Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Najua wengi mmeshakutana na hizi changamoto za kulazimishwa kuachia chumba huku ukiwa umepumzika kwa masaa 6 tu.
Wale wasafiri wa usiku, ama wala bata hizi kero za kuamshwa asaubuhi hasa ikifika saa 4 kuwa muda wa chumba umeisha nilazima ukereke sana.
Bei za chumba huwa ni kwa siku. Na wote tunafahamu siku ina masaa 24. Kila unapocheck in wanachukua hizo taarifa zao. Lakini kwenye ku check out hawazingatii muda ulioutumia.
Binafsi naona sio sawa. Mamlaka husiku zinazozingatia ustawi wa jamii waelekeze usahihi kwa kulinda muda wa wawateja. Kama tunaweza kuweka utaratibu kwenye nyumba za kupanga kuwa kuna mambo ya kuzingatia.
Basi pia hizi hoteli, gesti na logde ziwajali wateja wao wapate muda wa kupumzika sio kuwafukuza kisa umeweka tu muda mwisho saa 4.
Ama wengine kuingia mwisho saa 5 usiku.
Ama mnasemaje wadau?