapata suluhu la tatizo lako...
 
Habari zenu,

Husika na kichwa cha habari

Kila siku wanalalamika haki sawa kwa wote yaani kwa wanaume na wanawake; haki sawa kwa kila sehemu kila secta hivi wanamaanisha kweli?


Asante
Mtoto akitimiza miaka 7 anakwenda kwa baba yake mzazi bila shida yoyote.

Mama kudai matumizi ni sababu tosha ya kutokaa na mtoto mwenyewe maana hawezi jimudu kifedha.
 
Nyie mnawazaga kukomolewa tu. Lakini sio.

Huenda mngewabeba hawa viumbe kwa miezi 9 mngeelewa kidogo ile attachment ya mtoto na Mama yake.

Sasa mfano mumeachana sababu mwanaume ni mhuni. Mtoto atakuwa exposed kwa mambo mangapi?

Our kids are our everything. Our happiness, our comfort when lonely, and they keep us sensible and sane.
Kwann unazaa na wahuni?!

Mabinti wa siku hizi sijui mlikosa nini kwenye lishe za utotoni maana mnakuwa na akili nzito kuliko mtoto wa kindergarten.

Mnapokuwa katika umri sahihi wa kuchagua mwanaume wa maisha yenu huwa mnawengeka kweli kweli akili zenu.

Mnachaguwa watu kwa criteria za kipuuzi sana ambazo baadae hazitawasaidia lolote.

Hivi umeshawahi kuwasikiliza mabinti wanapokuwa wanamshauri mwenzao kupata mwenza?!

Utasikia mambo kama , "we toka nao wote wawili halafu utajua nani yupo serious na wewe"

"Mapenzi ya kweli ndio yatalipa kodi na ada za watoto, we mwanaume ni hela, tazama pochi mapenzi ya kweli waachie njiwa"

"Mchukue RayVan, kwanza ni handsome anajua kupendeza hata picha zake zinadamshi shost, mkipost tutakoma"

"Mume wa mtu ndio nini kwani, wa kwakwe akiwa kwake akiwa nje huku ni wetu sote, kwanza wanaume ni wachache sana kushare ni lazima aache kukutisha toka nae vizuri tu"

" Sasa kwann nimuache kwani kuolewa lazima, me sasa hivi mapema mno kuolewa, nahitaji kujifurahisha nile ujana ntaolewa nikifika 27 au 28"

Hizi ni baadhi tu ya kauli kati ya kauli bilioni kadhaa ambazo hutolewa na mabinti wa kisasa ambao huonyesha ishara ya wazi kuwa wanapoelekea sipo.

Kama jamii inabidi tujifunze kuwakalia kimya ili kama ni majanga wadili na familia zao wajifinze kwa vitendo bila msaada watanyooka sisi wanajamii tuwe watazamaji tu.

Maana jamii inajitolea kuwatetea kila uchao na kuwawekea mikakati ya kuwalinda ila ninyi mnatumia vibaya hiyo fursa kucheza na akili za watu kwa kufanya maamuzi ya kipumbavu mkijua jamii itawatakasa na kuwapa msaada na hisani na yakiwakuta ghafla mnaanza kujifanya m'mekuwa malaika ghafla huwa hamkosei ila mnakosewaga tu na kusababishiwa matatizo na kuwalaumu wanaume ambao mliwachagua ninyi wenyewe na viherehere vyenu na mashosti wanaopatikana katika kamati za uchaguzi wa boyfriend.

Sasa kabla ya kusema baba mtu ni muhuni, wewe umewahi kujiuliza wahuni toka lini wakawa baba wazuri hadi ukaamua kuwavulia na kuingia nao kwenye mahusiano ukijua ni wahuni.

Wewe unaenda jitongozesha kwa mume wa mtu, au kwa kijana bishoo msuka marasta,mvaa mlegezo,mlamba lips ambaye nina uhakika ukiambiwa usimame nae mbele ya jukwaa umtambulishe wewe mwenyewe binafsi utaona aibu tupu sababu utajua huyo si mwanaume wa kuanza nae familia , ila bado unajiachia anakupa mimba na kukutelekeza unasema muhuni, wakati unalala nae ulidhani wahuni huwa wakipata watoto wanaacha uhuni au kama ni mume wa mtu ulidhania mkewe anajiskiaje na ataamuacha mkewe awe na wewe. Sifuri kabisa.

Maisha ya laana huleta laana tu. Pambaneni. Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Mtoto bora aishi na mama yake
Kwa miaka ya zamani kweli ila haya maisha ya sasa hapana. Ni bora akakae kwa baba yake au bibi yake upande wa mama na yeye ni kama anajielewa.

Mtoto ni very risky maisha ya sasa kumuacha na mama. Watoto wengi wanaharibika tabia kwa malezi ya hawa mabinti wa sasa kizazi cha chuo na formsix hiki.

Fanya utafiti utazame makuzi ya watoto wa sasa ambao wanalelea na mama hawa magraduate, halafu utanambia.
 
Hivi wewe kwa maoni yako unadhani huyo mtoto kuwa na uwezo wa kwenda shule ndiyo anaweza kujihudumia mwenyewe? Nani anamuhudumia kama siyo mama, kumsafisha, kumuoshea nguo na kuhakikisha anakula na kulala vizuri yote hayo yanahitaji muda wa mama ambao ni masaa 24.

Au unataka kumpeleka kwa bibi ukampe mzigo mama yako? Hebu muonee huruma huyo mama yako.

Au unataka umpeleke kwa mke wako akawe mfanya kazi wa nyumbani? Fikiria vizuri.
Yote hii ingeepukwa kama wanawake wangekuzwa kuheshimu na kutii ndoa na kuwafanya wanaume kuwa watulivu na kuhudumia familia.

Ila kwa sasa tunachangamoto kubwa sana. Mwanamke ndie anaejenga nyumba na familia. Mabinti wa sasa hawakuzwi hivyo. Ndoa kwao ni ya maana kama kuna masilahi ila kama hayapo hawawezi kuihitaji wanaangalia upepo wa manufaa kwao tu.

Kwa style hiyo usitegemee hiki usemacho kitakuwa na uzito hata kidogo.
 
Back
Top Bottom